zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Mwenge agoma kuteketeza zaidi ya kilo 3000 za bangi

    Kiongozi wa mbio za mwenge josephine Mwambashi amegoma kuteketeza kilo zaidi ya 3000 za madawa ya kulevya aina ya bangi na misokoto zaidi ya mia nane baada ya kutolidhishwa na eneo lililotengwa kufanyia shughuli hiyo kwakua ni sehemu ya makazi ya watu. Kiongozi huyo amegoma kuteketeza madawa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Euro 2020: Upigaji wa penati ni tatizo. Mpaka sasa zimetolewa penati 11 na zaidi ya nusu goli halikufungwa!

    Mpaka sasa kuna penati 11 zimetolewa, lakini upigani wa penati bado ni tatizo sugu!! Zaidi ya nusu ya penati hizo hazikufungwa. Tatizoni nini? Je kikwazo ni umahiri wa magolikipa au ni mbinu mbovu za wapigaji wa penati? tujadili! Ukiangalia jkubwa wa majina ya wapiga penati usingetazamia wengi...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Biden watengeneza ajira kuliko utawala mwingine wowote katika historia - zaidi ya ajira 500,000 kwa wastani kwa mwezi

    Uchumi umetengeneza ajira zaidi ndani ya miezi minne ya kwanza ya Utawala wa Biden kuliko utawala mwingine wowote katika historia - zaidi ya ajira 500,000 kwa mwezi kwa wastani. Hiyo sio kwa bahati - mpango wa uchumi wa Biden unafanya kazi. The economy has created more jobs under the Biden...
  4. James Martin

    JamiiForums Tanzania Tishio la Wakenya kuitaka ardhi yetu ni zaidi ya Wachina na wazungu

    Wakenya ni majirani zetu na ndio nchi pekee duniani ambayo naweza kusema tunachangia vitu vingi sana. Kwa mfano, tunaongea lugha moja, chakula chetu kinafanana na kuna makabila mengi ambayo yapo Kenya na Tanzania. Pamoja na ujirani wetu na mila na tamaduni kufanana lakini pia kuna tofauti kubwa...
  5. msovero

    JamiiForums Tanzania Walimu sita wanalazimika kufundisha zaidi ya Wanafunzi 700 Sekondari ya Mwabusalu-Meatu

    WALIMU SITA, WANAFUNZI MIA SABA Mwabusalu Sekondari, Meatu Simiyu (Miaka 3, DIV I-0, II-7, III-14, IV-74, O-9) Habari Gani Tanzania? Shule ya Serikali ya Upili ya Mwabusalu (SLP 232) iliyopo Wilayani Meatu, Mkoa wa Simiyu inakabiliwa na uhaba wa walimu kwa miaka mingi sasa. Mwaka huu wa 2021...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mwanadamu mwenye akili timamu anakaa ofisini kuwafanyia watu kazi kwa zaidi ya miaka mitano?

    Habari za Leo wakuu, Leo nilikua najaribu kuiuliza akili yangu swali lifutalo. Hivi inakuwaje mwanadamu mwenye akili timamu anakaa ofisini kuwafanyia watu kazi kwa zaidi ya miaka mitano? Yaani kwamba mwanadamu unafanya kazi za watu ambazo sio zako. Yaani hapo ndio najiuliza, wakuu. Wakuu...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Sababu ya mwanamke kuzaa watoto zaidi ya watatu kwa wakati mmoja yatajwa

    Mwanamke wa Afrika Kusini , Gosiame Thamara Sithole amejifungua watoto 10 na kuvunja rekodi ya kuzaa watoto wengi. Mara nyingi huwa ni matokeo ya kufanya tiba ya uzazi - lakini wapenzi hawa wanasema wao walitumia njia ya asili kupata mimba. Teboho Tsotetsi, mume wa mwanamke huyo mwenye miaka 37...
  8. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bajeti ya Kenya ni zaidi ya mara mbili ya Tanzania, Wabongo wanazidi kukwama sana

    Kenya kainchi kadogo kenye raslimali chache, ila tunajtuma mithili ya sisimizi, sijui lini Watanzania wataamka na kufanya chochote cha maana, GDP yetu inaelekea kuwa mara mbili ya Tanzania, ukizingatia Tanzania ni muungano wa mataifa mawili yenye raslimali kedekede, sijui wana gubu au nini hawa...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania 50/50 inayotafutwa haina msingi zaidi ya kufahamiana na kujuana

    Ulinganifu hauwezi kuletwa na rais. Samia anatakiwa aelewe amefikaje hapo na ajiulize je, angejaribu kuomba urais wa Z’bar angeupata? Sasa anaanza kulazimisha kabla ya kuondoa mfumo na vikwazo vilivyo mbele ya wanawake. Tunajua atawateua lakini watatuangusha. Tunawaona bado wakifundishwa uvaaji...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Serikali inatoa elimu bila ada sio elimu bure

