youtube

  1. Jchris14

    Msaada namna ya ku-verified number kwenye YouTube

    Wakuu salamu. Naombeni msaada namna ya ku verify number kwenye YouTube channel. 🫶
  2. Noah the lastborn

    Nahitaji muongozo namna ya kulipwa youtube

    Naombeni muongozo wa namna ya kuwa monetized youtube kwa kupost na kucreate content ,nahitaji muongozo kidogo
  3. Noah the lastborn

    Hivi ni kwa namna gani naweza kuwa monetized na youtube

    Nahitaji msaada wa kimawazo ili nijue namna ya kuingiza hela kupitia kupost na kucreate content youtube ,msaada wa kimawazo guys
  4. Secret Star

    Nauza YouTube Channel yenye 210,000 Subscribers - TSH Mil 1 Tu!

    Nauza YouTube channel. Ina subscribers 210,000+ Imeanzishwa 2018. Ndani ya miaka 8 imeingiza USD 100,298 Sababu ya kuuza. Nimekosa muda wa kuiendeleza. Usimamizi wake unahitaji umakini wa kila siku. Nipo busy na majukumu mengine. Bei. TSH milioni 1 tu. Muhimu ujue. Nina uhitaji wa hii milioni...
  5. Resident

    KAZI KAZI!! YOUTUBE CHANNEL

    NATAFUTA TEAM (PART-TIME) – YOUTUBE CHANNEL Natafuta vijana wenye ujuzi wa: 🎨 Graphic Design 🎞️ Video Editing ✍️ Script Writing 🎙️ Narration Kwa ajili ya YouTube Channel Interested? Tuma: Jina + nafasi unayoomba + sample ya kazi Email: bashirumfaume@gmail.com
  6. I

    MTV chali mbele ya YouTube na TikTok

    Baada ya miaka 44 ya kuiburudisha dunia, hatimae MTV imesalimu amri mbele ya YouTube na TikTok. Soma zaidi... https://www.instagram.com/p/DS-AHXHFF22/?igsh=a29rb2JwZHJqbHZ3
  7. Mad Max

    Anaitwa Zuhura Othman aka Zuchu, yupo YouTube analipia wimbo wake Namba Zisome!

    Inasemekana watu wengi wameondoka mijini na kwenda vijijini kwao kusiko na fiber, kwahiyo wasanii wanakosa viewers. Ikumbukwe anavotoa Sukari 2021 alipiga views Mil 1 chini ya masaa 24. Sema nyakati zinabadirika. There’s a reason Reason was sponsored, because reason without reason won’t...
  8. Fbn

    Kwa matukio haya mpaka sasa huyu akiendelea basi nyie ni zamu yenu mnayetunza.

    Tokea kushika kijiti kwa JPM kumekuwa na matukio ya kutisha na ufisadi wa kutisha. Kuna kisa kimoja nimekumbuka hata nchi kubwa wanatumia sana zengine tunaona kwenye movie. Ukishapangiwa majukumu na mkubwa wako na mission ikawa inakwenda kumfichua mkubwa wako ni wazi unatakiwa kupotezwa ili...
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    Nguvu ya Umma: Harmonize ashusha video yake huko Youtube baada ya raia kususia kuitazama na kuambulia viewers wachache

    Harmonize tarehe 29 alipandisha ngoma mpya YouTube, badae ameona aifute kutokana Viewers kuwa chini ya 5k since then mpaka jana. Wananchi especially Gen Z wameona sio tu show zao hata kuwasapoti kwenye platform mbalimbali ni kitu hakitakiwi kwasasa, Wananchi wameamua kuwapuuza the so called...
  10. Fbn

    Huyu jamaa mchambuzi wa Azam na ana youtube channeli yake IBRAHIM RAHBY uchambuzi wake ni wachumbuzi wa mpira wenye mahaba na timu zao.

