yuda

John Yuda Msuri (born June 9, 1979 in Dodoma) is a Tanzanian long-distance runner.

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PNA: Tuheshimu Mawazo ya Wengine Hata Kama Hukubaliani Nayo!, Simai ni Jasiri, Shujaa, Hoja ya Yuda ni ya Msingi, Asibezwe, Asikilizwe Afafanue!.

    Wanabodi, Angalizo la Nyuzi Ndefu JF ni user generated forum, ina members wa aina zote na kazi yake ni kuhabarishana, kuelimishana na kuburudishana, na kati ya members hao, kila mmoja anashughuli zake za kumuingizia kipato kuendesha maisha yake, hivyo wao wanaandika jf kama past time tuu, mimi...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Yuda ni beef za Team Lowassa

    Kauli za Mbunge Simai Mohammed Said zinaonekana kuwa zaidi ya shambulio la kawaida la kisiasa; zinaashiria mvutano unaoweza kuwa unaendelea ndani ya CCM kuhusu siasa za urithi wa uongozi na maandalizi ya uchaguzi wa mwaka 2030. Kwanza, ni muhimu kuelewa historia ya “Team Lowassa” ndani ya CCM...
  3. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania YUDA AMECHOKOZWA; ASICHOKOZEKE❗️❗️❗️

    Yuda wa Biblia alimsaliti Bwana Yesu. Siamini kama mleta hoja anamaanisha msalitiwa katika hoja yake ni sawa na Bwana Yesu!?!? Ipo siku tusiyoijua, “Yesu” huyu aliyefumbwa katika hoja hii, atafananishwa na “Mtume” asiyelinganishwa. Hapatatosha. Mleta hoja hajachagua vizuri maneno yake na mifano...
  4. Inside10

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bagonza: Kama Yuda alichokoza; aliyechokozwa asichokozeke. Kama Yuda amechokozwa; asichokozeke

    YUDA AMECHOKOZWA; ASICHOKOZEKE❗️❗️❗️ Yuda wa Biblia alimsaliti Bwana Yesu. Siamini kama mleta hoja anamaanisha msalitiwa katika hoja yake ni sawa na Bwana Yesu!?!? Ipo siku tusiyoijua, “Yesu” huyu aliyefumbwa katika hoja hii, atafananishwa na “Mtume” asiyelinganishwa. Hapatatosha. Mleta hoja...
  5. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tujihoji: Kama kweli Nchimbi ni msaliti kama Yuda, angeweza kuachiwa madaraka ya kuitawala nchi kwa zaidi ya siku tatu?

    Mtu msaliti kama Yuda aachiwe kutawala nchi hii? Hili jambo linashangaza sana. Kwa Sasa Nchimbi ndio mkuuu wa nchi maana rais yupo nje kwenye ziara.
  6. tpaul

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Kutoka kuapa kutokuwa mpinzani bali msaidizi wa rais Samia hadi kuwa Yuda!

    Waswahili husema ukimdekeza mbwa, ipo siku atakufuata hadi msikitini. Hiki ndicho kilichotokea juzi, baada ya mbunge wa Zanzibar kumuita Makamu wa Rais, ambaye ni mtanganyika, jina la Yuda. Hizi zote ni hasira za wazanzibar kulazimishwa kuwa ndani ya muungano wasioutaka! Tangu zamani...
  7. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania CCM kuna Yuda au ni homa ya urais

    Naombeni majibu Uzi tayri.
  8. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Ndugu lucas mwashambwa una maoni gani juu ya kauli ya "YUDA"

    Lucas Mwashambwa karibu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwenye saklata la Yuda, tuchochee moto kwenye Muungano

    Kwenye hii vita ya Yuda na watu wengine, Sisi tuchochee moto kwenye hoja ya Utanganyika na Zanzibar, tuachane na mambo ya CCM
  10. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Watanganyika tunamuunga mkono Yuda Iskariote. Neng'enekeni tu

    Hehehee! Mwafikiri iliisha. Hehehe. Siye tupo kimya mwatapatapa. Kila Siku mwamaliza mate kwenye vipaza sauti. Mayii! Mtaita maji muma hahahaha! Yuda ni nyie mliosaliti wanaichi na kuwasulubisha kwa uroho wenyu wa madalaka. Na bado. Mwambieni mwambieni mali yake bado yaliwa. Na bado.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Machawa wa Zanzibar wanamwita Makamu Yuda!

