Yule waziri mkuu wa kupachikwa na ziara zake yuko wapi?

Yule waziri mkuu wa kupachikwa na ziara zake yuko wapi?

Wadau bila shaka mko poa, swali langu yule waziri mkuu fake aliyetokana na uongozi wa kuua watu na umwagaji damu aliyekuwa anafanya ziara uchwara zisizo na matunda yuko wapi?
Wapo wanaangaika kuficha pesa nje ya nchi , maana wanajua yatakayo wakuta baada ya muda mfupi kutoka sasa , kwa damu na uovu walioufanya nchini na damu ya wazalendo waliyo mwaga ..hivyo sasa hivi kila mmoja anatafuta pa kukimbilia na kuficha mali zake na familia yake..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom