yuda

John Yuda Msuri (born June 9, 1979 in Dodoma) is a Tanzanian long-distance runner.

View More On Wikipedia.org
  1. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Yuda yupo wapi na ana hali gani

    Yuda yupo wapi na ana hali gani
  2. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Yuda alizungumza code kwa Maria lakini hatukumuelewa

    Nilikuwa nawahi kanisani kumuangalia Maria akisoma somo,nami siku moja nilipenda nioe mzungu niwe na mtoto kama Maria,ningependa siku tukae na Maria tuzungumzie nchi na taifa letu,sisi wamoja,pokea hizo za ICC.
  3. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Yuda Fever: Nyumba nyeupe haikaliki analala Zanzibar

    Usimchokoze jirani wakati nyumba yako ya kioo,atakupiga mawe avunje nyumba yako.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Alipoaanza kuitwa yuda, na mtu waupande ule halafu Spika na chama chake wakamwacha bila kumkemea iilikuwa dhahiri hatakiwi. Je hakuliona hilo?

    MTU mkubwa mwenye msingi ndani ya chama kama yeye inamaana hakuwa na :. Wadau wakumtonya kinachoendelea Kuona hatari inayomkabili mbele yake kutokana na misimamo yake Kunusa harufu ya lile kundi kuchukia ukaribu wake na kanisa Kupinga utekaji na mauaji wakati wewe upo ndani yao, Kupinga...
  5. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kilicho nyuma ya kujiuzulu kwa Nchimbi: Tetesi, ‘Yuda’, Katiba na mapambano ya ndani ya CCM

    Hatimaye, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi, amejiuzulu wadhifa wake baada ya miezi ya tetesi, mijadala ya kisiasa na mashambulizi yaliyokuwa yakimlenga ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Taarifa ya kujiuzulu kwake imetumwa kwenye akaunti zake za X...
  6. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Chadema msidanganyike kumpokea Yuda, huyo ametumwa kuja kukivuruga chama.

    CCM ina mbinu nyingi sana kwenye kuharibu upinzani thabiti. Miongoni mwa mbinu hizo ni pamoja na kuvurugana ndani kwao, maboss kwa maboss, kisha mmoja anakimbilia kwenda kujiunga na chama chenye nguvu. Tushituke, tusiukubali huu mtego. Yuda kama anataka siasa nje ya CCM aende kwenye branch za...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, nini kingetokea endapo Yuda asingemsaliti Yesu?

    Je endapo Yuda asingelimsaliti Yesu nini nini kingetokea katika mpango wa wakovu wa mwanadamu?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Project? Wakati MwanaHALISI likifungiwa, gazeti la Mchange laendelea kumsakama ‘Yuda’. Haligusiki

    Gazeti hili la Jamvi La Habari, linalomilikiwa na Habibu Mchange haligusiki. Limekuwa likichapisha mambo ya ovyo, na hakuna anayeligusa. Hili gazeti kwa Awamu ya 6 nalifananisha na ‘Tanzanite’ la Awamu ya 5. Watu wa Mfumo wamekosa ubunifu kiasi hiki? Hii ndo thinktank yao? UONGO: Malecela...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tume Mpya ya uchunguzi wa mauaji ya Oct 29 na kizungumkuti cha kumtosa Yuda baharini!

    Tume ya kwanza haikutosha kumfunga paka kengele! Hii ya pili naona Ina kibwagizo "tujue nani alietoa fedha za kusababisha vurugu za uchaguzi" Kwa kauli hii nadhani Kuna MTU anatafutwa abebeshwe zigo zito la kifedha na wenzake ili aonekane na eye alishiriki kuhujumu uchaguzi na damu za wapiga...
  10. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Yuda anapoitamani katiba mpya

    Yuda ni yuda haijalishi kama ni yuda wa wakati uleee wa Yesu au wa wakati huu Mama ndio kila kitu. Barabara ikijengwa ni Mama. Matundu ya vyoo yakijengwa ni Mama. Hospital ikijengwa ni Mama. Hela zote ni Mama. Sasa huyu Yuda wa Peramiho katokea wapi,anataka kuzika fahari ya Mama. Deni la taifa...
  11. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mathayo na Luka daktari wa Rafikiake na Paulo nani anadanganya kuhusu kifo cha Msaliti Yuda?

