zanzibar

  1. K

    JamiiForums Tanzania TAFAKURI: Mzee Mkapa ameharibu mambo matatu tu, kuna doa sugu la Zanzibar

    Watanzania wote tupoe kwa msiba wa Mzee wetu huyu muhimu katika Taifa letu. Mapenzi ya mungu hayana makosa. Nikirudi kwenye mada, katika wiki hii ya maombelezo, kuna mengi yanaendelea kujadiliwa kumuhusu Mzee wetu. yameelezwa mazuri mengi na mapungufu vile vile. Mimi tafakuri yangu imefupisha...
  2. JamiiForums Tanzania Zanzibar bora ingeungana na Mombasa kwa kuwa tamaduni zinafanana sana

    Khalifa Said mmoja ya waandishi huru ambaye amekuwa akindikia magazeti mbalimbali ya nje. Amekuwa na mtizamo tofauti kuhusiana na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kwa wengi nadhani mmekuwa na Ufahamu hasa wa tamaduni za Mombasa ikiwepo moja ya Ukarimu kwa wageni pasipo kujali jinsia zao...
  3. JamiiForums Tanzania Kufuatia Kifo cha Mkapa: Mikutano ya kuwapata Wagombea Urais wa Tanzania na Zanzibar kupitia CHADEMA yasogezwa mbele

    Kufuatia kifo cha Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa, Chama cha CHADEMA kimesogeza mbele mikutano yake ya kuwapata Wagombea Urais wa Tanzania na Zanzibar Mikutano ya kuwapata Wagombea hao kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020 ilikuwa ianze Julai 27 hadi Julai 29, 2020 lakini sasa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo hoja na karama zitakazombeba mgombea yoyote wa Urais Zanzibar

    Mada inahusika. Kwa maoni yangu hizi ni hoja na Karama HOJA 1. Msimamo wa wazi wa hatma ya Zanzibar yenye mamlaka kamili au muungano wa usawa 2. Kudumisha umoja wa kitaifa na kuilinda serikali ya GNU 3. Kuitii Katiba ya Zanzibar na kupigania Maslahi ya wazanzibari katika mazingira yoyote. 4...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nimetia nia kesho nitamkuchulia fomu ya kugombea Urais Zanzibar, Sheikh Mselem kupitia CHADEMA

    Nimeweka nia ya kumchukulia fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar Sheikh Mselem Ali kwa tiketi ya Chadema kesho tar 20/07/2020 Sheikh Mselem Ally ana haki ya kuchaguliwa kama walivyokuwa na haki waznz wengine. Haya ni maono yangu binafsi kama Mtanzania. Kulalamika tu pembeni bila kuchukua hatua...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna unafuu wa bidhaa za umeme kutoka Zanzibar?

    Poleni na mihangaiko ya siku nzima ya leo. Kuna bidhaa nimeziona kwenye mitandao zainauzwa Zanzibar na watu wa bara wanaziagiza. Tafadhali naomba kujua kama kuna mtu anajua unafuu wa bidhaa za kutoka Zanzibar, mtu akiifuta huko na kuisafirisha kuja bara. Je, gharama zake zinakuwaje hususani...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kwa wafanyakazi Zanzibar kutakiwa wakampokee Mwinyi kwa wingi. Je, watu watarusiwa kumpokea Tundu Lissu atakaporejea nchini?

    Barua zimeandikwa huko Zanzibar kutaka wakuu wa idara za serikali wajitokeze kwa wingi kumpokea mgombea wa ccm ndugu Mwinyi na tena waliojitokeza waandikwe majina yao. Je, ndugu Tundu Antipas Lissu atakapowasili uwanja wa ndege wa JK Nyerere watu wataruhusiwa kumpokea?
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwanamke ajitosa kugombea urais Zanzibar kupitia CUF. Afanya idadi kufikia sita(6) kwa upande wa Zanzibar

    MWANAMKE AJITOSA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR KUPITIA CUF. AFANYA IDADI KUFIKIA SITA(6) KWA UPANDE WA ZANZIBAR
  9. K

    JamiiForums Tanzania Jicho la Tatu ziara ya Mteule Urais CCM Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi

    Naam, ni wakati mwengine tunakupatia taarifa. Jana tarehe 15 Julai, 2020 kulikuwa na mapokezi ya Mteule wa urais wa CCM Zanzibar dkt Hussein Mwinyi. Ziara ilifana na iliandaliwa vya kutosha. Tutatoa tathmini fupi kutokana na taarifa zetu. Shabaha na kupima upepo. Ziara si tu kwamba ilenga...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 CUF: Wagombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar kujulikana Julai 27, katika Mkutano Mkuu wa Chama

