zake

Zakes Makgona Mokae (5 August 1934 – 11 September 2009) was a South African-American actor of theatre and film.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania JF Great Thinkers, mjadala JF ungelikuwa kwanini kamtoa huyu, ame mess up wapi/weakness na huyu aliyeletwa strengths zake ni zipi kuliko aliyetolewa

    Hii pangua pangua za kila leo za Samia zingejadiliwa kwa muktadha wa strentghs and Weaknesses za waliotenguliwa na walioingizwa/chaguliwa! What more do we expect from the new appointees? compared to the outgoing ones Mama anavuruga vuruga kwenye chungu hicho hicho.Jiulize kwanini aliwatoa...
  2. JamiiForums Tanzania Picha lilianzia pale Balozi wa Nchi dume alipoanza kufuatiliwa nyendo zake na yule Mbunge mustaafu

    Ilikuwa kila baada ya mda fulani wanatembeleana na kupiga ma picha picha kibao huku wapambe humu Jf wakimpamba eti anakubalika na wana ng'ambo pasi na kujua walikuwa wanaisanua sirikali na masinia yake. Kutano la kwanza lilipuuzwa. Kutano la pili na yaliyoendelea hakika yaliishtua sirikali na...
  3. JamiiForums Tanzania Kilichomponza Mwanakwerekwe, ni dada yake Halima kukata mauno mbele ya wakwe zake!

    Jamaa walitoa tahadhari mapema wakasema,mikong'oto heavy ni Kwa ajili ya Vibaka na Walanguzi walioshindikana hapa Barani Afrika,yeyote atakaye ingia kati wakati mikong'oto hiyo ikiendelea, atajikuta anapokea kichapo kisichokuwa na huruma kama Paka shume aliyekunya kwenye debe la Unga wa uwele...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamke Akianza kudai haki zake, huonekana ana kiburi.

    Hususan Maeneo ya Vijijini na hata baadhi ya Familia Mjini Mwanamke akianza kutambua na kudai haki zake huonekana ana kiburi sana. Halafu cha kushangaza sasa unakuta wanawake ndio wa kwanza kuanza kukandamiza haki ya Mwanamke mwenzao ili mradi tu na wao wasionekane wabaya. Mwanamke huyu...
  5. JamiiForums Tanzania Mtu Gani humkubali humu kwa pigo zake?

    Mtu unajianzishia Uzi wako anakuja kucoment ilimradi akukere. Tag anyone you wish. Me naanza na Lucas Mwashambwa
  6. JamiiForums Tanzania Hakuna Ubishi Mwabukusi ni Mwanaharakati, Je TLS Yake Iwe ya Kiharakati, Au Asilete Harakati Zake kwenye TLS Yetu, Ibaki Kuwa Profesheno Body?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu gazeti la Nipashe la leo Hii ni makala yangu ya pongezi kwa Wakili Mwabukusi kuchaguliwa kuwa rais wa TLS, na kumpa ushauri wa bure, aibadili TLS kutoka kule juu ilipo, aishushe chini ground zero Ihudumie wananchi wa kawaida wanaohitaji huduma za kisheria, badala...
  7. JamiiForums Tanzania Iphone latest za mtumba uwezo na bei zake.

    Wakuu natumai nikwema huku tukiendelea na pilika za kujiandaa na msimu mpya wa Ligi yetu pendwa ya Mpira wa miguu. Nende moja kwa moja kwenye mada kuwa wapi naweza pata IPHONE nzuri ya mtumba kuanzia 13 na kuendelea. Ikiwemo gharama zake na hata uwezo wake. N.B hizi simu hata kama watu...
  8. JamiiForums Tanzania Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Mwana JF Leo nipo hapa kukuoneaha (kukuambia) umuhimu wa kuweka Beam chin kabla kuzika Tank la mafuta. Ukiweka bim inakusaidia Kwa 90% kuwa na uhakika wa Tank lako kutokupanda juu au kuibuka. Hakikisha unaweka bm yenye chuma za kuanzia mm16 mpaka mm25 kulingana na ukubwa wa Tank Kunja huk za...
  9. JamiiForums Tanzania Mtanzania gani ataweza kuja kuweka rekodi hii? Rais Samia alishaweka rekodi zake.

    Waziri Mkuu wa kwanza kuwa Rais. Waziri Mkuu wa kwanza kuwa Makamu wa Rais. Mwanamke wa kwanza kuwa Waziri Mkuu. Mwanamke wa kwanza kuwa Jaji Mkuu. Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa Majeshi. Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa Polisi (IGP). Mwanamke wa kwanza kuwa mkuu wa Magereza. Mwanamke wa...
  10. JamiiForums Tanzania Nikiwa Dar Waislamu na wasomi wengi huniagiza silaha zake za kiroho kama maji na mafuta ya upako

    Hawa manabii waliozuka na kujaa kama nzige wanajipatia waumini wa kuwapa utajiri. Hao wasomi, waislamu na wanasiasa wanawapinga ovyo mtandaoni lakini pembeni utakuta wananunua maji, chumvi, mchanga na mafuta ya upako. Hapa mtandaoni jamii forums sijawahi kuona mtu akisema wazi kama ni mfuasi wa...
  11. JamiiForums Tanzania Online Media zinazoongoza Tanzania kwa kuaminika taarifa zake mitandaoni

