zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Mbowe ndiye kiongozi pekee wa upinzani ambaye wabunge wake zaidi ya 20% walihamia CCM

    Kwanini ni CHADEMA tu chini ya Mbowe ndio wabunge wake hutamani sana kuitumikia CCM. Hebu fikiria katika bunge la 11 zaidi ya 20% ya wabunge wa kuchaguliwa wa CHADEMA walikimbilia CCM, hili siyo jambo dogo kabisa. Hapo CHADEMA kuna biashara gani. Morrison funga hao Nigeria. Maendeleo hayana...
  2. Nawezaje kutuma meseji yenye maneno mengi (I.E zaidi ya 200) kwenye SMS App yangu

    Habari wana JF, nahitaji kujua kama kuna uwezekano wa kutweak sms app na kufanya iweze kutuma meseji yenye maneno mengi kama vile 200 na zaidi au kama kuna mbinu au application inayoweza kufanya hivyo ningependa tujuzane. Lengo langu ni niweze kutuma simulizi kwenye app ya ujumbe mfupi na sio...
  3. Nawezaje kutuma meseji yenye maneno mengi (ie. zaidi ya 200) kwenye SMS app yangu?

    Habarini wana JF, nahitaji kujua kama kuna uwezekano wa kutweak sms app na kufanya iweze kutuma meseji yenye maneno mengi kama vile 200 na zaidi, hata kama kuna mbinu au application inayoweza kufanya hivyo, naomba tujuzane manake nataka niwe natuma simulizi kwenye app ya ujumbe mfupi na sio...
  4. Uganda: Waliokufa kwa maandamano waongezeka, Jeshi latoa tamko

    Idadi ya watu waliopoteza maisha katika maandamano na vurugu nchini Uganda wanaodai Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine aachiwe huru imeongezeka na kufikia 37, kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi nchini humo. Polisi walimkamata Bobi Wine Jumatano wiki hii katika mji wa Luuka...
  5. Total yazidi kufanya mambo kwa ajili ya Watanzania! Kwa Total, mteja ni zaidi ya mteja; mteja ni mshirika

    Wanabodi, Mimi ni mdau wa Total, na haya ni mambo ya Total Mkurugenzi Mkuu wa Total Tanzania Bw. Jean-Francois Schoepp, akizungumza katika hafla ya kuzindua wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020, katika kituo cha mafuta cha Total Africana, kilichopo êneo la Africana, Mbezi...
  6. Hamza Bendelladj "the smilling hacker"

    Mshukiwa mmoja wa udakuzi wa komputa ambaye anasakwa na idara ya ujasusi nchini Marekani, FBI, kuhusiana na madai ya kuiba mamilioni ya madola kutoka benki za Marekani, ili kufadhili maisha ya anasa, amekamatwa mjini Bangkok Thailand. Hamza Bendelladj baada ya kukamatwa na polisi mjini...
  7. Sweden yapiga marufuku mikusanyiko yenye watu zaidi ya 8. Wananchi watakiwa kuacha kufanya sherehe na kwenda Gym

    The Swedish government on Monday moved to cut the size of public gatherings sharply as it sought to come to grips with a second wave of the pandemic that has seen record daily numbers of new cases and growing pressure on hospitals. Swedes are not sticking to coronavirus recommendations as well...
  8. S

    Unganeni kukikataa kikundi hiki kabla hakijakomaa zaidi ya hapa na kuwa kikundi cha hatari zaidi

    Huu sasa ndio muelekeo kwenye Taifa moja katika Bara fulani ambako kuna chama fulani cha siasa sasa kimebaki chama siasa jina tu, ila kiuhalisia chama hicho kimegeuka kikundi cha watu wachache kilichokamata serikali (dola) katika nchi hiyo, na kinaweza fanya lolote pasipo hofu utadhani nchi hiyo...
  9. Kuboresha uhusiano wa Wanafunzi na Waalimu kunaweza kuwa na faida muhimu na za kudumu zaidi ya kufaulu kimasomo tu

    Jinho Kim(PhD), Profesa Msaidizi katika Idara ya Sera ya Afya na Usimamizi Chuo Kikuu cha Korea anasema, kuboresha uhusiano wa Wanafunzi na Waalimu kunaweza kuwa na faida muhimu na za kudumu zaidi ya kufaulu kimasomo tu Utafiti ulihusisha washiriki karibu 20,000 (3,400 kati yao walihusisha...
  10. GE2020 Wanachama wa CHADEMA zaidi ya 350 wanashikiliwa Magerezani na kwenye vituo vya Polisi nchini Tanzania kwa sababu za Uchaguzi wa 2020

    Taarifa hii ya kusikitisha imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh John Mnyika , alipokuwa anaongea na Gazeti la Mwananchi . Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba wengi kati ya waliokamatwa wamepewa kesi za uongo zisizo na dhamana za Mauaji , Uhujumu uchumi , Ugaidi , Unyang'anyi na kukutwa na vifaa...
  11. Wakenya 23 wafariki ndani ya saa 24 kwa Corona, Jumla ya waliokufa ni zaidi ya 1,200

