zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Threads hauna faida yeyote kwa watumiaji zaidi ya kuwapotezea muda, Meta inahaja ya kuufunga

    Mtandao wa kijamii Threads hauna faida kwa watumiaji zaidi ya kuwapotezea muda, Meta ina haja ya kuufunga Idadi ya watumiaji wa mtandao huu inazidi kupungua kwa kasi kwasababu mwanzo walidhani ni mtandao wenye faida zaidi ya zile zinazopatikana X Ifuatayo ni mitandao ya kijamii (social...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia anaweza kupata 90% ya Kura kama atagombea 2025

    kwa dalili hizi, ishara, hali ya kisiasa na umaarufu wa Dr Samia Suluhu Hassan kiutendaji nchini, ni dhahiri atapata ushindi wa kishindo endapo atagombea urais 2025.. kwa mfano, kwa sapoti kubwa sana na ya uhakika ya kura za wasichana wote nchini wenye sifa za kupiga kura, wanawake wote kwa...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya tani bilioni 2 za madini adimu zilizovumbuliwa nchini Marekani zinaweza kuifanya iongoze kwa madini hayo duniani

    Baada ya kugundua zaidi ya tani bilioni 2 za madini adimu sana, Marekani sasa ina uwezo wa kuwa kiongozi wa ulimwengu katika suala hilo. Kuwa kiongozi wa dunia linapokuja suala la rasilimali kunaelekea kuwa jambo zuri katika jukwaa la kimataifa - na Marekani inaweza hivi karibuni kuwa kiongozi...
  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya nusu ya wanawake wa Kinondoni wanajichubua

    Jumatatu, Juni 24, 2024 Muktasari: Utafiti huo na tafiti nyingine zitawasilishwa kwenye kongamano la kisayansi litakalofanyika Juni 27-28, mwaka huu. Dar es Salaam. Imebainika kuwa zaidi ya nusu wa wanawake waliopo Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam wanatumia vipodozi vya kujichubua. Hali...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa Kenya Dr.William Samoe Ruto ni chuma imara zaidi ya hayati daniel arap moi alie wahi kua raos wa taifa hilo

    miongoni mwa marais Imara sana, wenye nguvu, ushawishi na maono ya mbali sana, na wasio tikiswa kisiasa nchini Kenya kwa wakati huu, na anae enjoy mass support, technical and economic support ya makundi mbalimbali, ya kitaifa na kimataifa ni pamoja na Dr. William Samoe Arap Kipchirchiri Ruto...
  6. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Fanya Hivi Kukuza Mauzo Yako Zaidi Ya Mara Mbili Kwa Uhakika

    MAUZO NDIO MOYO WA BIASHARA Huwa napenda kufananisha biashara na mwili wa binadamu. Ambapo mzunguko wa fedha kwenye biashara huwa naufananisha na mzunguko wa damu kwenye mwili wa binadamu. Mfumo wa upumuaji huwa naufananisha na masoko. Pumzi ni muhimu, bila hiyo mtu anakufa. Lakini damu pia ni...
  7. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Rais gani mstaafu, amekuwa na ujasiri wa kukemea maovu ya CCM hadharani, zaidi ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere?

    Katika kumbukumbu zangu, hakuna Rais mstaafu wa nchi hii ameweza kuwa na ujasiri wa kukemea maovu ya CCM hadharani, zaidi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. Mwalimu Nyerere alikuwa na ujasiri wa aina yake, hadi katika moja ya hotuba zake alidiriki kuwaambia CCM kuwa chama hicho siyo mama yake...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelezwa ni nani Mwingine zaidi ya Dkt Tulia na David Kafulila amewahi kurejesha Chenji Serikalini?

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya watanzania. Miongoni mwa watu hao basi ni hawa watu wawili ambao wamewahi ishitua Tanzania na kugusa mioyo ya...
  9. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Narudia tena akili ya mbantu haiwezi kufanya biashara. Graphic designer kadengua kazi ya zaidi ya laki 5 then baadae anaitaka tena

    Sista angu alikuwa na project yake anatakiwa kuisubmit mahali. Hiyo project ilikuwa na picha kama mia na ushee hivi ambazo yeye aliona zinafaa kufanyiwa graphics zote. Bajeti ya sista kwa picha ni sh. Elfu 5 kwa kila picha. Mimi huyo nikaenda mpaka kwa ofisi ya brother mmoja anafanyaga...
  10. X

    JamiiForums Tanzania CHINA: BYD waweka rekodi mpya wazindua gari linaloweza kwenda zaidi ya km 2000 bila kuongeza mafuta wala kuchaji na matumizi kidogo sana ya mafuta

    Kampuni ya kutengeneza magari ya BYD imezindua gari la mfumo wa Plug-in Hybrid Electric Vehicle (PHEV) PHEV ni magari ambayo yana mifumo miwili umeme na mafuta. Kwa maneno rahisi kama chaji kwenye battery imeisha unatumia mafuta and vice versa. Model hiyo imepewa jina la BYD Qin L. Ukijaza...
  11. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Sitamani Ukuu wa Mkoa - ikitokea nikawa basi ukali wangu ni zaidi ya Paul Makonda