    Mathayo 27:5: Yuda akaenda akajinyonga. Matendo ya Mitume 1:18: Akanunua shamba kwa ujira wa uovu, akaanguka kifudikoni, akapasuka katikati, matumbo yake yote yakamwagika.
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Waitara amwaga cheche: amtaka Simai kutaja aliyemtuma kwa kauli yake ya "Yuda"

    Waswahili walisema, ukila na kipofu usimguse mkono. Kwa kauli za waZanzibari, wengine mawaziri , za hivi karibuni, sasa Bunge limewaka. Mbunge Waitara kutoka Mara amemtaka mbunge wa Zanzibar, Simai aliyetoa matamshi kuwa kuna Msaliti Yuda ndani ya Serikali ya Samia, mbunge Waitara amemuonya...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waitara: Anayesema kuna Yuda kwenye Serikali, amtaje, Simai humu ndani, atoke, hatuwezi kuonekana Watu wa ovyo... akome, kabisa!

    Mbunge wa Tarime Vijini, Mwita Waitara, amependekeza Mbunge wa Baraza la Uwakilishi Zanzibar, Mohamed Simai Said aondolewe Bungeni, huku akimtaka amtaje mtu aliyemtuhumu kuwa ni 'yuda'. Soma: Mbunge Simai: Kuna Yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nabii Lema: YUDA ni nani? Lema atengua kitendawili

    Nadhani ameamua liwalo na liwe. Alikuwa anamsasema Nchimbi Msikilize ============ Mwanasiasa Godbless Lema amesema baadhi ya viongozi nchini huanza kujikita katika siasa za uchaguzi mara tu baada ya uchaguzi kumalizika badala ya kuelekeza nguvu katika utekelezaji wa majukumu yao kwa wananchi...
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Picha: Yuda Iskariote akiwa airport JKIA akitekeleza majukumu yake.

    Yule mbunge kutoka Zanzibar akiiona hii picha anasemaje moyoni kwake?
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mayalla: Wapo kina "Yuda" wema wenye kukataa kushiriki uovu

    Mwanahabari Mkongwe Nchini Tanzania Bw. Paschal Mayalla amesema kikawaida katika dhana ya usaliti kuonekana jambo baya, pale inapotokea watu wanapanga mambo mabaya na maovu, yeyote atakayejitokeza katikati yao na kusema kuhusu njama hizo dhana hiyo hugeuka na kuwa dhana nzuri na yenye tija kwa...
  17. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Baada ya CCM kumkana tamko lake la "Yuda", Simai lazima avuliwe uanachama

    Mambo yanaenda kasi sana. Waswahili wanasema mdomo ulikiponza kichwa. Madsi ya mwanasiasa asiyejulikana na wengi kutoka Zanxibar sitwaye Simai Mohammed, umeleta mtafaruku wa kisiasa ndani ya CCM, na hata Bungeni. Madai yake mazito ati kuna Yuda msaliti ndani ya serikali, si tu yamekosea...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kumeanza kuchangamka na YUDA ISKARIOT

    Atukuzwe YUDA ISCARIOT TEAM YUDA YAJA
  19. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Team Yuda mpoo?

    Hatutaki siasa sisi!!!
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Bila Yuda hakuna ukombozi wa Dunia. Bila Yuda, Yesu asingekuwa Shujaa

    Hamjambo Wote! 1. Katika siasa za kiroho, Spiritual politics, Yuda iskariote, ambaye amebeba uhusika wa kumsaliti Yesu Mnazaethi, nje ya sifa zake nyingine. 2. Dhima ya Yuda duniani ilikuwa kuhakikisha ukombozi wa Dunia kupitia Yesu unakamilika. 3. Kumbuka Yesu ndiye alimchagua Yuda ili awe...
Back
Top Bottom