    Poleni sana majirani, ila hii Corona imewaonyesha uwezo wenu na udhahifu wenu kama nchi katika kukabiliana na majanga, sasa ninadhani kwa wakenya wengi wanajua kwamba kwa kipindi kirefu walikua wanadanganywa na viongozi wao kuhusu uwezo wa Kenya ukilinganisha na majirani wake.
  12. Nataka niamini kuwa wapo viongozi wa dini ndio wanashiriki zaidi kumshauri Mukulu zaidi ya 75%

    Habari za saa wajumbe wangu, Kuna ndoto ambayo nimeona na nikaamka usiku wa kuamkia jana kwamba viongozi wetu wa dini hasa hasa jamaa zetu wa Rome wanashiriki kumshauri mzee zaidi ya 75%. Si vibaya kupewa ushauri wa kiroho kutiwa moyo namna ya kuwahudumia watu wako, lakini je kuna ukweli na...
  13. GE2020 Tundu Lissu alikuja CHADEMA ikiwa na wabunge zaidi ya 50, anaondoka, ikiwa na Mbunge 1

    CHADEMA ambayo ilikuwa inanufaika na ruzuku ya zaidi ya shilingi milioni 328 kwa mwezi imejikuta katika hali mbaya baada ya ''Mtaalam wa sheria'' kuwaaminisha wanaCHADEMA kuwa anakwenda siyo kuifanya ipate ruzuku zaidi bali pia kuifanya iingie Ikulu. Baada tu ya kuwaaminisha, kelele zikawa kila...
  14. Daily News: Zaidi ya watu milioni 10 nchini wanaweza kushtakiwa kwa kutumia VPN

    Ingependeza zaidi kwa wale waliojihusisha na matukano, pia maisha ya dunia yetu kwa sasa watu wengi huitaji mtandao si kwa ajili ya kutizama mambo yao ya kisiasa watu wengi hutumia mtandao kwa ajili ya kuendeshea biashara zao mbalimbali au opotunuty seekers ajira na kadhalika just imagine once...
  15. N

    Takriban watu 50 wamekatwa vichwa na wapiganaji wa Kiislamu nchini Msumbiji

    Takriban watu 50 wamekatwa vichwa na wapiganaji wa Kiislamu nchini Msumbiji, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti. Wapiganaji hao waliugeuza uwanja wa kuchezea kandanda kuwa 'kichinjio' , ambapo walikatakata miili ripoti nyengine zinasema. Watu kadhaa pia walikatwa vichwa katika kijiji...
  16. Watu zaidi ya 50 wanusurika kifo katika ajali basi la Abood

    Watu zaidi ya 50 wamenusurika kifo baada ya basi la Abood (T 266 DBV) walilokuwa wakisafiria kutoka Morogoro kwenda Dar es salaam kupinduka mara mbili katika eneo la Ruvu wilayani Kibaha. Baadhi ya abiria walionusurika katika ajali hiyo wameiambia TBC kwamba ajali hiyo imetokea majira ya saa...
  17. Kati ya Mama na Mke nani anastahili zaidi ya 50% ya mapenzi

    Kwanza kabisa tuelewe majukumu ya hawa watu katika sekta zao. Heshima ya Mama haipungui kijana unapooa. Tunajua umuhimu wa Mama toka amekubeba miezi 9 umezaliwa umekuwa na umejitambua hilo ni jukumu lake na lazima apate heahima kama Mungu alivyoagiza. Umejitambua unataka sasa...
  18. Google docs and sheets kwangu imeanza kuwa bora zaidi ya MS office

    Mara nyingi uwa naweza kuwa nafanya kazi nikasahau kusave nijikuta mara softare imefreeze, nimepoteza kazi kubwa niliyokuwa nimefanya. Ila mara kibao nikiwa nafanya kazi na wenzetu mara nyingi wana prefer tutumie google docs/sheets ili waweze kutrack progress ya kazi. Uzuri ni cloud service...
  19. Marekani yarekodi visa zaidi ya 100,000 vya maambukizi ya Coronavirus. Hekaheka za Uchaguzi zatajwa kuwa chanzo

    Takriban visa vipya 103,000 vya maambukizi ya COVID-19 vimeripotiwa nchini #Marekani ndani ya saa 24, huku hekaheka za Uchaguzi zikidaiwa kuchangia ongezeko hilo Hii ni rekodi kubwa tangu Septemba 4 ikiwa ni siku 2 baada ya Uchaguzi wa Urais, kulingana na takwimu zilizotolewa na Chuo cha Johns...
  20. 2020 GEORGIA BANK ROBBERY: Mtu mmoja (inasemekana ni mwanajeshi muasi) anawezaje kuwachukua mateka watu zaidi ya 40 kwa wakati mmoja bila kizingiti?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Eti ndugu zangu watanzania; Mtu mmoja (inasemekana ni mwanajeshi muasi) anawezaje kuwachukua mateka watu zaidi ya 40 kwa wakati mmoja bila kizingiti? Polisi katika jamhuri ya zamani ya Soviet ya Georgia walikuwa wakimtafuta jambazi wa benki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…