zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Badilisha Kaseti na Negative picha za zamani kuwa Digital.

    Karibu Tunapatikana Ilala Amana Karibia na Hospital Ya amana. Wakazi wa dsm tunaweza kukufata wa mikoani unatuma kwetu. Malipo Baada ya Kazi. 0715331233 Piga au sms au whatsapp
  2. Majibu ya mabinti wa zamani wakiulizwa unapenda kuwa kama nani ukiwa mkubwa.

    Wengi walikuwa wanataja majina kama:- •Asha Rose Migiro •Getrude Mongela •Anne makinda Sikuhizi wanataja nani?
  3. Utafanyanini ukigundua kua mkeo ana mtoto aliyemzaa zamani na alikuficha?

    Komassava! Msaada wa ushauri. Kaka yangu ameoa na imepita miaka mitano sasa . Lakini hivi karibuni kagundua kua mkewe alikua kashazaa kipindi anasoma na kumuacha mwanae kwabibi yake na hakuwahi kumwambia ukweli. Kaanza kukosa imani na mkewe kwamba huenda kuna mambo mengi anamficha Je...
  4. R

    Mhe. Innocent Bashungwa irekebisge barabara ta Tabga -Pangani iwe kama ilivyokuwa zamani kulko uharibifu uliofanywa na wachina

    Kipanda cha Tanga Kibaoni, hakipitiki. Ni tope tupu na barabara ya pembeni hiyo ndiyo kadhia kubwa hasa. Irudishe kama ilivyokuwa zamani iweze kupitika ! achana na lami maana mmeshindwa!
  5. Nyota wa zamani wa Arsenal na Liverpool Alex Oxlade-Chamberlain mbioni kurejea katika Premier League

    Ex-Arsenal and Liverpool star Alex Oxlade-Chamberlain ‘in talks’ over shock transfer to return to Premier League ALEX OXLADE-CHAMBERLAIN is reportedly in talks over a shock Premier League return with Brentford. The former Arsenal and Liverpool midfielder spent the past year playing for...
  6. Msije mkashangaa yule mama Askari akishinda kesi, Nimekumbuka Ile kesi ya zamani ya zombe

    Nawataarifu tu wadau huyu mama Askari anayetuhumiwa kuwatuma vijana kufanyia udhalilishaji Kwa Binti wa yombo anaweza akatoboa kinyume kabisa na matarajio ya wengi: Mfano wa kesi inayotaka kufanana na hii ni Ile ya aliyekuwa bosi wa jeshi la polisi miaka ya Nyumba somebody zombe, alituhumiwa...
  7. Zamani Wazazi waliuza Binti zào Kwa Kile kiitwacho Mahari. Kwa Sasa ni Mila Potofu na biashara haramu

    ZAMANI WAZAZI WALIUZA BINTI ZÀO KWA KILE KIITWACHO MAHARI. KWA SASA NI MILA POTOFU NA BIASHARA HARAMU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuuza na kununua binadamu ilikuwa biashara halali Miaka ya Nyuma kidôgo. Biashara ya kuuza na kununua binadamu ilikuwa kwa namna tofautitofauti...
  8. Kwanini wazee wa zamani waliweza kuishi na ndugu wengi nyumbani, lakini kizazi hiki ni ngumu kuishi na ndugu?

    Nimefikiria sana mpaka nimekosea majibu, tulizaliwa watoto saba nyumbani, na ndugu waliokuja kuishi nyumbani kipindi tunakua wanafika 6, hao waliosomeshwa na mzee, japo wengine walikua wanakuja na kuondoka, mabinti wengine walikua wanakuja kujifunza cherehani na kuondoka, na sio kwamba mzee...
  9. W

    Rais wa Zamani wa Argentina atuhumiwa kwa kosa la Unyanyasaji

    Rais wa zamani wa Argentina, Albero Fernandez (65) anatuhumiwa kwa mashtaka ya Unyanyasaji dhidi ya mke wake wa zamani Fabiola Yañez (43) Waendesha mashataka nchini humo wameanza uchunguzi dhidi ya tuhuma hizo baada ya Fabiola kuwasilisha mashtaka ya kupigwa na kulazimishwa kutoa ujauzito...
  10. Chuki na Wivu vilikuwepo tangu zamani

