Yuda anapoitamani katiba mpya

Yuda anapoitamani katiba mpya

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,329
Reaction score
37,814
Yuda ni yuda haijalishi kama ni yuda wa wakati uleee wa Yesu au wa wakati huu Mama ndio kila kitu.

Barabara ikijengwa ni Mama.
Matundu ya vyoo yakijengwa ni Mama.
Hospital ikijengwa ni Mama.
Hela zote ni Mama.
Sasa huyu Yuda wa Peramiho katokea wapi,anataka kuzika fahari ya Mama.

Deni la taifa ni la WATANGANYIKA.Mama hausiki hata likipaa kama tiara halimhusu wahusika kaeni mkao wa kushangilia.

Ngongo na genge lake tukutu tunajiandaa kwa maandamano makubwa ya kupinga katiba mpya

Katiba mpya haitaleta ugali mezani.Mahitaji na matarajio ya Watanganyika ni kurekebisha hii ya sasa ili kumuongezea Mama muhula mwingine wa miaka 5.

Ngongo kwa sasa kibandani kwa Sheikh Mwaipopo.
 
Mtaji wa CCM ni wajinga na wapumbavu.

Jamaa anasukuma kete vizuri sana loading to 2030.

Inahitaji Uwe mbumbumbu kuwaamini CCM
 
Yuda ni yuda haijalishi kama ni yuda wa wakati uleee wa Yesu au wa wakati huu Mama ndio kila kitu.

Barabara ikijengwa ni Mama.
Matundu ya vyoo yakijengwa ni Mama.
Hospital ikijengwa ni Mama.
Hela zote ni Mama.
Sasa huyu Yuda wa Peramiho katokea wapi,anataka kuzika fahari ya Mama.

Ngongo na genge lake tukutu tunajiandaa kwa maandamano makubwa ya kupinga katiba mpya

Katiba mpya haitaleta ugali mezani.Mahitaji na matarajio ya Watanganyika ni kurekebisha hii ya sasa ili kumuongezea Mama muhula mwingine wa miaka 5.

Ngongo kwa sasa kibandani kwa Sheikh Mwaipopo.
Mkuu, kwa waliosoma Cuba wamekuelewa, issue inahusu "fahari ya mama"
 
Yuda ni yuda haijalishi kama ni yuda wa wakati uleee wa Yesu au wa wakati huu Mama ndio kila kitu.

Barabara ikijengwa ni Mama.
Matundu ya vyoo yakijengwa ni Mama.
Hospital ikijengwa ni Mama.
Hela zote ni Mama.
Sasa huyu Yuda wa Peramiho katokea wapi,anataka kuzika fahari ya Mama.

Ngongo na genge lake tukutu tunajiandaa kwa maandamano makubwa ya kupinga katiba mpya

Katiba mpya haitaleta ugali mezani.Mahitaji na matarajio ya Watanganyika ni kurekebisha hii ya sasa ili kumuongezea Mama muhula mwingine wa miaka 5.

Ngongo kwa sasa kibandani kwa Sheikh Mwaipopo.
Yuda nyoko
 
2030 goli lipo wazi kila mtu anajitahidi kujionyesha kuwa mfungaji bora.

Kutakhwa na mengi yasiyotarajiwa yatatokea na inakuwaga hivyo.

Watakuja hata wasiotarajia na wasio maarufu tutaona kwenye kuchukua formu nipo nayasubiri michezo na misondo ya ccm.
 
Ujinga wa wa tz uko level za juu mnoooo hakuna utoti na mtt anaelia ukamwambia nyamanza nikakuletee andazi na akanyamanza
 
Yuda ni yuda haijalishi kama ni yuda wa wakati uleee wa Yesu au wa wakati huu Mama ndio kila kitu.

Barabara ikijengwa ni Mama.
Matundu ya vyoo yakijengwa ni Mama.
Hospital ikijengwa ni Mama.
Hela zote ni Mama.
Sasa huyu Yuda wa Peramiho katokea wapi,anataka kuzika fahari ya Mama.

Ngongo na genge lake tukutu tunajiandaa kwa maandamano makubwa ya kupinga katiba mpya

Katiba mpya haitaleta ugali mezani.Mahitaji na matarajio ya Watanganyika ni kurekebisha hii ya sasa ili kumuongezea Mama muhula mwingine wa miaka 5.

Ngongo kwa sasa kibandani kwa Sheikh Mwaipopo.
Hivi mnadhani watanzania wa sasa ni Gen X wale wa mwaka 1964?! Mnatuonaje?

Hakuna watoto wa kuwachota akili humu na hizo propaganda uchwara!

Nyoka alietoka Shimoni Anaanzaje Kumshauri mjusi akamsaidie kumtoa nyoka mwenzake aliekwama shimoni?

Kwahiyo sasa hv vijana mmepewa task ya kujifanya mnamshambulia muhuni mwenzenu nchimbi mtandaoni kumuita yuda!....ili kuwapoteza watu maboya!?
 
Huyu ndio yule alietajwa na Tumia akili,MTU humble visionary,calm, intelligent and truthfully atakaefanikisha next stage!!

Wanamwita Brother!!

Hatujui atapenyaje hapo kwa strong hold,hatujui game inachezwaje huko deep lakini labda desert mission!!

Ngoja tuone naona ameanza kuungana na kina lisu na heche kwenye kupigania katiba mpya!!

Sio ishara mbaya !!!
 
Wewe na Mwenzako Tumia akili....kwa hii post yako 1 tu!... sasa imenifungua akili kuwa ninyi ni project ipi?

Kumbe enzi ili mlikuwa mnatuhadaa...ili kuisafisha njia ya mamaenu indirect!?

Wenye akili washawasoma!
 
Back
Top Bottom