zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimepata ajira ambayo PAYE yake ni zaidi ya mshahara wa serikali nilioenda kufanyia interview Dodoma

    Mwaka jana mwezi September nilienda usahili pale utumishi Dodoma na niliweka mrejesho hapa. Usaili wa utumishi (kwenye interview ya mchujo) unawalenga wanafunzi na wahitimu wapya Kimsingi mimi kama expert (niko internationally certified) sikupenda aina ile ya interview kuulizwa masuala ya...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mpambe wa Mwigulu, Iramba hana weledi wowote wa kiuongozi zaidi ya siasa tu

    Huyu ni Mwenyekiti wa Hkamshauri ya Wilaya ya Iramba - Innocent Msengi. Huyu kama bosi wake Mwigulu alirudia shule ya msingi zaidi ya mara tatu - awali akiitwa Masaganya Zengo - then likaja la Mandi Kapendo lakini alilotumia mwishoni kabisa akisoma Tumaini Sekondari alimalizia na la Innocent...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuna matatizo mengi zaidi ya kebehi kwa Hayati Magufuli, Wanasiasa wanaotumia kichaka hichi Tuwakatae hadharani

    Habari JF, Hivi mbona watanzania tunakuwa wajinga kiasi hiki? Maisha mtaani magumu ,ufisadi na Huduma bado duni za kijamii lakini bado mtu badala waje watusemee matatizo yetu, kila siku kumsema mtu ambae hayupo. Kibaya zaidi huyo mtu hawezi jibu hizo tuhuma na hawezi shitakiwa na hakuna hata...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Zaidi ya wanawake 1500 wapo Dar es salaam kumpongeza Rais Samia Machi 19, 2023. Hawana nauli za kurudi nyumbani na hawajui wale/walale wapi

    Njoo kwenye hoja. Leo kumetokea kituko Dar. Kuna wanawake zaidi ya 1,500 wamewasili Dar kutokea mikoa yote ya Tanzania. Nia ya wao kuja Dar ni Ili waweze kukutana Kesho asubuhi hadi saa nane Mchana Ili kumpongeza mama Samia. Kwa masikitiko makubwa na huzuni kubwa wamama hao wamelipa nauli kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi mtu mwenye zaidi ya miaka 35 kuumia kwasababu ya mapenzi?

    Huwa najiuliza sana hili swali. Yaani huwa nashangaa kusikia au kuona mwanamke au mwanaume mwennye miaka 35+ kulia na kuhangaika kwa sababu ya mapenzi! Ni kwamba wameruka hatua za ukuaji au ni hisia? Unajua above 35, tuna assume mtu ana watoto wakubwa ambao wameshaanza kujitambua. Na hata kama...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Awauzia wakazi wa Dar es salaam mishikaki ya nyama ya Mbwa kwa zaidi ya miaka 10. Adai wanaipenda, ni tamu

    Mzee mmoja ambaye jina lake linahifadhiswa, amekutwa akitengeneza mishkaki kwa kutumia nyama ya Mbwa na kusema biashara hiyo aliianza tangu mwaka 2010 akiwa katika stendi ya Ubungo na sasa alikuwa stendi ya mbezi (Kituo cha Mabasi Mbezi, Magufuli). Chanzo : Channel Ten
  7. JamiiForums Tanzania Simba atafungwa na Raja zaidi ya goli 6 huko Morocco

    Ndio, ni hesabu za CROSS MULTIPLICATION. Mwaka 1998 Yanga alidraw na Raja hapa Dar es salaam, Morocco akapoteza kwa goli 6. Sasa huyu aliyefungwa 3 Taifa, Morocco atapigwa ngapi?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa barabara ya Mbulu - Haydom ni zaidi ya aibu

    Barabara tajwa hapo juu ujenzi wake ulianza mwaka jana. Ambacho kimefanyika mpaka sasa ni kwamba mkandarasani amesafisha kama KM 5 na ameiacha ameshaondoa vyombo vyake nasikia yuko Manyoni kujenga barabara nyingine. Eneo lililosafishwa limeshaota majani, jamani Mbulu kunani? Hii barabara ni ile...
  9. JamiiForums Tanzania Michael B. Jordan adai Drake ni Mkali zaidi ya JAY-Z na Tupac

    Kupitia mahojiano na Jarida la Complex, mwigizaji Michael B. Jordan ameweka wazi kuwa nyota huyo mwenye asili ya Canada anapaswa kupewa heshima ya juu zaidi ya wakongwe wa #HipHop kama 2Pac na JAY-Z. Jordan akiwa na mwigizaji Jonathan Majors amesema anadhani Rapa na Mwimbaji Drake anapaswa...
  10. JamiiForums Tanzania Polisi wapandisha bei za stika kutoka Tsh. 3,000 hadi Tsh. 7,000, ongezeko la zaidi ya 133%

    Wakati watu tunalia vitu kupanda bei bila kujali uchumi wa wenye nchi, Polisi wamepandisha Bei ya stika ya Saloon car hadi Tsh. 7,000 kutoka Tsh. 3,000. Ukiwauliza hizi stika zinapunguzaje ajali, wanakuwa wakali.
  11. JamiiForums Tanzania Misemo maarufu zaidi ya Yesu

