zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi afanya Uteuzi wa Wakurugenzi na mthamini Mkuu wa Serikali Wizara ya Ardhi (26/08/2021)

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefanya Uteuzi wa Wakurugenzi na Mthamini wa Serikali katika Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi. 1. Ndugu Muchi Juma Ameir ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mipango Miji na Vijiji 2. Ndugu Juma Ameir Mgeni ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara...
  2. JamiiForums Tanzania Zanzibar: 25 matatani kufanya biashara bila leseni

    Watu 25 wakiwamo mameneja mauzo wa baa wamekamatwa na kufunguliwa mashtaka ya kufanya biashara bila ya leseni katika operesheni iliyoendeshwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Vileo Zanzibar, Abdulrazaki Abdulkadiri na askari waliokuwa na silaha Watuhumiwa hao wamesomewa mashtaka yao mbele ya Hakimu wa...
  3. JamiiForums Tanzania Mzee Jakaya Kikwete na CCM hamuoni aibu kwenda Zambia? Zanzibar 2015 mlifanya nini?

    Hivi JK na CCM hamuoni hata aibu kwenda Zambia kuangalia wenzetu walivyopiga hatua kuhusu demokrasia yao ya vyama vingi na kuheshimu maamuzi ya wananchi wao? Yaani Makada wa CCM mmejaa kwenye ndege kwenda Zambia kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais halali aliyetoka na Upinzani, ninyi...
  4. JamiiForums Tanzania Zanzibar kujenga jengo refu zaidi Afrika Mashariki na kati, kubeba hoteli kubwa zaidi kwenye kanda

    Ni jengo refu zaidi Afrika Mashariki na kati na linatarajiwa kubeba hoteli kubwa zaidi kwenye ukanda huu. Kampuni ya kitanzania ya AICL na Edinburgh Crowland wameingia makubaliano na msanifu wa majengo, xCassia kuja na jengo la ghorofa 70. Jengo hilo litaitwa 'Zanzibar Domino Commercial Tower...
  5. JamiiForums Tanzania Hoja za Muungano: Biashara, Kilimo na Uvuvi ni jambo la Muungano?

    Hoja za muungano jadilini pia Kama biashara,kilimo na uvuvi Ni Jambo la muungano? Wazanzibari wamejaa Tanganyika wakivua na kuuza samaki,pweza nk Kufanya biashara kila kona ya nchi na kumiliki ardhi na kulima watakavyo. Je, tulikubaliana Muungano hayo kuwa sehemu ya muungano?
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini ACT Wazalendo hawashiriki uzinduzi Ripoti ya Uchaguzi Mkuu 2020 wakati wameunda Serikali huko Zanzibar?

    Wakuu, natumai hamjambo! Mbali na CHADEMA, walioonesha nia ya dhati ya kutoshiriki hafla ya kukabidhi report ya uchaguzi 2020 inayotarajiwa kufanyika Leo , tar 21/8/2021, Vyama vya ACT na NCCR, vimetoa misimamo yao ya kutohudhuria hafla hiyo kwa madai mwaka 2020 hakukua na uchaguzi. Kwa...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi Katika Picha: Mzee Ally Hassan Mwinyi, mkewe & watoto wao akiwamo Rais Hussein Mwinyi

    Picha ya kutambo Mzee Mwinyi Akiwa na familia yake
  8. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Hussein Mwinyi avunja Bodi ya Wakurugenzi wa ZIC

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ameivunja bodi ya wakurugenzi wa Shirika la Bima la Zanzibar(ZIC). Amemteua Ramadhani Mwalimu Khamisi kuwa mwenyekiti wa bodi hiyo. Pia Rais Mwinyi ameteua Balozi Amina Salum Ali kuwa mwenyekiti wa bodi ya Takwimu Zanzibar. Salma Haji Saadat ameteuliwa kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mwalimu wa madrasa ahukumiwa miaka 80 jela kwa kumbaka binti wa miaka 15

    Mahakama ya mkoa Mwera imemhukumu Mussa Nassibu Ismail (21) ambaye ni Mwalimu wa madrasa Kiboje wilaya ya Kati, mkoa wa Kusini Unguja kutumikia miaka 80 jela na faini ya shilingi milioni 3 kwa kosa la kushindwa kujizuia matamanio yake na kumbaka na kumtorosha mtoto wa kike mwenye miaka 15...
  10. JamiiForums Tanzania Makamu wa kwanza Zanzibar amekiuka kumpongeza mshindi wa urais Zambia. Zanzibar sio dola huru mbele ya uso wa kimataifa