    Wasalaam Wakuu, Nimeona hiki kisa kilichoandikwa kwenye Agano la kale, Nimeamua kushare nanyi hapa ili mmpate kuelewa kwamba Chuki na Wivu vilikuwepo tangu zamani. Hapa katika kisa hiki tunaona jinsi vile Nabii Daudi alivyomuua Goliathi jina lake lilikuwa maarufu na aliimbwa na kushangiliwa na...
  11. Mawazo ya Mwanamke kwa wapenzi wa zamani (Kulinganisha)

    Hii picha imenifikirisha sana jinsi bidada anavyowakumbuka wanaume zake wa zamani. NI NGUMU SANA KUMRIDHISHA MWANAMKE WA AINA HII.
  12. Watu wa zamani (malegendary) mkuje mnisaidie jina la huu wimbo

  13. Nape kwahiyo ulikuwa unasubiria Utumbuliwe jana na Rais Samia ndipo Uufunge ghafla Mtandao wako wa X ( zamani ) Twitter?

    Kutenguliwa ni jambo moja, lakini kutenguliwa ukiwa katikati ya shughuli za nafasi uliyotenguliwa kwayo ni jambo lingine, hiki ndicho kilichomkuta aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ambaye si mara yake ya kwanza. Taarifa ya kuondolewa kwa Nape katika...
  14. Uongo wa wazee wa zamani wa Tanzania kuhusu mpira

    Hivi nyie wazee huwa mnatuchukuliaje vijana utakuta mzee anasifia wachezaji wa zamani unaweza kusema hao wachezaji waliipa Tanzania ubingwa wa dunia yaani katika vitu vinanikera mizee kusifia magarasa ya zamani eti zamani kulikuwa na mpira sio Sasa. Hiyo zamani yenyewe waulize hata kombe la...
  15. TANZIA Naibu Waziri wa Elimu Mstaafu Mzee Nazar Nyoni afariki dunia

    Naibu Waziri wa Elimu wa zamani wa Serikali ya Tanzania wa Awamu ya Kwanza, Mzee Nazar Nyoni, amefariki dunia jana tarehe 19/07/2024 majira ya saa 3 asubuhi nyumbani kwake Morogoro baada ya kuugua kwa muda mrefu. Mzee Nyoni amefariki akiwa na miaka 92. Marehemu aliwahi kuwa Naibu Waziri wa...
  16. A

    Waziri wa zamani wa Fedha wa Masumbuko ashtakiwa US

    https://www.africanews.com/2024/07/18/mozambique-former-finance-minister-on-trial-in-us/
  17. Nanunua vitabu. Visiwe vya masomo ya shule

    Kama bango lisemavyo, vitabu vyovyote cha mwaka wowote, mwandishi yoyote vya ambavyo unavyo husomi au huvihitaji basi mimi navihitaji hivyo. Popote vilipo duniani utaratibu wa kuvipata tutaratibu Karibu PM tuyajenge
  18. Mke Ukiachika, Ukapata Bwana Mpya, Ni Sawa Kumzungumzia Bwana wa Zamani Kila Uchao? Wanasiasa Hamahama, Wanachofanya ni Sawa Kuponda Tuu Walipotoka?

    Wanabodi, Usingizi ukikata, huwa nashuka jf anytime, leo nauliza Mke au Mume ukiachika, au ukaachwa, kisha ukapata bwana mpya, au chombo kipya, je ni sawa kumzungumzia bwana wako wa zamani kila uchao mbele ya bwana mpya au bibi mpya?. Je hiki kinachofanywa na wanasiasa hamahama, kila saa...
  19. M

    Nilidhani wanaokimbia madeni wanafanya kusudi

    Zamani nilikuwa najua watu wanao kimbia madeni wanafanya kusudi 🙌🙌🙌
  20. Hivi watu waliokufa zamani wanapata wapi nguvu ya kutatua shida zetu? Hao kina Yesu, Bikira Maria na Mizimu?

    Najiuliza sipati jibu, labda wenzangu mtakuwa Na majibu. Mizimu inanipaje utajiri wakati nao walikuwa masikini? Yeah Na Bikira Maria hawakuwa matajiri, wanaweza vipi kunipa utajiri? Sawa kina Mwamposa ni matajiri kwa kuwa ni wajanja wa Mjini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…