yupo wapi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Silaa yupo wapi?

    Ukweli nashangaa kabisa. Yani kubadilishiwa wizara ndio kupotea? Au kupotezwa? Kwani huko mawasiliano hakuna kiki? Hakuna kero za moja kwa moja kama ardhi? Au ni waziri mpya wa ardhi hana ajenda? Au Jerry alimaliza kero zote? Aisee...! Kwa hiyo huko mawasiliano waziri kakosa hoja za kuja nazo...
  2. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi TOM CRUZ?

    Katika wachambuzi ambao nilikuwa nao bega kwa bega ni TOM CRUZ, Huyu jamaa alikuwa yupo vyema sana kwenye habari mpya za kimichezo na burudani. Ila jamaa yupo kimya sana ., 5sep ndio ilikuwa post yake ya mwisho. Sijui amekufa au kapatwa na nini. Mwenye kufahamu anijuze pls
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nimem-miss Faiza haider, mdada aliekuwa presenter wa EATV kipindi cha 5 selekt

    Habarini, Huyu mdada alikuwa ana present 5 selekt na tbway 360, miaka ya 2011, huyu mdada alikuwa na muonekano mzuri kweli, na alikuwa ni tv crush wangu kwa kipindi kile 😍🫢😅she was veeery beautiful, Yani alivyo muonekano wake k.v pisi ya New York USA, kumbe alizaliwa na kukulia dar Damn time...
  4. Mpekuzi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi mtangazaji Gerald Hando

    Baada ya usajili wa Mussa Kipanya pale Wasafi FM kwenye kipindi Cha Good Morning. Huyu Mwamba simuoni. Napenda kujua yupo wapi Mimi ni mfuasi wa utangazaji wake
  5. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Soka yupo wapi? Tuambieni kama mmemficha au mmemuua tujue moja

    Deusdedith Soka Kijana wa watu mmemficha wapi au mmemuuwa hatujasahau ya kijana wa watu Ben Saanane mpaka leo hata shati lake halionekani achana na mwili. Tuambieni tujue mtoto huyu mmemuua au?
  6. maishapopote

    JamiiForums Tanzania Watu wa Arusha namuulizia shabiki yule kichaa mbabe yupo wapi?

    Exactly mwaka 1997 nilikua naenda Arusha kwenye kusaidia kibarua nikitokea moshi hapo nilikua form 3..sasa Nikiwa Pale Soko Kuu akaingia Jamaa Mmoja Mrefu Mbavu kweli kweli..kafanana kabisa na Damme wa Sinza kwa mnamjua Enzi zake aisee Jamaa alikua kapasuka kweli halafu ana bonge la Jibisu...
  7. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Makonda yupo wapi mbona kimya kingi

    Shalom, Waungwana yuko wapi Paul Makonda, amejificha wapi nyakati hizi za kutoka kwa akina Yape na Nujauri? Wadiz
  8. R

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Tundu Lissu? Ni kweli anajiandaa kujiunga CCM?

    Tundu Lisu yupo kimya sana baada ya kufanya mikutano Mkoa wa Singida. Alipata uungwaji mkono mkubwa sana jambo linaloweza kuwa limepelekea mahasimu wake wampangie bei. Since then, ametulia na amepunguza makeke hata kwenye social midia. Ndugu yetu huyu aliyekunywa maji ya bendera na mzalendo wa...
  9. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Deogratias Kisandu

    Wakuu. Nimemkumbuka Sana huyu mwamba,,. Nina muda mrefu sijamuona jamvini .. Mwenye taarifa zake tafadhari.
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chebukati yupo wapi?

    Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi (IEBC) Kenya yupo wapi? Au nae anaandika kitabu chake (Autobiography) ili awaombe wa-Kenya msamaha?
  11. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Jamani huyu yupo wapi??

    Huyu jamaa venga wa Ze comedy kaendaga wapi bada yakuumwa ??
  12. A

    JamiiForums Tanzania Wapo wapi Shyrose Bhanji & Basilar Mwanukuzi?

    Hawa waliingia siasa Kwa pupa na kuabudu baadae mfumo umewatema bila huruma Wapo wapi Kwa sasa?
  13. Mpekuzi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi comrade Christopher Ole Sendeka?

    Toka akoswe risasi Kawa kimya na Bunge linaendelea Dodoma. Yupo wapi huyu mzalendo
  14. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi bingwa wa ulozi?

    Ni miezi takribani 2 sijaona andiko lolote kutoka kwa Mshana Jr vipi, mwenye taarifa atugaie. Huyu mtu tunaye au hatunaye?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Katoliki lilishirikishwa kwenye hizi taasusi mpya? Padre Kitima tunaomba ufafanuzi wako

    Napenda msimamo wa Padre Kitima, napenda pia Msimamo wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania. Nimeona Divinity imepandishwa kutoka optional subject imekuwa mandatory subject kwenye baadhi ya combination. Yeye kama kiongozi wa kiroho na maaskofu wanaona hii ni sahihi? Wao kama viongozi wa dini...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi mchezaji wa Singida FG Thomas Ulimwengu?

    Huyu ni mmojawapo wa wachezaji waliosajiliwa kwa mbwembwe kipindi cha dirisha kuu la usajili msimu huu. Cha kushangaza alicheza mechi zisizozidi mbili za mashindano. Tangu mwezi Septemba 2023 hajaonekana tena akichezea Singida Fountain Gate/Singida Big Stars. Je sababu ni ipi? majeruhi, mkataba...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Makonda yupo wapi?

    Alionekana akipanda malori ya mchanga, bajaj, baiskeli, punda na hata ngamia huko kanda ya ziwa. Alichoacha kupanda ni fisi tu, je Makonda yupo wapi? Jana Kikwete kasisitiza umuhimu wa serikali kuchukua ushauri katika maswala mbalimbali, nafikiri Kikwete alishaona mbinu za kisiasa za awamu hii...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mzee Lowasa yupo wapi?

    Nimemkumbuka sana Mzee wetu Edward Ngoyai Lowasa. Naombaeni kujuzwa Kwa anayefahamu alipo na anafanya nini Kwa sasa.....
  19. F

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi dereva teksi alyefichua njama za kumpindua Nyerere mwaka 1982? Je, alilipwa chochote kama ‘asante’?

    Historia ya Serikali ya nchi hii ina Mengi na Mengi hayo hatuyajui. Kina Hanspope, Maganga, Tamimu na wengine wengi walipanga kumuua na kuipundua Serikali ya Mwl Nyerere. Inadaiwa dereva teksi aliyekuwa akiwasafarisha wapanga mapinduzi kuhudhuria vikao vyao vya Siri alibaini mpango wao na...
  20. olimpio

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wapo wapi Lema na Sugu?

    Seke seke la bandari linaficha mengi na makubwa yanayoendelea CHADEMA. Nawaomba msichangie kwa mihemko , leo nawapa starter hii hapa chini. Lema ana ugomvi mkubwa sana na viongozi wake ndani ya chama .Imepelekea Kugomea mikutano ya chadema inayoendelea nchini ya kudai Katiba mpya na kupinga...
Back
Top Bottom