yuda

John Yuda Msuri (born June 9, 1979 in Dodoma) is a Tanzanian long-distance runner.

View More On Wikipedia.org
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Vipande 30 vya fedha(Silver) alivyohongwa Yuda leo ni kama kiasi gani leo.

    Eti wakuu, ile pesa Yuda alihongwa ilikuwa na thamani gani? Leo inaweza kufananishwa na kiasi gani?
  2. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Yuda Iskariote chuma kilicho piga pesa ndefu na kumsaliti Yesu

    Yuda a.k.a chuma ndiye mwamba uliyeona pesa ni bora kuliko Yesu. Kabla ya siku ya Alhamis Kuu kama iaminiavyo na Wakristo wengi hapa Duniani chuma kilikuwa kimeshalamba advance yake mapema kabisa na Mafarisayo kama wote mida ya jioni jioni ya Alhamis Kuu ndiwo walikuwa wapambe wake huku...
  3. Victoire

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atuombe msamaha Wakristo, Simba wa Yuda kwetu ni Yesu Kristo peke yake

    Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo. Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda. Rais kweli hapa si sawa kabisa.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hemed Kivuyo atoa waraka mzito kumpinga Manara:atoa onyo Yanga SC

    Sina la kusema sababu aliyeandika waraka ni jamaa lialia la utopolo hata likitangazaga kwenye tv huwa linalia kabisa utopolo wakiwa wamepigwa na kina kapumbu ***************** Haji Manara Bomu linalosubiri Kutupasukia Anaandika Hemed Kivuyo. Wananchi leo ni Siku yetu, tusherehekee tufurahi...
  5. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Tutambue si kila biashara au wafanyabiashara wana faida kwa maendeleo ya nchi

    Yuda alisikitika yesu alipomwambia atamsaliti mara tatu kabla hapajakucha usiku ule alipotiwa mkononi mwa watesi wake. Kwa imani ya kikristo Yesu ana umungu ndani yake kwa hiyo angeweza kumjua msaliti mapema. Kwa bahati mbaya viongozi wengi wema walisalitiwa na watu waliyowaamini kabisa na...
  6. Underwood

    JamiiForums Tanzania Je kwanini Yuda alimsaliti Yesu kwa busu?

    Natumaini Ijumaa kuu inawaendea vyema wana jamvi wakati huu taifa likiwa kwenye maombolezo ya kitaifa. Bila kupoteza muda, niende moja kwa moja kwenye hoja. Wengi wetu kama sio wote tunafahamu kuwa waumini wa madhehebu ya kikristo wako katika maadhimisho ya juma kuu kama namna ya kukumbuka na...
Back
Top Bottom