    Kwa mujibu wa mkataba wa kimataifa wa Montevideo ili dola liwe huru lazima liwe na uwezo wa kuingia mikataba ya kimataifa. Kwenye katiba ya JMT, mambo ya nje ni suala la muungano hivyo Zanzibar haipaswi kushiriki masuala ya nje bila kuihusisha wizara ya mambo ya nje ya muungano. Kitendo cha...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Tanganyika na Uhuru wa Zanzibar

    Nimewasikia watu wakisema yafuatayo kuhusu Zanzibar: 1. Zanzibar inapaswa kupata uhuru kamili kutoka kwenye utawala wa Tanganyika. 2. Tanganyika ipate Katiba yake. Ninachojiuliza ni kuwa Zanzibar itakuwaje nchi huru kamili ndani ya Muungano? Nchi zikiungana si kila moja zinapoteza sehemu ya...
  12. JamiiForums Tanzania Nafikiria kuwekeza Zanzibar

    Habari mdau! Nina Tamani sana kuwekeza Zanzibar. Nahitaji mawazo na ushauri kwa waoifaham vizuri. Pros and Cons Upatikanaji ardhi(beach Au inland) Service Demands Challenges. Nitashukuru sana.
  13. JamiiForums Tanzania Planning Officer at Zanzibar University

    Zanzibar University invites job applications from suitably qualified and competent Tanzanians to fill the following posts: PLANNING OFFICER (1 Post) Qualifications An applicant must possess at least Master of Planning, Economics, Statistics or other related field Good command of written and...
  14. JamiiForums Tanzania Kadi chanjo ya COVID-19 kulipiwa Sh 20,000 Zanzibar

    Unguja. Wakati idadi ya watu waliopata chanjo ya corona Pemba na Unguja ikifikia 10,000, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema waliochanja na kukamilisha dozi zao watapewa kadi maalumu kwa kulipia Sh20,000. Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto, Nassor Ahmed Mazrui...
  15. JamiiForums Tanzania Kesi 678 za Dawa za Kulevya zashikiliwa Zanzibar

    Na Abubakari Akida,MOHA Jumla ya Kesi 678 za Dawa za Kulevya zimekamatwa na Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Kupambana na Dawa za Kulevya katika kipindi cha miaka mitano kuanzia mwaka 2018 mpaka Agosti mwaka 2021 huku jamii ikiaswa kutambua dawa za kulevya ni uhalifu kama uhalifu mwingine ili...
  16. JamiiForums Tanzania Watu 15 wafariki huku 24 wakilazwa hospitali sababu ya Corona Zanzibar

    Watu 15 wamefariki na wengine 24 wamelazwa hospitali wakiendelea kupata matibabu kutokana na virusi vya ugonjwa wa Corona Zanzibar. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Afya wa Zanzibar Mhe Nassor Ahmed Mazrui wakati akitoa takwimu za ugonjwa wa Corona kuanzia Juni 25 hadi Agosti 10. Waziri Mazrui...
  17. JamiiForums Tanzania Zaidi ya watu 9,000 wamepata chanjo, hakuna madhara yaliyoripotiwa

    Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amesema hakuna madhara yaliyoripotiwa kutokana na chanjo za #COVID19. Tangu kuanza kwa zoezi la utoaji chanjo zaidi ya watu 9,000 wamepatiwa chanjo hadi sasa. Zoezi la utoaji chanjo linaendelea bara na visiwani kwa hiyari.
  18. W

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Zanzibar yaamuru Cryprian Musiba kumlipa Fatma Karume Tzs 7.5 bilioni

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter Wakili msomi, Fatma Karume aka Shangazi, ameandika hivi; Hamjambo? Mnaomjua Cyprian Musiba mwambieni Mahakama Kuu ya Zanzibar, ndio pale VUGA, yametoa HUKUMU leo. Yamesema ni yeye na GAZETI lake wameandika UONGO dhidi yangu. Sasa anatafute 7.5 billion za...
  19. JamiiForums Tanzania Nini hasa chanzo cha vurugu za mwaka 2001 kule Zanzibar?

    Wakuu wa jukwaa hili, sisi vijana wenu tunaomba mtujuze ni nini hasa kilijiri mpaka kukatokea vurugu kubwa hasa kule visiwani mwaka 2001 na kupelekea wengine kupoteza maisha! Natanguliza shukrani...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ni wazi kamati kuu ya CCM ilikaa kwa dharura kujadili kauli ya Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar

    Kauli aliyotoa Makamu wa kwanza wa Rais alipokuwa Pemba ilikuwa kauli nzito iliyoashiria kuvunjika kwa mashirikiano yaliyopo. Kauli ile ilieleza wazi dhamira yake ya kutoendelea na madaraka kwenye kundi la watu wasioridhika na ambao hawana uchungu na watu kufa, kuwa vilema nk. Alihoji watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…