Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

Marco Polo

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
9,062
12,650
Hili tukio la kusikitisha limetokea huko Paje Mama lishe aliyekuwa amejifungia ndani ya nyumba huku akipika chakula ambacho baadae bodaboda hukichukua na kuwapelekea Wateja ambao hawajafunga wengi wao wakiwa wa imani nyingine amekamatwa na halmashauri baada ya baadhi ya majirani kuchukizwa na kuamua kutoa taarifa mbaya zaidi ametozwa faini ya tsh 50000/=

Ndugu zangu ktka Imani mbona hamuendi kwenye ma hotel ya kitalii mkakamata hao wanaopika mchana na kuwauzia Wazungu chakula?
  • Mimi nimechukua take away naenda kulia kwangu shida Iko wapi?
  • Mtu Yuko ndani kwake anawapikia watu chakula ambao hawajafunga na hawali hadharani shida Iko wapi?
 
Hii dini na wafuasi wake Elimu ya utambuzi ni finyu.

Wengi wao wanafanya mambo kwa mihemko, wanajifanya wanamuabudu MUNGU MUUMBA kwa dhati kipindi hiki huku ndani wamefuga misukule na majini bila kusahau ufirauni.

Huwezi kuta upuuzi huu kwa Buddha, Christians au Shinto.
 
Dini ni kama ugonjwa wa akili, kwa hiyo usishangae wagonjwa wanapoanza kufanya mambo ya kiuwendawazimu huku wakidhani ndo jambo sahihi.

Kwa bahati mbaya katika nchi hii hawa wagonjwa wako wengi kiasi kwamba inaonekana kawaida.
 
Hii dini na wafuasi wake Elimu ya utambuzi ni finyu...
Haya tuonyeshe hayo majini , na misukule nadhani unajua ipo upande gani sitaki kutukana wakristo wote kwa ujinga wako ila tunajua kwamba makanisani ndio tunawaonaga kuna nabii yule mama wa mwanza na kanisa lake kawajaza , gwaji boy nae hua anawafufua na makanisa mengi wanakuwa na swaga hizo , haya ulishawahi kuona jini au msukule kwa muislamu au msikitini?
 
Hadi anatozwa faini inamaana kunasheria amevunja ambayo adhabu yake ni tshs elfu 50,000 mwenye uelewa wa sheria hii aiweke hapa ilikuepusha lawama kwa pande zote
Sheria za manispaa na huwa zinafanya kazi wakati wa ramadhani tu, kwamba mtu yyte haruhusiwi kupika/ kula chakula hadharani sasa hao hawajapikia Wala kula hadharani na sio waislamu kwahiyo unawataka na wao wafunge?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom