zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kati ya zaidi ya raia 100 ambao Israeli iliwaua bila huruma, waliwachagua 19 na kwa uwongo walidai kuwa ni wanachama wa Hamas.

    Wanaukumbi. Kati ya zaidi ya raia 100 ambao Israeli iliwaua bila huruma, waliwachagua 19 na kwa uwongo walidai kuwa ni wanachama wa Hamas. Wanne kati yao walitoka kwa familia ya Jaabari, ambao mimi binafsi nawajua—hawakuwahi kujihusisha na shughuli zozote za kisiasa au kijeshi. Mwingine alikuwa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania KERO Responded RITA badilikeni, toeni majibu ya uhakiki wa vyeti kwa wakati

    Habari wadau poleni na utekelezaji wa majukumu ya Kila siku katika harakati za kulijenga taifa Kero yangu ya leo inatoka kwa mamlaka inayohusika na usajili wa vizazi na vifo Tanzania RITA RITA wamekuwa Wana makosa yake Yale Kila mwaka yanayojirudia na hivyo kukwamisha baadhi ya watu kupata Haki...
  3. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Predection: CCM itashinda zaidi ya 90%- 2025

    Katika dunia ya leo kuna technolojia ya "Akili Bandia" au "Inteligensia ya Bandia." Hii inafanya utabiri baada ya Researcher kukusanya Data. (secondary data au Primary data) Researcher anaweza kutumia aina ya Machine learning moja, 2 au 3 ili kuweza kutabiri (Predection) kwa jambo litatokea...
  4. MrfursaTZA

    JamiiForums Tanzania Kwanini vitabu vya dini havijataja sayari zingine zaidi ya Dunia?

    Dini zimekuwa sehemu muhimu ya maisha ya binadamu kwa maelfu ya miaka, zikitoa mwongozo wa kimaadili na kiroho. Hata hivyo, kuna hoja mbalimbali zinazotumiwa kuonyesha kwamba dini ni utapeli. Moja ya hoja hizi ni kwanini vitabu vya dini havijataja sayari nyingine zaidi ya Dunia. Vitabu vya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanya zaidi ya tulivyofikiri.!

    Leo nina machache ya kusema kuhusu Rais Samia na wale wachache waliodhani mwanamke kutoka Zanzibar hataweza. 🔴Walisema demokrasia itazidi kudidimia na kufa kabisa. ✅Leo uhuru wa vyombo vya habari umeimarika. Uhuru wa maoni umeongezeka. Na uhuru wa kufanya siasa hata kwa wapinzani umeongezeka...
  6. Ngufumu

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa Kozi zaidi ya 40 zinazoweza kusomwa na Muuguzi mwenye Diploma

    Zijue Kozi 40+ za degree ambazo Muuguzi/Nurse wa Diploma anaweza kuzisoma Tanzania kwa mujibu wa Guidebook ya TCU 2024/2025 If your a Nurse Midwifery with an ordinary Diploma save this👇🏾 1. Bachelor of Science in Nursing - MUHAS, UDOM, St. John, Kcmc, KiU, Kairuki, Agakhan, ZU, miaka 2.5 - 4...
  7. greater than

    JamiiForums Tanzania UTT una thamani zaidi ya Trillion 1.5

    Mfuko wa wa uwekezaji wa pamoja a.k.a UTT mnamo tarehe 16/ 6 /2023 uliweza kufikisha thamani ya Shillingi Trillion moja na nusu (1,500,000,000,000/=). Yaan kwa ufupi,mfuko huu umefika hadhi sawa na benki kubwa kama CRDB,NMB au kampuni ya wapendwa TBL... Ndani ya mfuko huu kuna mifuko 6 1...
  8. FORBIDDEN HISTORY

    JamiiForums Tanzania Eeh Mungu, sijui kipi kinachofuata, natumaini ni chenye unafuu kidogo zaidi ya ugumu huu

    Nini maana ya maisha?, Nini sababu ya uwepo huu?, Ni ipi siri ya safari hii? Nini maana yangu? Nini sababu ya uwepo wangu? Ni ipi siri ya uundaji wangu? Ni ujinga wangu au ni hatma ya safari yangu? Ni mapungufu yangu au ni ubabe wao? Ni dhambi zangu au ni laana yangu? Je hii safari yangu hadi...
  9. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa magari ya zaidi ya miaka kumi uongezwe hadi 40%

    Au mnasemaje wanabodi ili tuingize vitu vipyaaa na tusalimishe mazingira na afya. Katika kulinganisha viwango vya ushuru vya magari yaliyotumika na nchi nyingine, tunaona tofauti kubwa. Kwa mfano, nchini Kenya, ushuru wa magari yaliyotumika unatozwa kwa kiwango cha 20% kwa magari yenye umri wa...
  10. KANDA MBILI

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya milioni 12 posho za Mabalozi, Makatibu tawi na Makatibu kata zaliwa na katibu wa CCM(W) Missenyi CDE Bakari Mwacha