    SISI CUF MGOMBEA WA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MGOMBEA RAIS WA ZANZIBAR WATAJULIKANA JULAI 27 "Mkurugenzi wa Mipango Na Uchaguzi CUF TAIFA Mhe. Juma Kilaghai ameyasema hayo Leo katika mahojiano na Waandishi wa habari kuwa Tarehe 27 mwezi huu ndiyo siku ya Mkutano Mkuu wa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Mwinyi: Wajumbe wa Zanzibar waliotupigia kura ni 68 hata kama ni kweli wenzangu walipata 35 basi na mimi nilipata 33

    Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dr Mwinyi amesema wajumbe wa Zanzibar waliowapigia kura walikuwa 68 na siyo 35 kama inavyovumishwa. Mwinyi amesema hata kama ni kweli wenzake hawakupigiwa kura na wajumbe wa bara kitu ambacho hakiamini, bado yeye naye atakuwa amepata kura 33 kutoka...
  12. JamiiForums Tanzania Ubeberu wa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni wa kiwango kisichostahamilika

    Wakati Tanganyika inafanya figisufigisu ya kile ambacho kwa sasa tunakiita muungano, Nchi ya Tanganyika na Zanzibar zote zilikuwa huru na kila moja na mamlaka yake kamili ndani ya mipaka yake. Muda mfupi tu baada ya Muungano taratibu tanganyika ikajiona sasa ni Baba mwenye nyumba kuanza kuweka...
  13. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuweka Wagombea katika majimbo yote ya Zanzibar

    Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA Salumu Mwalimu ataongoza mashambulizi kwa kugombea Ubunge jimbo la Kikwajuni. Hadi sasa zaidi ya makamanda 34 wa CHADEMA wameshachukua fomu za kugombea Ubunge na uwakilishi nchini Zanzibar. Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana vyama
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kuna kijungu kinapigwa Visiwani, ni Uchaguzi wa hatma ya Zanzibar

    Tunaendelea kuwapeni habari zetu za tathmini. Bado timu iko visiwani ikitupatia tathmini mbali mbali za kisiasa na kijamii. Huko visiwani kuna kijungu chapagwa. Picha halisi ilioyoko huko ni kuwa baada ya CCM kumteua Dkt Hussein Mwinyi, kwenye jamii kuna fundo la chini chini. Mara HII KAMPENI...
  15. JamiiForums Tanzania Hospitali Kuu ya Rufaa Zanzibar Mnazi Mmoja shida iko wapi?

    Bila shaka hamjambo wana JF, bila kupoteza muda kama ambavyo kichwa cha habari kinacho jieleza niingie moja kwa moja kwenye kero hii. Hospitali hii imekuwa ikilalamikiwa na watu wengi sana kutokana na huduma ambazo zinatolewa na wahudumu wake baadhi yao, kuwa wana maneno/ kauli mbaya kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Hussein Mwinyi kukosa Kura zote za Zanzibar za Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) inafikirisha sana. Haki ya Wazanzibar kuchagua iko Wapi?

    Matokeo ya yaliyompa ushindi Dr Hussein Mwinyi katika kikao Cha halmashauri k ya chama nec yalikuwa Kama ifuatavyo ,Nahodha 16, Khalid 19 jumla 35 ambazo ndio idadi kamili ya wajumbe wa Zanzibar na kura 129 Za Hussein Mwinyi ambazo na za wajumbe wote wa Tanzania barabara ,haki ya Wazanzibar...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Hussein Mwinyi atashinda uchaguzi, Maalim Seif atashinda kura

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimehitimisha mchakato wa kupata mgombea wake wa urais kwa upande wa Zanzibar. Ni Hussen Ali Hassan Mwinyi. Mwanasiasa mtulivu, mkimya na asiyependa kujikweza. Zipo tetesi kuwa ukimya wa Hussein Mwinyi, unavuka mipaka ya kawaida. Hata kwenye vikao vya Baraza la...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

    UPDATES 13:15hrs: Matokeo ya Kura za ya wanachama watatu waliokuwa wakiomba ridhaa ya kuwania urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM. 1. Dkt Hussein Ali Hassan Mwinyi -kura 129 (78.65%) 2. Dkt Khalid Salim Mohamed -kura 19 (11.58%) 3. Shamsi Vuai Nahodha -kura 16 (9.75%). Zanzibar 2020 - Wasifu...
  19. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chama cha ADC, Hamad Rashid Mohammed achukua fomu ya kugombea Urais Zanzibar

    Mwenyekiti wa Chama cha ADC ambaye pia ni Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohammed, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Tatu bora urais Zanzibar kujulikana leo

    Kamati kuu ya CCM inaketi leo kupitia majina matano ya wagombea urais wa Zanzibar na hatimaye kupitisha majina matatu yatakayokwenda kupigiwa kura. Up dates; Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…