zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Askofu wa Kanisa Katoliki alalama Padre wake kutishiwa kisa mchanga unaopelekwa Zanzibar

    Ni Askofu Severine Niwemugizi wa Jimbo Katoliki la Rulenge, Ngara ameandika kwenye ukurasa wake wa Facebook === Hiyo picha chini inaonyesha janga la uharibifu wa mazingira eneo la Segerea, mto Msimbazi! Miaka 27 iliyopita mto huu haukuwa mpana hivi. Palikuwa na daraja unavuka toka pale seminari...
  2. JamiiForums Tanzania Unafanya coding ukiwa kwenye mazingira gani?

    Coders / Developers mnacode mkiwa mmejifungia chumbani au mnatembea na laptop kama mimi kwa ajili ya kubadilisha mazingira ya kazi. Nipo zangu zanzibar nakula upepo huku kazi ikiendelea
  3. JamiiForums Tanzania Ukija Tanganyika kila kitu ni cha Muungano, ukienda Zanzibar kila kitu ni cha Wazanzibari peke yao

    Zanzibar wakitaka kufanya chochote wanakuta kwenye (bunge la Zanzibar) baraza la wawakilishi pale Chukwani wanatunga na kupitisha sheria taratibu kanuni kwa ajili ya Zanzibar peke yao na kuweka kwenye katiba yao kando kinachoitwa katiba ya muungano. Na ukiingia Zanzibar katiba inayotumika ni...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Zanzibar yapoje? Nataka kwenda kutafuta ridhiki

    Habari za mihangaiko wanajamii, Hivi karibuni nafikiria kwenda Zanzibar kwaajili ya kuanza Maisha, pamoja na kutafuta kazi huko hasa zinazohusu tourism and hospitality. Kwa wenyeji na wazoefu wa Maisha ya Zanzibar Je, Maisha ya utafutaji yapo vipi huko (ugumu na wepesi wa kupata kazi)...
  5. JamiiForums Tanzania Njia tatu za kuweza kuvunja au kutovunja mkataba wa bandari au makubaliano ya bandari kama wanavyoyaita

    1. Hatuwezi kuurekebisha vifungu vya makubaliano hadi mshirika wetu Dubai akubali. Njia hii imependekezwa na watu wengi kwamba tuurekebishe mkataba huu na tufute vipengele vinavyo lalamikiwa. Je njia hii inawezekana? Haiwezekani, kwa mkataba huu mshirika wako ni lazima akubali ndipo marekebisho...
  6. JamiiForums Tanzania Je ni mkataba wa bandari au makubaliano ya bandari? Je ni mkataba au makubaliano ya Tanganyika na Zanzibar?

    JE NI MKATABA WA BANDARI AU MAKUBALIANO YA BANDARI? JE NI MKATABA AU MAKUBALIANO YA TANGANYIKA NA ZANZIBAR? Leo 13:15hrs 29/06/2023 Rais Museveni alipokuja Chato aliwahi kusema Watanzania tuna uhaba wa maneno ya kiswahili,Ukweli ni kwamba neno "mkataba" kwa kiswahili lina maana pana sana...
  7. JamiiForums Tanzania Profesa Shivji: Mkataba wa Bandari unaegamia zaidi upande mmoja na hauna ukomo wa muda. Hauwezi kuvunjwa kwa sababu zozote zile

    Mkataba huu (wa bandari) unaegemea zaidi upande mmoja na pia hauna ukomo wa muda. Wajibu wote ni wajibu wa serikali ya Tanzania lakini haki zote ni haki za DP WORLD Mkataba huu (wa uendelezaji wa bandari) ni mkataba kati ya nchi na nchi kuhusu uwekezaji, na mkataba unasema ni kuhusu...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna usawa Ujenzi wa Majengo ya Shule, Kati ya Tanganyika na Zanzibar?

    Majuzi kati hapo nilifika kisiwani Unguja nilishangaa sana kupita huku na huko katika pilika pilika za maisha. MADA; Ukweli Zanzibar pamoja na sensa iliyopita kuonyesha kuwa na watu 1,8mil ambao kwa muktadha wa wingi wa watu na waliopo Tanganyika ni chini ya mkoa wa Manyara yenye watu 1.9mil...
  9. JamiiForums Tanzania Siri ya Tanganyika kuungana na Zanzibar na kuipa madaraka makubwa isichukuliwe na Kenya

    Katika utafiti wangu juu ya chanzo cha muungano wa Tanganyika na Zanzibar na mapinduzi 'matukufu' au matukutu au mavamizi ya mwaka 1964, nilibahatika kusoma andiko la mtafiti James R Brennan lenye kichwa Lowering the Sultan’s Flag: Sovereignty and Decolonization in Coastal Kenya (2008) ambapo...
  10. JamiiForums Tanzania Mipaka ya Tanganyika na Zanzibar

    Kuna watu wanajitoa ufahamu kwamba Pwani yote hadi Bagamoyo ni part ya Zanzibar. Wanashindwa kuelewa kwamba hadi tunapata uhuru, 1961 Sultan alishauza maeneo mengi kwa wazungu na Tanganyika iliyachukua toka kwa wazungu yakiwa sio mali ya Zanzibar. Swali la kujiuliza, kama ni kweli, Nyerere...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa trillion 1 kujenga uwanja wa kimataifa wa ndege Pemba na barabara kilometer 800 Zanzibar pekee, uwiano wa kibajeti upo wapi?

