zake

Zakes Makgona Mokae (5 August 1934 – 11 September 2009) was a South African-American actor of theatre and film.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tamanio la ME ni kuzifikia Sexual Fantasies zake na KE ni kuzifikia Beauty Fantasies zake. Ili zifanikiwe, kila mmoja atategemea kum-exploit mwenzake.

    Hahaha Ukitaka kujua jinsi gani akili ya kijana wa kiume ni chafu ebu fungua uzi wa "ipi ni sexual fantasy yako?" Ukitaka kujua hatua mwanamke anaweza kufika kwa ajili tu ya urembo wake ebu fuatilia mnyororo wa pesa zinapotoka kupelekea dogo wa kike wa 2004 kumiliki "i phone 16" . Vitoto...
  2. Desierto

    JamiiForums Tanzania Nimemwambia leo silali nyumbani, ameanza kuwapigia ndugu zangu na ndugu zake simu wamuombee msamaha

    Alinibania nikamvumilia sasa nikaona huu ni upuzi ya nn niteseke sasa baada ya kugundua nimeanza mahusiano mapya ameanza kuvurugwa. Kipindi sina demu alikuwa ananijibu kwa jeuri kwa sababu alikuwa na uhakika yupo mwenyewe Sasa baada ya kuendeleza mgomo nikamwambia Leo sitalala nyumbani, kufika...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa kusoma Computer Engineering nisaidieni!! Vipi ajira zake zipo?

    Nimechaguliwa DIT kusoma computer Ingineering naomba kujua fursa Zake katika kujiajiri kuajiriwa pia! Niongozeni wakuu.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Je unahitaji kujua jinsi ya kufanya Payroll na tax zake?

    Habari wana JF, Mimi ni Mtanzania mwenye elimu ngazi ya Degree ya biashara katika uhasibu. Natafuta kazi ya kuandaa Payroll na tax zake monthly kama Part time kwa gharama nafuu kabisa. Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 8 kwenye sector binafsi.. Napatikana kwa namba 0657940974 Karibuni sana..
  5. Ndama Matandiko

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Habari zenu Wana JF? Poleni na hongereni Kwa majukum ya kulijenga Taifa na uchumi wetu Kwa ujumla. Leo nipo hapa kuzungumzia jambo Moja tu. Jambo lenyewe ni kumekuwa na malalamiko ya wamiliki wa vituo vya mafuta. Kulalamikia mifuniko ya kiSasa ya Tank la mafuta MANUAL COVER inayokaa juu ya...
  6. The Eric

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusheni Wanaume, Usimpende Wakati wa Shida zake, ukajua umeokota Dodo

    Salaam Wanaume Wenzangu mnaosoma huu Uzi. TAFADHALI: Hii ni kwa ajili ya Men, wanawake wa jamii forum msipite hapa tuna kikao. Kile Kikao cha Wanaume leo tena kipo hapa. ⚠️⚠️⚠️CAUTION: USIMPENDE MWANAMKE NA KUMZIMIKIA ETI KISA KAJA KWAKO AU KAKUFUATA ANAKULILIA SHIDA ZAKE, AU KAVURUGWA ZAKE...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Acheni Kuzuga hapa Wote mlimpenda kwa Tamaa zenu za Hela zake na baada ya 'Kuwatifua' na kuona hamna Jipya akawaacha na leo mnajifanya kuwa Marafiki

    Kama utani vile, waigizaji nyota wawili wa Bongo Movie, Kajala Masanja na Jacklyne Wolper wamejikuta wakimaliza bifu walilokuwa nalo kutokana na kila mmoja kuwahi kutoka na staa wa Bongo Flava, Harmonize baada ya kukutana katika pati la siku ya kuzaliwa ya mtoto wa Leah Richard ‘Lamata’. Wawili...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, zile Hasira zake za jana zinaenda pia na kwa Watu wake hasa wa CCMVU na MK Ima au ni kwa Sisi Watesi, Wamarekani na Wapinzani?

