Smartkahn
JF-Expert Member
- Jun 22, 2020
- 910
- 1,532
Kwamaana hakuna mwingine ni yeye aliyebakia, sasa anatuvusha vipi katika hali hii.
Katika kipindi hiki kigumu yuko wapi? Hasa ukizingatia umahili wake katika kutatua migogoro, mbalimbali ya kisiasa na kiutawala sehemu mbalimbali Duniani.
Nchi imeharibika ikiwa mikononi mwake hivyo ni wajibu wake kuwajibika... njoo uwajibike kiongozi.
NB. Hakuna mbinu ya kijasusi inayoweza kuponya hili jeraha, ni jeraha linalotonesheka milele hivyo adui atakuwa anatumia udhaifu huo kutudhoofisha katika mapambano... Ili kupona jeraha ni muhimu sana kama sio lazima kukiri na kusafisha serikali hasa wale wote wanaotajwa kwenye uvumi wa CCM mtandao ni wakuwaondoa wote bila kujali uvumi huo ni wakweli au sio wakweli.
Nafasi nzuri ya kufanya haya maamuzi ni kipindi hiki wakati wa kuridhiana... Tofauti na hapo Taifa linakua limeharibika rasmi.
+Positivity