    Maelezo ya mkopo huo mkubwa kuwahi kutokea kwa Zanzibar yapo mwisho kabisa mwa uzi huu. Hoja yangu kubwa ni uhitaji wa kujenga kiwanja kikubwa cha kimataifa katika kisiwa cha Pemba wakati tayari upo uwanja kama huo Unguja ambapo ni kilometer 100 tu kutoka Pemba. Pia kujenga kilometer 800 za...
  12. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Zanzibar Januari 1964 yalikuwa ni ushindi na neema kubwa kwa Emirate of Dubai

    Tukiitazama historia ya Dubai au UAE kwa ujumla, Oman, mwambao wote wa Zanzibar na bandari takriban zote za nchi za mashariki ya kati mpaka India na Asia ya mbali,utakuta kulijuwa na mwingiliano mkubwa wa kibiashara kati yao. Bila shaka ni historia ndefu sana na ya zamani sana, kwa ufupi, leo...
  13. JamiiForums Tanzania Waarabu waliapa kurudi Zanzibar, Je yanaoendelea ni mapinduzi ya Afrabia?

    Je mnakumbuka kitabu cha Dr. Harith Ghassany aliyeandika kitabu chake cha Kwaheri Ukoloni kwaheri Uhuru, ambacho Mzee wetu Mohamed Said(Yumo humu) alikuwa ni research assistant wa kitabu hicho. Mzee wangu Mohamed Said najua una mengi ya kuzungumzia kitabu kile ambacho kwa kiasi kikubwa...
  14. JamiiForums Tanzania Tanganyika iiombe radhi Zanzibar?

    Tulichofundishwa shuleni kuhusu Muungano, ni tofauti na ninayoyasikia Sasa! Inasemekana, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haikuwa takwa la wananchi, bali la Karume na Nyerere, lakini zaidi, Nyerere. Inasemekana, hata yale yanayoitwa Mapinduzi Tukufu ya Zanzibar, yalikuwa ni mauaji katili, na...
  15. JamiiForums Tanzania Muungano ukivunjika na Zanzibar itavunjika

    Kwa wanaojua kanuni za uharibifu, huwa hauachii mahali au kwenye kitu kimoja. Nyerere aliwahi kuulinganisha na kula nyama ya binadamu. Ailaye haachi. Sijui ukweli wa dhana hii. Hata hivyo, ukiwasikia wanaohanikiza tuvunje muungano, unapata wasiwasi nao. Mfano, juzi mtu mmoja aitwaye Jussa...
  16. JamiiForums Tanzania Uingereza Yaipa Zanzibar Mkopo wa Sh.Tilioni 1 Kujenga Uwanja wa Ndege Pemba

    Wadanganyika mnaitwa huku 🤪🤪 --- Serikali ya Zanzibar na Uingereza zimesaini makubaliano ya mkopo wa bei nafuu wa Euro 400 milioni sawa na Sh1.04 trilioni kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Pemba na zaidi ya kilometa 103 Unguja na Pemba. Fedha hizo ambazo ni mkopo nafuu...
  17. JamiiForums Tanzania SoC03 Usumbufu wa daladala nyakati za jioni kisiwani Zanzibar

    Daladala ni njia muhimu ya usafiri katika kisiwa cha Zanzibar. Hata hivyo, upatikanaji wa daladala unaweza kuwa na usumbufu mkubwa nyakati za jioni kutokana na msongamano mkubwa wa abiria. Katika andiko hili, tutachunguza sababu za usumbufu wa upatikanaji wa daladala nyakati za jioni kwa kujaa...
  18. JamiiForums Tanzania Hakika wahenga walisema mama wa kambo si mama

    Hivi mama gani mwenye akili na uchungu wa Mali za familia anaweza akazigawa Mali za familia yake kwa majirani halafu awaambie watoto wake wasubiri mali hizo zikisha wanufaisha majirani na wao watapata faida? Mama wa namna hiyo hana uchungu na Mali za familia na ni mama mwenye chuki na choyo...
  19. JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ilikuwa wa kubadili jina la Tanganyika

    Wadau naomba niseme kitu ila nikikosea mnirekebishe msinitukane.NCHI ya TANGANYIKA ina Ardhi na Watu wake vivyo hivyo na NCHI ya ZANZIBAR. Mwaka 1964 NCHI hizi mbili ziliungana na Kuzaliwa NCHI ya 3 ambayo ni TANZANIA. Binafsi niliamini MUUNGANO ule Ungezaa NCHI MOJA ambayo ni JAMHURI ya...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Mwinyi aitakia heri Timu ya Olimpiki Maalum

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi ameitakia kila la heri Timu ya Olimpiki Maalumu itakayoshiriki Mashindano ya Dunia ya Olimpiki Maalum (Special Olympics World Games) nchini Ujerumani. Mhe. Mwinyi amekutana na timu hiyo leo Juni 17, 2023 Jijini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…