zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, Ili ashinde urais mwaka 2030 lazima ashinde mikoa zaidi ya mitano

    Njozi ya Zitto Kabwe kugombea urais mwaka 2030 iko wazi baada ya mitandao ya kijamii kumnukuu akiweka wazi nia yake hiyo. Hata hivyo ili ashinde mbele yake ana kazi kubwa kwa kuwa anahitaji kupata ushindi wa kishindo ktk mikoa mitano au zaidi. Sasa swali la kujiuliza ni JE mbali na Kigoma...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Hivi watu wanaozama ndani ya maji na kukaa zaidi ya dakika 1 bila mashine wanatumia mbinu gani?

    Heri ya sikukuu ya Iddi Jamani. Tusahau kidogo mada ngumungumu na mada za mmu. Leo sikukuu angalau tupunzishe akili na kusahau kidogo shida. Nimewahi kusikia kuna wajuvi wanaweza kwenda ndani ya maji zaidi ya nusu saa,Mimi sijawahi kushuhudia hiyo kitu Sasa sijui Kama ni kweli au story za...
  3. JamiiForums Tanzania FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ile game ngumu na ambayo inafuatiliwa kwa ukaribu sana na watu wote wapenda soccer la africa, game ya robo final ya caf champions league baina ya miamba kwelikweli, timu zenye misuli ya kutosha, Simba sports club vs Wydad athletic club. Ni palepale machinjioni ambapo...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hivi unaaamini Waziri mmoja tu anaweza kufanya maamuzi ya kuingiza nchi hasara ya zaidi ya trilioni moja bila mabosi wake kujua?

    Kama mpaka leo hamjajifunza, basi wadanganyika mna laana. Mamba haya hayana tofauti na yale ya kuchota hela kwenye mifuko ya sandarusi na kelele zilipozidi, mkaambiwa na Mamlaka ya juu kuwa zile hazikuwa za umma. Poleni sana Wadanganyika.
  5. JamiiForums Tanzania Zaidi ya watu 80 wafa wakikanyagana kugombea msaada wa Eid nchini Yemen

    Hatari sana habari imesomwa kutoka UHAI Tv. Inasikitisha hawa ndugu zetu 80 kutolewa kafara baada ya mfungo. Wamekufa wakikanyagana kugombea misaada ya Eid.
  6. JamiiForums Tanzania Dodoma: Mradi wa Barabara ya Mzunguko umezalisha ajira kwa watu zaidi ya 1,000

    Mradi wa Barabara ya Mzunguko Mkoani Dodoma una urefu wa Kilometa 112.3 na umegawanyika katika sehemu mbili. Meneja wa TANROADS Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Leonard Chimagu anasema sehemu ya kwanza ya Mradi huo inaanzia Nala – Veyula - Mtumba hadi Bandari Kavu ya Ihumwa na urefu wake ni Kilometa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Benki gani inatoa fixed deposit rate zaidi ya 15%?

    Wadau, nina kampunga kama 220M, ni wapi naweza kafix kwa ziadi ya asilimia 15 per annum? Nimecheck; ~ UTT ni kati ya 12 hadi 14 ~ NMB 7 ~ CRDB 7 ~ Access bank 14.5 ~ Finca 14.5 Je, benki gani nyingine inayoaminika inaweza toa rate kama 16%? Natak kuwekeza huko huku nikiangalia baishara ya...
  8. JamiiForums Tanzania Sudan: Watu 50 wauawa, zaidi ya 1,000 wajeruhiwa katika mapigano

    Mapigano ya silaha za moto kati ya Jeshi na Kundi la Wanamgambo la Rapid Support Forces (RSF) yanaendelea kwa siku ya 3 mfululizo katika sehemu mbalimbali za Nchi lakini zaidi ni katika Mji Mkuu wa Khartoum. Pande zote zinadai zinadhibiti maeneo muhimu kama vile Ikulu ya Rais. Jana Aprili 16...
  9. JamiiForums Tanzania Mashambulizi ya Urusi yaua watu 8 na kujeruhi wengine zaidi ya 20 nchini Ukraine

    Mashambulizi ya Urusi huko mashariki mwa Ukraine yamesababisha vifo vya watu wanane na kuwajeruhi wengine zaidi ya 20. Mkuu wa Majeshi ya Ukraine amesema mashambulizi makali yanayofanywa na vikosi vya Urusi yaliendelea jana Ijumaa katika eneo la Sloviansk na maeneo mengine ya Donetsk, mashariki...
  10. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mwenye Seli Mundu (Sickle Cell Disease) hawezi kuishi kwa zaidi ya miaka 30

    Hii imekaa vipi kitaalam, Mwenye Selimundu (Sickle Cell Disease) hawezi kuishi kwa zaidi ya miaka 30?
  11. G

    JamiiForums Tanzania Tumekalishwa kwenye foleni kwa zaidi ya nusu saa kumpisha IGP