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, David Silinde amesema serikali inatoa elimu bila ada sio elimu bure hivyo wazazi washiriki katika kutoa michango mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya shule. Aidha Waziri wa Elimu, Joyce Ndalichako amesema waraka wa serikali namba 3 wa 2016 ulieleza...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali yakamata Wahamiaji haramu zaidi ya 1000 katika kipindi cha miezi 3

    Serikali imesema katika kipindi cha miezi mitatu imefanikiwa kukamata wahamiaji haramu zaidi ya elfu moja katika maeneo mbalimbali nchini. Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mh.George Simbachawene amesema hayo bungeni mkoani Dodoma. Amesema kwa sasa kuna operesheni maalum ambayo imeanza tarehe...
  12. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inaweza kufanya vizuri bila ruzuku kwa sababu ada za Wanyonge (2500/=) zitawaingizia zaidi ya Tsh 5 Bilioni kwa mwaka

    Kiukweli CHADEMA kwa utaratibu wao mpya wa mfumo wa ada za uanachama wanaweza kufanya vizuri zaidi hata kama hawatapata ruzuku ya Serikali. Kama wanachama milioni mbili wa CHADEMA watalipa tsh 2500 ambayo ni ada ya chini kabisa basi chama kitaingiza Tsh 5 bilioni kwa mwaka. Hapo hujatuingiza...
  13. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania kuwakilishwa na wanariadha 3 Olympic kule Tokyo, huku Kenya ikiandaa kutuma zaidi ya 100

    Ndugu zetu wa Kusini haya mambo yamewashinda kabisa, wameambulia vigodoro tu. Hehehe ======= Only three athletes to represent Tanzania at Tokyo Olympic games Tanzania will be represented by only three athletes in the Tokyo’s Olympic Games after three runners failed to secure qualifying marks...
  14. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 25 nifanye biashara gani itakayo nilipa robo tatu au zaidi ya hiyo kila wiki?

    Nina milioni 25 nifanye biashara gani itakayo nilipa robo 3 au zaidi ya hiyo kila wiki au biashara ipi itakayo nilipa sana na kwa haraka.
  15. De Professor

    JamiiForums Tanzania Umewahi fanya tendo la ndoa na watu zaidi ya watatu? Hiki ndicho kinakuotea

    Habarini wana jamvi kwanza nafurahi siku ya leo nimerejea tena JF baada ya kutoweka kwa miaka 5 na kupoteza Acc yangu ya mwanzo. Nije kwenye mada husika, katika kipindi hiki nimekua nikiona habari za watu kufanya mapenzi na mara huyu mara yule imekua kawaida tu kiufupi kwasasa sehemu za siri...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mimi Dereva nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitatu

    Wakuu habari za kazi, Naomba msaada wenu wa kupata kazi ya udereva, mtu yeyote mwenye conection anisaidie, nilisomea veta leseni yangu ina madalaja A B D E, pia nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitatu kama cv yangu inovyo onesha, naendesha magari madogo, na truck. Call/WhatsApp, 0766428475...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Shutuma za Diamond Platnumz dhidi ya Forbes, sasa naanza kuamini maneno ya Vijiweni kuwa Bakheresa ni tajiri zaidi ya MO

    Habari, Jana msanii tajika sana nchini Tanzania, Afrika Mashariki na kati na pengine kuliko wote kusini mwa jangwa la Sahara Naseeb Abdul, maarufu kama Diamond Platnumz, alisaini dili kubwa na moja kati ya recording label kubwa ya muziki dunia, Warner Music Group, kuhusu usambazaji wa kazi za...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hai: Zaidi ya Wafanyabiashara 36 wathibitisha kuwa na Nyaraka za uhakika kuthibitisha tuhuma za Sabaya. Waomba kukutana na mamlaka inayomchunguza

    Hii ndio habari mpya inayosambaa Wilayani Hai kwa sasa baada ya Taarifa ya kufutwa kazi kwa aliyekuwa DC wa hapo bwana mdogo bilionea mpya Sabaya (miaka 34) , ambaye anachunguzwa kwa makosa mbali mbali ikiwemo uvamizi , uporaji wa pesa na wizi wa kuaminiwa ikiwa ni pamoja na ulevi wa madaraka...
  19. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Ni nchi gani yenye mipango miji mibovu zaidi ya Tanzania?

    Nilikua napita pita kwenye Google Earth nimegundua miji mingi Tanzania imekaa hovyo hovyo sana. Kuna nchi ziko jangwani kabisa lakini wamejenga kwa mpango mzuri. Hata DRC ambayo kuna migogoro kila mara bado kumepangwa vizuri. Tanzania badala ya kujenga miji mipya wanabomoa ya zamani na kujenga...
  20. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Video ya Anjela wa konde music worldwide yawa gumzo, yafikisha zaidi ya views milioni moja ndani ya saa 24

    Video ya msanii Anjela wa konde music worldwide imefanya maajabu na kuonyesha kukubalika kwa haraka sana ambapo imefikisha zaidi ya views milioni 1 ndani ya saa 24. Mafanikio makubwa ndani ya muda mfupi baada ya kutambulishwa kwa mwanadada huyo mwenye vocals hatari na mashairi machachari...
Back
Top Bottom