    Online Media (tv na radio) ni nyingi sana humu mitandaoni. Watu wanapata taarifa mbalimbali kwa haraka kupitia vyombo hivi kuliko Redio na Television za kawaida. Instagram na YouTube ndio mitandao inayotumika kupata habari na taarifa nyingi za vyombo vingi vya habari. Lakini Kuna social media...
  12. JamiiForums Tanzania Mbinu 6 za kumsahihisha Mkeo pale anapokosea pasipo kuumiza Hisia zake

    MBINU 6 ZA KUMSAHIHISHA MKEO PALE ANAPOKOSEA PASIPO KUUMIZA HISIA ZAKE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ukiishi na Mwanamke utagundua Wanawake NI viumbe weñye makosa mengi madogo madogo àmbayo Kwa kiasi kikubwa hawayafanyi Kwa kupenda. Uchunguzi wàngu unaonyesha kuwa makosa mengi yanatokana...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kupitia ilani ya Uchaguzi, CCM iliahidi kwa maneno na maandishi; Hivi sasa inatekeleza na kutimiza ahadi zake kwa vitendo

    Mungu atupe nini tena Watanzania, zaidi ya kumuomba katika umoja wetu, airejeshe madarakani tena na tena, Serikali sikivu sana ya CCM? Ndugu Wananchi, Maelezo mafupi sana mnayoyaona katika mabango pembezoni mwa barabara, kwenye kuta za fensi maeneo mbalimbali, kwenye magari binafsi, bodi za...
  14. JamiiForums Tanzania Kama Tajiri "Bilionea' Diamond kakubali kuwa hata Yeye 'sometimes' huwa anachapiwa / anabanduliwa Mademu zake, Wewe ni nani ukatae kuwa husalitiwi?

    Kuna Clip moja inasambaa Diamond Platinumz ( Nasib Abdul ) anasema kuwa hata Yeye pamoja na kuwa na Hela na kuwapa kila Kitu Mademu zake lakini bado kuna Masela ( akimaanisha Sisi akina GENTAMYCINE ) huwa Wanamchapia / Wanambandulia Mademu zake na kwamba akigundua hilo basi nae kwa Hasira huwa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo wa elimu Tanzania na athari zake kwa vijana

    Mfumo wa Elimu Tanzania umejengwa Kwa namna ambayo inahitaji mwanafunzi kupitia ngazi mbalimbali Kwa muda mrefu kabla ya kuhitim na kuanza maisha ya kikazi.tukiangalia Kwa undani tunaweza kuelewa kwanini inachukua muda mrefu sana. Elimu ya darasa la 1-7 inachukua miaka 7 mwanafunzi huanza akiwah...
  16. JamiiForums Tanzania Dhamira ya Kufungua Nchi pasinashaka ni Njema. Je, Tumejipangaje na athari zake?

    Chanzo: Jamiiforums.com, Roving journalist. "Tanzania sio kisiwa" utekelezaji wa kauli hii ulipoanza wengi ulituvuruga akili na kutuacha njia panda tukibaki tumeduwaa! Kwakweli Mama alitu-surprise hasa ile U-turn aliyoitwanga pasipo kupunguza mwendo, baada ya kupokea usukani... Hasa...
  17. JamiiForums Tanzania Nimefungua biashara lakini inaonekana mwenye nyumba kazindika Fremu zake

    Wakuu kuna biashara nimefungua sehemu lakini unashinda siku nzima hujauza hata mia. Location ni nzuri ni karibu na center kubwa kabisa. Hizi fremu watu hawakai huwezi kuta mtu amemaliza haya miez 6 . Nimekuja kuanza kusikia maneno baada ya kuchukua fremu kwamba mwenye napo kuna vitu amefanya...
  18. L

    JamiiForums Tanzania China yaungana na Waswahili kukikuza Kiswahili kwa kukitumia hadi kwenye tamthilia zake

    Kwa zaidi ya miongo miwili, sera ya China kwa Afrika ilijikita zaidi katika maendeleo na miundombinu. Lakini sasa imepanua mawanda yake na kuingia ndani zaidi hadi kwenye utamaduni na lugha, ikitumia njia ya kukikuza na kukieneza Kiswahili ili kujenga ukaribu zaidi na wenzao wa nchi za Afrika...
  19. JamiiForums Tanzania Kama bado haujafanya maamuzi ya kutulia na mwanaume ulienae/anaekutongoza basi usile hela zake

    Kuanzia unapotongoza mwanamke anakubebesha gharama zote ambazo alitakiwa kuwajibika mwenyewe au kugharamiwa na baba yake sasa hapa mwanaume akisalitiwa ndio yale yale ya msukuma na penny uko goba Imefika hatua hauwezi kutofautisha kati mke, mpenzi na kahaba maana along the way wote watataka...
  20. L

    JamiiForums Tanzania David Kafulila ni Mkuu wa Mkoa Pekee Nchini ambaye amewahi kumpa Amri Mkandarasi kurudia Barabara kwa gharama zake

    Ndugu zangu Watanzania, Napowaambia kuwa David Kafulila ni Chuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa wala kuogopa wala kupoozwa wala kuangalia ni nani anayepambana naye au aliye mbele yake. Chuma David...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…