    Rais hakukosea kumteua Paul Makonda. Wengi wa wanaomchukia Makonda ni wale waliozoea blabla, shingwini shingwini na kona kona. * Makonda akiagiza Ofisa kupaza sauti kwenye kisemeo - waovu eti ananyanyasa! * Makonda akisimamisha watumishi kwa tuhuma kadhaa ili wapishe uchunguzi - waovu eti haki...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Meli zinachukua zaidi ya wiki 3 kushusha mizigo

    Habari watanzania, Naomba kujua kama uwekezaji wa DP world bandari umeongeza speed ya ufanisi kazi au ndio kwanza mambo yamekuwa taratibu. Nime experinece kutoa container mbili. Meli nyingii sasa zinachukua zaidi ya wiki 3 naa mpaka kufunga na kushusha Mizigo. Wakati zamani ilikuwa ndani ya...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Update: Papua New Guinea: Zaidi ya watu 2,000 wamefukiwa kwenye maporomoko ya udongo

    UPDATE Kituo cha Taifa cha Majanga kimeomba Msaada wa Uokoaji kwa Jumuia za Kimataifa na kueleza kuwa takriban Watu 2,000 wamefukiwa na katika Maporomoko ya Udongo yaliyotokea Mei 26, 2024 Kituo hicho kimesema bado idadi kubwa ya Wanakijiji wamezingirwa na Vifusi, hawana msaada wowote na hali...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Nusu ya Bajeti ya Wizara ya Ardhi itatumika kwenye Matumizi ya Kawaida

    DODOMA: Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. Bilioni 171,372,508,000 kwaajili ya Matumizi yake kwa mwaka wa Fedha 2024/25 ambapo zaidi ya Nusu ya Bajeti (Tsh. 93,930,673,000) imeelekezwa katika Matumizi ya Kawaida Pia, Wizara imeomba kiasi...
  15. Logikos

    JamiiForums Tanzania Algeria wameshabadilisha Magari zaidi ya Milioni Moja kutumia LPG (Sio CNG bali LPG) - Gesi tunayopikia Majumbani

    Gesi hii ambayo wanaiita Auto-Gas ndio mixture ya (Butane na Propane au Propane) na ndio huku tunapikia majumbani...; nimetoa hii habari hapa kuonyesha kwamba ni busara kutumia ulichonacho na Algeria hii gesi ndio bei rahisi sana nadhani kuliko sehemu nyingine... Wamefanikisha hayo kwa kutumia...
  16. comte

    JamiiForums Tanzania TRA mfumo wa kufuatilia utendaji wa EFD ni hatua sizizo na tija zaidi ya kutengeneza mwanya wa rushwa

    Kwenye taarifa iliyoambatanishwa hapa chini, TRA imeingia mkataba na the International Growth Centre (IGC) taasisi ya kitafiti iliyoko ndani ya London School of Economics ya kufunga mfumo wa kufuatilia utendaji wa EFD. Kwa mjibu wa mpango huo TRA watakuwa wanatuatilia mwenendo wa utowaji wa...
  17. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Kweli mioyo ya watanzania imekuwa migumu zaidi ya mawe. Unaanza vipi kutumia vidonge vya PrEP ?

    Kuna daktari mmoja hapa mtaani ana ka pharmacy kake kadogo ka mchongo ambako hutumia muda wa jioni kusogezea siku. Basi bhana, ikabidi nikaonane naye kutokana na masuala mazima ya ushauri nasaha kuhusu matumizi ya pombe yaliyokithiri yaliyosababishwa na homa ya mapenzi Wakati nilikuwa nikipata...
  18. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Hadithi ya Mwamba Gabriel aliyekutana na mrembo Christina katika party moja huko jijini New York, Marekani

    Mwaka 1994, Mwamba wa kuitwa Gabriel alikutana na mrembo Christina katika party moja huko jijini New York, Marekani. Walipendana na wakaamua kuoana, ingawa Gabriel alimzidi umri christina kwa miaka 30. Hata hivyo waliishi kwenye ndoa yenye furaha na upendo wa kila aina. Miaka 20 baadae...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Helikopta iliyomuua Raisi isingeweza kupaa zaidi ya futi 10,000

    Tofauti na ndege za abiria kubwa,helkopta inaruka kwenda juu sawa na ndege ndogo za abiria.Si zaidi ya futi 10000. Ziko chche ambazo zimewekewa injini za turbine ambazo ni za kisasa ambazo zinaweza kufika mpaka futi 25000,lakini haifikii hata siku moja futi 40000 zinakopita ndege za abiri za...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mitandao 5 mirefu zaidi ya barabara kuu duniani

    Ili kukusaidia kufahamu tena jinsi ulimwengu wetu ulivyo mkubwa sana, hapa angalia mitandao mitano mirefu zaidi ya barabara kuu duniani. 1. Barabara kuu ya Pan American Ikinyoosha kutoka Prudhoe Bay Alaska hadi ncha ya Argentina, Barabara Kuu ya inapitia zaidi ya nchi kumi na mbili. Ni...
Back
Top Bottom