zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere: Matatizo makubwa ya Tanganyika katika miaka ya baadaye itakuwa Zanzibar

    "Kama ningeweza kukivuta kisiwa hicho katikati ya Bahari ya Hindi, ningefanya hivyo." Alisema kwamba anafikiri mojawapo ya matatizo makubwa ya Tanganyika katika miaka ya baadaye itakuwa Zanzibar. Hapana, sifanyi mzaha," alisema Aliyasema hayo katika tafrija ya chakula cha jioni jijini Dar es...
  2. JamiiForums Tanzania My dear Zanzibar

    Hapana shaka kabisa Zanzibar imejibebea sifa nyingi hapa ndani katika jamhuri ya Muungano na nje ya nchi pia. Na imebeba historia kubwa ya mambo ambayo inawafanya wageni kutoka mataifa mbali mbali kwende kutembea huko na kujionea utajiri wa historia wa mambo ya Kale. Bila kusahau ukarimu wa...
  3. JamiiForums Tanzania SI KWELI Video inayomuonesha mwanaume akichapwa Zanzibar ni ya Ramadhani ya mwaka huu 2024

    Salaam ndugu zangu, Nimekutana na video ya kusikitisha ikimuonesha raia anayesemekana kuwa ni raia wa Tanzania Bara akichapwa viboko na Raia wa Zanzibar kwa kosa la kula mchana wa Ramadhani. Je video hiyo ni ya mwaka huu?
  4. JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

    Nimestushwa na kuogopa tena nikalazimika kuisoma Katiba ya Zanzibar mara mbili. Leo Waislamu wa Zanzibar wanawavamia na kuwapiga vibaya Wazanzibar wenzao ambao sio Waislamu kwakuwa tu wanakula kwa mama lishe mchana mda ambao wale waislamu wanakuwa wamefunga. Vipigo vimeenea kila kona ya mji wa...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali ya Zanzibar inafurahia Watu wa Bara wanavyonyanyaswa?

    Salaam Wakuu, Watanganyika Waishio au wanaofanya kazi Zanzibar tunanyanyasika sana. Hatuna Uhuru wa kuabudu, kufanya biashara, kujumuika na Jamii. Watu tunapigwa na kudhalilishwa. Mengi yanafanywa na Wateuli wa Rais wa Zanzibar. Watu wa Bara hatuajiriki, hatumiliki Ardhi. Wafanyabiashara...
  6. JamiiForums Tanzania TEC, CCT, CPCT Kemeeni yanayoendelea Zanzibar ili kuwalinda Wakristo waishio Zanzibar

    Kuna mambo yanaendelea Zanzibar yanahatarisha usalama wa wakristo waishio Zanzibar. Kitendo cha mtu anayekula hadharani kipindi cha mwez wa Ramadhan kuchapwa fimbo hadharani hii ni kinyume cha utu, imani, na hata haki za binadamu. Ukimtegemea kwamba Rais atasema neno ujue mtapigwa changa ka...
  7. JamiiForums Tanzania Jummah Kareem

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi anawatakia Wote Ijumaa Kareem.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu...
  9. JamiiForums Tanzania Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

    Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani. Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja...
  10. JamiiForums Tanzania Polisi wa Zanzibar kuwakamata watu kisa kuwakuta wakila mchana kipindi cha Ramadhan ni uvunjifu wa sheria za Nchi

    Zanzibar sio Nchi inayoongozwa na Sheria za Kiislamu, Zanzibar ni nchi inayoongozwa na katiba huru. Inakuwaje unamkamata mtu kwa sababu ya kutokufunga Ramadhan, ni wapi kwenye katiba wamesema kwamba usipofunga inapaswa kuswekwa Ndani. Mkianza kutuletea sheria za kiarabu Kwenye ardhi za Tanzania...
  11. JamiiForums Tanzania Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa idadi ya watu waliokamatwa kwa tuhuma za kutenda makosa mbalimbali kufikia sitini na mbili Akitoa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Hassan Mwinyi, apongeza ripoti ya Finscope kwa kuakisi sekta ya fedha

    ● Asema upatikanaji wa huduma jumuishi za fedha Zanzibar sasa zimekua kwa zaidi ya asilimia 80. Zanzibar Jumatano Machi 27, 2024: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Ripoti ya FinScope Tanzania 2023 kwa upande wa Zanzibar, ambayo...
  13. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo watangaza nia ya kujitoa SUK

    Hii ndio gia mpya waliyoamua kuja nayo baada ya Chaguzi zao kumalizika Zaidi soma hapa -- Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 8 Machi 2024 jijini Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema viongozi wa chama hicho watakutana na Rais wa Jamhuri wa...
  14. JamiiForums Tanzania Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

    Hili tukio la kusikitisha limetokea huko Paje Mama lishe aliyekuwa amejifungia ndani ya nyumba huku akipika chakula ambacho baadae bodaboda hukichukua na kuwapelekea Wateja ambao hawajafunga wengi wao wakiwa wa imani nyingine amekamatwa na halmashauri baada ya baadhi ya majirani kuchukizwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi uwanja mpya wa Zanzibar haustahili kuchezesha mechi za kimataifa AFCON?

    Hivi uwanja mpya wa Zanzibar haustaili kuchezesha mechi za kimataifa AFCON au mpaka tutenge kodi za mama ntilie ili zikashibishe matumbo ya watu?
  16. JamiiForums Tanzania Alex Ngereza: Simba wameenda kupoteza pesa Zanzibar

    Mchambuzi wa masuala ya kabumbu Alex Ngereza ametia neno kuhusu kambi ya Simba walikoweka Zanzibar:- "Sijaona sababu ya Simba kwenda kuweka kambi Zanzibar kwasababu zimebaki siku chache kuelekea mchezo dhidi ya Al ahly lakini pia wapo baadhi ya wachezaji muhimu hawapo wameenda kuzitumikia timu...
  17. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwinyi azindua fursa za uchimbaji mafuta na gesi Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inapenda kuzialika kampuni zote za utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi kushiriki katika Duru ya kwanza . Rais Dkt. Mwinyi amewakikishia wawekezaji wote wa sekta ya mafuta na gesi kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Various Posts at People's Bank of Zanzibar

    POST: BANK OPERATIONS OFFICER – 7 POSTS. DUTY STATION: Unguja -2 Post, Pemba-2 Post, Mbeya –1, Morogoro -2 Post. Minimum Qualifications, Experience and Competency. Holder of Bachelor Degree of Banking and Finance, Islamic Banking or its equivalent and related qualifications. ii. Computer...
  19. JamiiForums Tanzania Kampeni ya Mama Paka ina lengo la kutokomeza mnyama aitwaye paka nchini Zanzibar

    Hawa wazungu wamekuwa wakikamata paka mitaani na majumbani kisha kuwang'oa uzazi. Baada ya miaka michache tu nchi ya Zanzibar itakuwa haina paka hata mmoja. Paka wana faida nyingi sana kwa jamii na kimazingira pia. Hizi kampeni zinazoendelea, serikali izitupie macho. Wanyama wana haki ya...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu za pole kutoka kwa viongozi na taasisi mbalimbali baada ya kufiwa na Baba yake Hayati Ali Hassan Mwinyi

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole nyumbani kwake Migombani kutoka kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali John Jacob Mkunda kufuatia kifo cha Baba Mzazi, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…