    Historia ya Cde Bakari inaendelea kumtafuna kwa alikotoka na ambako yupo. Alipokuwa kwenye sekretarieti kama katibu wa vijana Simanjiro alikuwa kikwazo sasa kwa wilaya ya Missenyi ndio kawa kikwazo kabisa kama bosi wa chama. Ndugu Katibu Mkuu najua utakuja Missenyi ila naomba kabla hujafika...
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kibu Denis atapanya zaidi ya milioni 200 Ulaya akisaka timu, aangukia pua! Awaomba radhi Simba

    Hivi vilabu kuna vizee vina midomo michafu,vikikuombea dua baya hutoboi kama hauko vizuri. Ukitaka kumchokoza mtu wa Kigoma muite Mrundi,atakypiga ngumi,watu wa Burundi wana stress muda wote,wana msongo wa nawazo,wanawaza vita,wanawaza kutorokea ulaya kama wakimbizi. Kibu Denis ana jinamizi au...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mpira bongo ni kama imani za dini za manabii wa kisasa, hakuna kitu tofauti utawaambia watu wakakuelewa.

    Kwa jinsi mashabiki wa mpira hapa bongo walivyojitolea maisha, akili, hisia, muda na rasilimali zao katika mpira kwa hakika tunaweza kusema mpira ni zaidi ya dini. Watu wanalala na kuamka wakizungumza mpira, wanashinda wakizungumza mpira. Jana mchana kwenye East Africa radio kuna kundi la wana...
  13. Bodhichitta

    JamiiForums Tanzania Nimepata mtoto wa kiume usiku huu, baada ya kuwa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 7

    Kuna msemo wa kiarabu usemao "inna baada Sabri, bushraa" yaani hakika Kila baada ya subra ni habari njema. Hakika ndo ninavoweza kusema baada ya kuishi na mke wangu Kwa zaidi ya miaka 7 bila mtoto. Hatimae Leo tarehe 27.07.2024 naandika historia mpya na njema katika mgongo wa ardhi hii ya...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Watu wameishi zaidi ya miaka 30 eti wanafunga ndoa Kesho? Wakristo naomba mnieleweshe

    Lakini nimestaajabu sana aisee eti watu wanafunga ndoa Kesho na hapo wamekaa bila kufunga ndoa na wamezaa watoto zaidi ya 4 sasa hlyo imenistaajabisha sana aisee kwahiyo kipindi hicho walikuwa wanazini. Na huyo mtu hakufunga ndoa na alikuwa muhubiri au katekista wa kanisa Fulani sasa hao watu...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Maandamano yetu ndani ya JF yanazaa matunda zaidi ya yale ya Gen-Z ?

    Baada ya takafuri nzito, kwa kiasi fulani maandanano yetu kupitia maoni yetu hapa JamiiForums yameanza kufanikiwa. Tunaona viongozi walio na akaunti verified JF wanajitokeza kuandika masuala ya kisera na kujaribu kushirikisha umma kwa majadiliano mfano waziri wa Fedha ndugu Mwigulu Lameck...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Chuo cha Veta Rukwa wafikia 90% ukiwa umegharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 6

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi Chuo cha VETA cha Mkoa wa Rukwa kilichopo katika Kijiji cha Kashai, Kata ya Momoka, Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, Julai 16, 2024, ikiwa ni sehemu ya ziara yake mkoani Rukwa. Rais amesema kwa sasa mkoa...
  17. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.

    Wazungu pamoja na kuwabagua na kuwanyanyapaa watu weusi kwasababu ya rangi ya ngozi yao! Sasa hivi waangalie walivyojichora "tattoo" na miili yao kuwa myeusi kama mkaa! Ebu tupia hapa picha inayoonyesha jinsi wazungu walivyoharibu miili yao kwa tattoo 1 Wakorintho 1:25 [25]Kwa sababu upumbavu...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hakuna kauli nyingine za kuombeleza kifo kwa Waswahili zaidi ya hizi

    Kila mara mtu anapofariki Waswahili huwa hawakosi hii misemo, 1. Maisha ni fumbo, 2. Tumeumbiwa kifo, 3. Kifo ni kitendawili 4. Tunatembea na kifo 5. Mbele yake nyuma yetu( hii hata huwa sielewei inamaanisha nini) Mtu anapokufa unatakiwa kusikitikia marehemu na waliobaki, sio kujisikitikia...
  19. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mwanza ni zaidi ya Lindi na Mtwara

    Nimeingia Rock City juzi. Aisee I must admit that Mwanza ni zaidi ya Lindi na Mtwara kwenye sekta ya warembo na upatikanaji wao.. Warembo wa mwanza : 1. Wasafi wazuri wapo classic . 2. Sio malaya wakujiuza yani unaweza kupata mademu hata wanne mtaani ndani ya siku moja ( ni sound zako tu...
  20. Kinjekitile Jr

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuwe wa wazi; Hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kupata walau 20% ya kura zaidi ya CHADEMA

    Wakuu Habarini/salaam/Shalom Ukitazama kwa mwenendo wa siasa zetu ndani ya miaka takribani 10 mpaka sasa,utaona jinsi watu walivyo kuwa na mwamko mdogo sana kuhusu siasa,hii inakuja baada ya kufungiwa kwa harakati za kisiasa chini ya Hayati J.P. Magufuli, Madhara ndo yanaonekana leo🩴 Hali...
Back
Top Bottom