    Yohana 3:16 [16]Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. Yohana 3:5 [5]Yesu akajibu, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuuingia ufalme wa Mungu. Luka 6:31 [31]Na...
  12. JamiiForums Tanzania Njombe: Zaidi ya 30% ya Wakazi wa Vijijini wana Ugonjwa wa Usubi

    Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji wa Njombe Dk. Isaya Mwasubila amesema Tafiti zimebaini Maambukizi makubwa katika maeneo 4 ambayo ni Itipula ina 30%, Igola 11.22%, Mji Mwema 5.68% na Mamongolo 4%. Kutokana na hilo, Wizara ya Afya imeanza kampeni ya kutoa Dawa ili Kuwakinga Wananchi ambao...
  13. JamiiForums Tanzania Depression na Wasiwasi Uliopitiliza unagharimu Uchumi wa Dunia zaidi ya $ Trilioni 1 kila mwaka

    Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Takriban 20% ya Watoto na Vijana duniani wana Tatizo la #AfyaYaAkili, ikiwa ni sababu ya Pili kwa kuchangia Vijana wenye miaka 15 hadi 29 kujiua duniani. Pia, katika kila kundi la Watu 5 waliopo kwenye mazingira yenye Vurugu, mmojawapo anakabiliwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Doto Biteko anahujumu tume ya madini, zaidi ya miezi 2 mtandao wa malipo haufanyi kazi

    Kwa masikitiko makubwa Tume ya madini imeshindwa kupokea malipobau kutoa namba ya kulipia malipo ya aina yeyote sasa ni miezi 2. Waziri Doto Biteko jiongeze hali sio nzuri na serikali inahitaji kodi
  15. JamiiForums Tanzania Mwana FA atakuwa Naibu Waziri mbovu kuwahi kutokea Tanzania. Hatatoa msaada kwa wasanii zaidi ya kuwagawa

    Huyu amepewa uwaziri na Mama Samia naona watu wengi wameipokea hii habari kama ni habari njema kwenye michezo sanaa na burudani. Kwa tunaomjua Mwana FA hapa hakuna kitu kipya atafanya kusaidia wasanii na wanamichezo. Huyu i mbinafsi, ana roho mbaya, anaringa ile kuringa sio kitoto, ana dharau...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna watu Duniani ni zaidi ya Gaidi wa kawaida pale unapoishi nao, sitosahau hii

    Wakuu habari za wakati na poleni kwa majukumu kwa ujumla. Nina stori naleta kwenu na hichi ni Kisa cha kweli kuwahi kunitokea mimi katika maisha yangu, basi niaze nakusema maisha yana mengi sana wakuu. Miaka ile ya 2000's nikiwa bado shule nilifika mahali nikawa nimekwama mahitaji ya kujikimu...
  17. JamiiForums Tanzania NMC wakati wa Mwalimu Nyerere ilikuwa na malengo zaidi ya malengo!

    Nimejikuta leo hii nalikumbuka shirika letu hili pendwa la NMC, nikajisikia vibaya sana, ukizingatia malengo ya NMC, Ilikuwa ni pamoja na kununua mazao mashambani kwa bei isiyo ya kumuumiza mkulima, ku process au kuchakata mazao hayo kama ni unga au la na kuuza bidhaa iliyo kamili, kwa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Vita na mafisadi na wauza madawa ni kukiendea kifo?

    Binadamu wote ni jasiri! Hata mimi na wewe, sote ni majasiri na wakati mwingine vile viwango vyetu vya uvumilivu vinapokoma, nafsi na miili yetu hufika ukomo wa kuona maumivu kufaa kuvumilika tena, na hatimaye hujikinahi na kuona sawa tu kwa lolote! Na hapo mtu hukubali hata kukabiliana na kifo...
  19. JamiiForums Tanzania Hataki tufanye Sex zaidi ya kuromance mpaka nimuoe licha ya kudumu naye kwa Miaka minne

    Wakuu habarini za Jioni niko na Kademu bado ni ka bikra ka Chuo tatizo lililopo ni moja tumedumu zaidi ya miaka mitatu bila kuchakata mbususu though nishakavua nguo nikajaribu kutaka kuingiza mkunguyenge akagoma kabisa. Suala lililonifanaya nianzishe hii mada ni kwamba Huyu mtoto kuna mambo...
  20. L

    JamiiForums Tanzania China kujenga nchi yenye nguvu zaidi ya kilimo kunufaisha dunia nzima

    Hivi karibuni China ilitoa Waraka Namba 1 kuhusu suala la kilimo, ikiagiza kwa mara ya kwanza kuharakisha ujenzi wa nchi yenye nguvu kubwa ya kilimo. Hatua hii ina umuhimu mkubwa wa kimataifa na itanufaisha dunia nzima. China kuharakisha kujenga nchi yenye nguvu zaidi ya kilimo kutatoa mchango...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…