    Haya mambo zamani hayakuwepo ila siku hizi unaongezeka kwa kasi. Leo asubuhi maeneo ya Tegeta tumekalishwa foleni karibu dk 45 kusubiri msafara wa boss wa polisi uliokuwa na magari matatu. Shughulli nyingi za kiuchumi na kijamii zilisimama! Hii sio sawa kabisa.
  12. JamiiForums Tanzania Urusi, Ukraine wabadilishana wafungwa wa kivita zaidi ya 200

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amethibitisha kuachiliwa kwa wafungwa wa kivita kama sehemu ya makubaliano kati ya Ukraine na Urusi. Makubaliano hayo yamefanikisha kiasi cha wanajeshi 200 waliokuwa wakishikiliwa katika pande zote za mzozo kurejeshwa kwenye mataifa yao. Rais Zelensky amesema...
  13. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Serikali ilikopa zaidi ya kiwango kilichoidhinishwa na Bunge

    ACTWazalendo imesema Deni la Taifa liliongezeka kwa 11% kutoka Tsh. Trilioni 64.5 mwaka 2020/21 hadi kufikia Tsh. Trilioni 71 Juni 30, 2022 ambapo Serikali ilichukua Mikopo kwa 30% zaidi ya idhini ya Bunge. Vile vile Mikopo ya Nje yenye masharti nafuu iliyochukuliwa na Serikali ilikuwa 33%...
  14. JamiiForums Tanzania Kufuatilia Story za JF ni zaidi ya darasa la Uvumilivu

    Long story short wanaanza vizuri tu episodes 5 za mwanzo mpaka mwenyewe utapenda. Akishapata kijiji sasa ndio dharula zinaanza, mara mbuzi wangu wameingia kwenye shamba la watu, mara mtoto anaharisha, au baiskeli yangu imeibiwa spokes kila mtu atakuja na dharula yake. Hii tabia ni kama kirusi...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania yatumia zaidi ya shilingi bilioni 6 kutunza vyura 500 waliopelekwa Marekani

    Kupitia ukagauzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2021/2022 imebainika kuwa Vyura 500 bado wapo Marekani licha ya kumalizika kwa mkataba wa matunzo. Serikali ilipeleka Vyura hao katika bustani za Bronx na Toledo ili kupisha ujenzi wa mradi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Mjue Steve Ndaula, mmiliki wa kampuni ya BMC iliyowatapeli watu zaidi ya Sh. Bilioni 16 kisha kukimbilia Dubai

    Bwana Steve Ndaula ni kijana mdogo ambae alianzisha kampuni ya upatu/pyramid scheme ya Bestways Capital Management ambayo imewatapeli watu zaidi ya Sh. Bilioni 16 na kisha akakimbilia Dubai. Steve alisoma chuo cha IMTU fani ya Udaktari kuanzia mwaka 2012 hadi 2017. Mwaka 2016, mwaka mmoja...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania wapigwa tena na Kampuni ya Upatu ya "Best Capital Management" zaidi ya Bilioni 15

    Watanzania sijui watashtuka lini. Lakini hii ni uthibitisho wa fikra za Darwin kwamba hapa Duniani ni eitha uchague kua chakula uliwe ama uchague kua mla chakula. Siku zote wala chakula hutafta chakula kilichoiva wakile, wakikukuta umejikalia kama chakula kilichoiva lazima utaliwa tu...
  18. JamiiForums Tanzania Nataka kununua pikipiki Honda Ace 125 Individual. Je, kuna pikipiki nzuri zaidi ya kwa level yake na bajeti?

    Wadau Nataka kununua pikipiki Aina ya Honda Ace 125 individual made in South Africa. Bei yake ya ofa 2,600,000/= mpya. Je, kuna pikipiki nzuri zaidi ya hii ambayo bajeti take haivuki milioni 3.2. Ni ya kutembelea tu sio Kwa biashara ya bodaboda
  19. JamiiForums Tanzania Riba ya zaidi ya bilioni 400 inatokana na Hayati Magufuli kugoma kuwalipa makandarasi kwa takriban miaka mitano

    Hii wanaijua vizuri wakandarasi na watoa huduma serikalini. JPM aligoma kuwalipa kwa kisingizio Cha uhakiki, kwa miaka mitano alivyokuwa madarakani hakuwalipa, watu wakafilisika, benki zikauza Mali zao. Sisi tukawa tunashangilia na kumpamba kwamba ni mzalendo hatujawahi kupata. Uzalendo wake na...
  20. JamiiForums Tanzania Nitajie kitu kimoja Mungu aliumba/ aliweka hapa duniani kinavutia kutazama zaidi ya Mwili wa mwanamke

    Uwa nasema, kama kunapahala Mungu alituliza akili katika uumbaji, basi ni wakati anamuumba mwanamke. Mwili wa mwanamke aisee uliumbwa vizuri, unavutia kutazama. Kama unahisi kunakitu Mungu aliumba kinavutia kutazama zaidi ya mwili wa mwanamke, twambie ni kipi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…