    Nitashukuru kama nikijibiwa juu ya hili kwani najua kuwa hata Watu wa Chamani Kwake nao walipaza sana Sauti zao.
  9. maelekezo

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa kozi aina yaa Filter Mechanics

    Masada wakubwa kuhus filter mechanics ni kozi inayohusu nini haswaa na ina upana gani kwenye ajira
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Eti kwa sababu mpenzi wake ha-view status zake wala hamposti mitandaoni, ameamua kum-unfollow Instagram na maeneo mengine, ugomvi mkali umeibuka

    Ni ipi nafasi ya mitandao ya kijamii kwenye mahusiano, uchumba, na ndoa hata paibuke ugomvi, kutoelewana, kutengana, au vurugu baina ya wapenzi au wanandoa kwa sababu tu ya kuposti picha, ku-view status, au ku-unfollow? Je, migogoro hii ni matokeo ya utoto, kutokuelewa umuhimu, na matumizi...
  11. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Selemani Jafo: Naipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kuboresha miundombinu ya kutolea huduma katika Bandari zake

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo (Mb) ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kuboresha miundombinu ya kutolea huduma katika Bandari zake hali iliyoongeza kasi na ubora wa kuhudumia Meli na Shehena. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya 19 ya...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Afichaye dhambi zake hatofanikiwa

    3 Yoh 1..2 N mapenzi ya Mungu ufanikiwe, Lakini sio ktk dhambi. Kama unataka kufanikiwa tubu omba rehema Acha dhambi za sirini
  13. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kila anayeonyesha Pesa zake mitandaoni serikali imtake aonyeshe na kodi aliyotoa

    Kama mtu amepata ujasiri wa kuonyesha maburungutu ya pesa mitandaoni, huku aonyeshi chanzo halali cha pesa hizo serikali isikalie hilo jambo kimya. Angalau watakwe kufanyiwa tax clearance wapewe doc ya kujipata na pesa mitandaoni. Hiyo itathibitisha ni pesa halali na huyo mtu anafaa kutumikq...
  14. Emanuel Platnumz

    JamiiForums Tanzania Jamani huu ni ugonjwa gan na dawa zake ni zipi?

  15. Baba Vladmir

    JamiiForums Tanzania Ukikamua tunda ili kupata juice unapoteza nyuzinyuzi zake ( Fibers)

    Ukikamua tunda ili kupata juice unapoteza nyuzinyuzi zake ( Fibers). FAIDA ZA KULA FIBERS; Mosi , Fibers ni chakula cha chembe hai za utumbo mpana. Utumbo mpana huzibadili fibers kuwa mafuta yajulikanayo kama BUTYRIC ACID. Mafuta haya ndo chanzo cha nishati kwa chembe hai za utumbo mpana (...
  16. U

    JamiiForums Tanzania IDF yaandika historia tena, ndege zake 100 zasambaratisha kambi za Hezbollah, walikuwa wanajiandaa kuishambulia Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Israel yafanya kufuru Leo asubuhi Iko hivi Hezbollah walishajiandaa kuisambaratisha Israel hasa maeneo ya kati na kaskazini Hata hivyo idarayaza ujasusi za Israel zilipata taarifa kamili ya mipango hiyo ya magaidi Sasa walichofanya IDF ni kuwawahi Kwa kuishambulia...
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kila mwaka Azam huwa anatolewa kimataifa kabla Simba haijaanza mechi zake

    Sisi Azam tukubali hatuna timu tuna kikundi cha wachezaji SOMA - LIVE - CAFCL: APR 2-0 AZAM FC | Preliminary Stage 2nd Leg| aggregate : 2-1 | 🏟 Amahoro Stadium | 1900hrs | 24.08.2024
  18. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Judith Kapinga amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI

    Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI linaloendelea Visiwani Zanzibar. Wizara ya Nishati inashiriki katika tamasha hilo kupitia Maonesho ambayo Wizara inatoa huduma moja kwa moja kwa wananchi kwa...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huwa najiuliza sana tu kama Mzee Mpili akiwa Mzee hivi anaonekana ni Mtata, je, enzi zake akiwa Kijana alikuwaje?

    Ni Mzee ambaye pamoja na kuwa ni mwana Yanga SC na Mimi kuwa mwana Simba SC ila huwa ananichekesha mno.
  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nyimbo maarufu kuliko original zake

    1. Changes ya Tupac https://youtu.be/eXvBjCO19QY?si=Fwtyece1Ac7kPCkH Origina yake https://youtu.be/GlRQjzltaMQ?si=ZwPSmhk-4Vx8__Ku 2. Forever Young ya Jay Z https://youtu.be/Kzq15y2J4UM?si=JQi1v7F_i7B7gYTF Original yake https://youtu.be/t1TcDHrkQYg?si=bwgTEt655tTKDUq0 3. Toy Soildiers Eminem...
Back
Top Bottom