    Kutaja wachambuzi list hapa tz niwengi sana yani unaona kabisa uchambuzi wao ubalance yani kuonesha hisia zao zipo wapi kwenye saisa,mlengo gani,kuwa upande gani. Katika siku ambayo nilimuona huyu mchambuzi ni shabiki wa waarabu fatilia uchambuzi wa sudani kule kwa bashiri RSF.Fatilia uchambuzi...
  11. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗬𝗼𝘂𝗧𝘂𝗯𝗲 𝗸𝘂𝗹𝗲𝘁𝗮 𝘂𝘄𝗲𝘇𝗼 𝘄𝗮 𝘄𝗮𝘁𝘂 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮𝗻𝗮 𝗠𝗲𝘀𝗲𝗷𝗶 𝗣𝗿𝗶𝘃𝗮𝘁𝗲

    YouTube inafanya majaribio ya feature mpya inaitwa "Direct Message" Kwa watumiaji wake kupitia channel zao ambazo wana share video Kwa wengine kuweza kuchati nao Private. Feature hiyo itawapa watu uwezo wa kuweza kuchati kupitia app ya YouTube mobile Kwa kuweza kutumiana Meseji ndani ya hiyo...
  12. Griss

    PostGE2025 Nini hiki Rais aliyepata kura million 31 anakosa live views haka 500 YouTube?

    Hii Ni aibu Huyu akifikisha kweli hata kula million 1? Hii Ni fedhea kwa Taifa
  13. M

    Watz tunazidi kupiga hatua, kuna software maarufu ya kudownload videos za youtube na mitandao ya kijamii. imetengenezwa na mtu anajiita Muhogo Mchungu

    https://github.com/mhogomchungu/media-downloader Siku ya jana nilikuwa natafuta software nzuri ya kushusha videos Baada ya kutafuta hapa na pale nikakuta kwenye majukwaa ya eknolojia ya kimataifa watu wanaishauri Media Downloader Niliishusha na kuitumia, ni software nzuri ambayo inaweza...
  14. Cute Wife

    GE2025 Mitandao ya YouTube, TikTok na Signal imeliwa kichwa kama X na Telegram. Facebook, Instagram na WhatsApp kufuatia?

    Wakuu, Mpaka sasa motandao ya Youtube, TikTok na Signal imeliwa kichwa, haipatikani mpaka utumie VPN, yote hii ikiwa ni kuzuia wananchi kupata taarifa wakati muhimu kabisa wa uchaguzi ambao wananchi wana haki na wanastahili kupata taarifa kujua kinachoendelea katika siku muhimu inayoenda...
  15. Think2

    GE2025 Youtube wanashida gani leo au wanasystem wameanza mambo yao?

    Youtube wana shida gani leo au wanasystem wameanza mambo yao? Yaani youtube muda huu imegoma kbs kufunguka au wamezima
  16. Mhaya

    Sasa Hivi TRA Wanakusanya Kodi Hadi Google AdSense (YouTube & Websites)

    Wewe kama ni mmiliki wa Channel ya YouTube au mmiliki wa Website na unapata pesa kwa njia ya Google Adsense basi jua sasa hivi TRA wanakata Kodi mpaka huko YouTube na kwenye Websites kwa pesa unayokusanya kupitia Google AdSense. Hivyo uwezi kutoa pesa mpaka uwe na TIN namba pia, tofauti na...
  17. Isaka James

    Jinsi Social Media Inavyochangia Tech Culture Tanzania

    Yo, wadau wa tech! Social media imekuwa kama nguvu kubwa kwa ukuaji wa tech ecosystem hapa Tanzania, na leo tunaangalia jinsi platforms kama JamiiForums, X, Instagram, LinkedIn, WhatsApp, YouTube, na TikTok zinavyobring tech enthusiasts pamoja, kushare knowledge, na kushare events za tech. From...
  18. W

    Vijana 19 wauawa Nepal kwenye maandamano baada ya Serikali kufungia mitandao

    Takribani watu 19 wamepoteza maisha na kadhaa kujeruhiwa nchini Nepal baada ya maandamano dhidi ya ufisadi wa kisiasa na baada ya serikali kuchukua hatua ya kufungia mitandao ya kijamii amabapo maandamano hayo yaligeuka kuwa machafuko kati ya waandamanaji na vyombo vya usalama. Maelfu ya vijana...
  19. Tech Max

    Nani anajua kuingiza pesa kupitia YouTube Automation anisaidie

    Kuna mtu anaingiza pesa kupitia YouTube Automation anatoa kozi / mafundisho ya kuingiza pesa kupitia YouTube Automation nilimwambia anioneshe chaneli yake aligoma, hivyo nikashindwa kumwamini kama kweli anaingiza pesa, nauliza nani anajua hii kitu anisaidie, nicheki sms / call / WhatsApp +255...
  20. Tech Max

    Kama unauza YouTube chaneli nanunua

    Kama unauza YouTube chaneli nanunua, mawasiliano: 0756704145, Dar es salaam, Mbezi
Back
Top Bottom