    Tumesikia wanzanzibari wakimwita makamu wa Raisi Yuda na eti ana jipendekeza kwa kivuli cha marehemu Magufuli. Lakini wanasema Magufuli alimpeleka nchi za mbali. Sasa uyuda ni kupinga utekaji na wizi wa kura?
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mbunge Simai: Kuna Yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani

    Mbunge wa Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu, Simai Mohammed Said, amesema mafanikio ya Serikali katika ukusanyaji wa mapato yanaonyesha kuwa Tanzania ipo katika mwelekeo sahihi wa kiuchumi chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Akichangia mjadala wa Bajeti ya...
  13. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mbunge, Jesca Yuda Mbogo: Sera ya Matibabu bure haitufikii vyema wanawake, Unakwenda kujifungua unaambiwa utachangia matibabu

    Sera ya matibabu bure haitufikii vyema wanawake, kumwambia Mwanamke wa kijijini achangie 250,000 kwa ajili ya upasuaji, ni gharama kubwa sana hivyo wanawake wanaona bora wakajifungulie nyumbani Hayo ameyasema leo 12 Mei 2026, Bungeni Dodoma, wakati akichangia hoja bungeni kuhusu bajeti ya...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Wakongo wanambananga na Kumbagaza Samia Suluhu. Eti anapenda pesa kuliko Yuda Iskariote. Kawakosea nini?

    Wakongo wanamsema vibaya Samia Suluhu Hassan Wanadai anapenda hela sana kuliko Yuda Iskariote. Kawakosea nini? Wanadai anaweza kuuza hata damu ya watoto wake.. Je, ni kweli Samia Suluhu Hassan ana roho mbaya kiasi hivi? Nahisi wakongo wanatumiwa na Mabeberu
  15. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Sisi ni simba wa Yuda: Makanisa yanakubalije kanisa la Gwajima kufungiwa wao wakiwepo? Ule upendo wa Kristo unaohubiriwa umeishia wapi?

    Mughonile! Roman Catholic, Lutheran, Anglicana, Wasabato, Walokole na Wakristo wengine. Mnakubalije Ukristo kufanywa Kama nyumbu wakati sisi ni simba wa Yuda. Kanisa la wenzetu limefungiwa kisa kosa la mtu mmoja ambalo sio kosa kwani alikuwa anahubiri injili ya kukemea maovu ya watekaji. Padri...
  16. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Hivi Yuda aliwezaje kumsaliti Mungu wake?

    Huyu yuda alikuwa mbabaishaji sana yaani aliwezaje kumsaliti mungu wake? Na mungu wake hakuweza kumfanya chochote kile? Huyu yuda alikuwa mbabaishaji sana
  17. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ni jambo jema Tundu Lissu kujitetea Mwenyewe. Huwezi jua pengine kati ya Mawakili wake kuna akina Yuda Eskarioti

    GT Maskini haaminiki hasa mtu mweusi kutoka Tanzania., mawakili.30 ni wengi sana lazima mamluki wapo tu wanaopeleka mipango upande wa pili kabla ya kesi. Nadhani leo tumejionea hali ilivyokuwa tofauti bada ya mwamba kusimama yeye kama yeye, hatua hii itapunguza kuvujishwa mbinu na vifungu vya...
  18. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kwanini Herod Antipas aliitwa Mbweha na kwanini watu wa Mataifa wanaitwa Mbwa?

    Majina ya wanyama katika Biblia ni lugha ya picha iliyotumiwa kama kielelezo cha tabia, nafasi, au hali ya kiroho. Ni muhimu kuyasoma kwa muktadha sahihi wa kitamaduni na wa kimaandiko. Hii inasaidia kuelewa vizuri mafundisho ya Biblia na jinsi Mungu anavyowasiliana na watu kwa lugha...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mwanakondoo ndiye huyo Simba wa kabila la Yuda

    Salaam, Shalom! Mhubiri anasema, Kila jambo na wakati wake. 1. MWANAKONDOO. Mfalme aliacha kiti Cha Enzi, akavaa mwili wa Mwanadamu akaonekana maskini, asiye na utukufu kwa kazi maalum ya ukombozi. Kumtoa Mwanadamu kwenye minyororo ya dhambi. 2.SIMBA WA KABILA LA YUDA. Sasa baada ya...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Siku ya usaliti wa Yuda Iskariot, Kujifanya huna upande (neutral) katika mazingira yenye dhuluma na uonevu. Ni usaliti

    Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) == SIKU YA USALITI WA YUDA ISKARIOT JUMATANO ya mwisho katika kwaresima ndiyo hutukumbusha usaliti wa Yuda Iskarioti kwa Bwana Yesu. Tukisoma Mathayo 26: 14-16, tunasikia Yuda “aliwaendea” wakuu wa Makuhani na kuwauliza wamlipe kiasi gani ili...
Back
Top Bottom