yesu

  1. Guru Master

    JamiiForums Tanzania Yesu alipoliangalia hili Kanisa la leo, linatia huruma

    "Maneno mengi Yesu aliongea Juu ya Kanisa. Zaidi sana juu ya siku za mwisho. Na kulionya Kanisa juu ya wakati wake wa Mwisho. Ya kwamba utakuwa wakati wa Hatari. Kanisa lisije kujisahau. Liendelee kama lilivyopatana na Yesu. Lifanye vivyo hivyo mpaka atakaporudi. Yesu alisema. " Kanisa...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Fumbo na kitendawili cha Kanye West dhidi ya Yesu Kristo

    Kama Ye anatamka jina la Yesu katika kipindi kigumu zaidi cha maisha yake jua kuwa jina la Yesu lina nguvu kubwa zaidi kuliko kitu kingine chochote kile ulimwenguni. Lakini je, kwa kutamka jina la Yesu, Ye ana akili au hana? Ye aliwahi kuutangazia umma kuwa alishauza nafsi yake kwa Shetani...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo Mapepo yanayomzuia Yesu asirudi kwa mara ya pili

    INCUBUS NA SUCCUBUS: MAPEPO YENYE LENGO LA KUMZUIA YESU ASIRUDI KWA MARA YA PILI DUNIANI Duniani wawili wawili. Umewahi kujiuliza kwa nini? Kwa nini mtu afanane sana na mtu mwingine ambaye hata si ndugu yake na labda mmoja anaishi Kagera na mwingine Tanga? Au mmoja anaishi Rwanda na mwingine...
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Huu hapa umri wa Bikira Maria wakati anamzaa Yesu

    Kwa mujibu wa tamaduni za Wayahudi za kipindi hicho wanawake waliolewa wakiwa na umri wa miaka kumi na mbili. Wakichelewa sana BASI ni kumi na tatu au kumi na nne. Bikira Maria alibeba ujauzito wa Yesu akiwa na miaka 12 au 13 na alijifungua akiwa na umri wa miaka kumi na tatu au kumi na nne...
  5. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunaadhimisha siku ya kufa Nyerere badala ya kuzaliwa kwake kama wafanyavyo wengine?

    Krismasi ni siku Yesu aliyozaliwa au Birthday ya Yesu, Pasaka ni siku Yesu alipofufuka na ndiyo Sikukuu muhimu katika Ukristo unaweza kusema Pasaka ndiyo Ukristo wenyewe, sijawahi kusikia sikukuu ya kufa kwa Yesu, mnafikiri ni kwa nini ? Sasa kwa nini Tanzania Nyerere Day ni siku Mwalimu...
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Yesu Kristo angeishi nyakati hizi angepotezwa mapema sana..... Soma hapa

    Nimetafakari sana inawezekanaje kuwa na matukio maovu yanayoendelea huku kukiwa na watu wengi wanaojitambulisha kama wafuasi wa Yesu Kristo ambaye kwa imani yetu alikuwa mtu mwema asiyetenda maovu? Baada ya tafakuri yangu nimeona ni wazi kwamba Yesu angefanya kazi zake kwa wakati huu...
  7. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Hii ndio punje ya Haradali aliyoizungumzia BWANA YESU KRISTO

    Hii ndizo punje za Haradali. Ukiwa na imani ndogo kama punje ya Haradali unaweza kuihamisha milima.
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Yesu na Jobless: Dhana ya janga la ukosefu wa ajira; kuwahi sio kufanikiwa

    Yesu na Jobless: Dhana ya Janga la Ukosefu wa Ajira; Kuwahi sio Kufanikiwa Anaandika, Robert Heriel. Mwanafalsafa. Kuwahi kupata ajira au kazi haimaanishi utawahi kufanikiwa, maisha hayapo hivyo. Na kuchelewa kupata kazi au ajira haimaanishi ndio utachelewa kupata mafanikio au hautafanikiwa...
  9. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Rose Muhando asimulia jinsi Yesu alivyomtokea live

    Star wa gospel music Rose Muhando aweka wazi kutokewa kwake live na Yesu kristo.
  10. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Ili kijana wako awe mwanaume anahitajia Baba. Wavulana wanahitaji mifano ya kiume ili waepuke tabia za kike

    Wavulana wanahitaji mifano ya kiume. Wanahitaji baba anayewaongoza kwa kielelezo na kwa upole lakini anayewatia moyo kwa uthabiti. Uadilifu ni muhimu kwa wavulana. Wanaitikia vyema nidhamu iliyo thabiti, ya uaminifu na ya haki. Swahaba wa Mtume (s.a.w) aitwae `Umar alikuwa akitembea na mtoto...
  11. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Yesu alikuwa mfanyabiashara, Mohammed alikuwa mfanyabiashara: Kwanini wafanyabiashara wakristo na waislam wengi sio waaminifu?

    Tujadili kidogo. Wafanyabiashara wengi Kama sio waislam ni wakristo. Lakini wengi sio waaminifu. Wanatumia juju na uchawi, wanaforce kupata faida isivyo halali, kukwepa Kodi na kukwepa taratibu rasmi TATIZO linatoka wapi ikiwa Yesu alikuwa mfanyabiashara wa samani(furniture) lakini hakutenda...
  12. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Swali la Yesu ambalo linakufunga mdomo

    Siku moja Yesu katika harakati zake ,Wayahudi hasa mafarusayo wale ambao hawakumuelewa hasa kuhusu Asili yake ,aliwatandika Swali ambalo liliwaziba mdomo Hawa Wayahudi walikuwa wanajifanya wanayaamini maandiko asilimia 100, Na Yesu alikuwa hasumbuani nao Sana anawatandika kwa maandiko Kisa...
  13. Kinengunengu

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu: Ulimwengu wa Roho ni halisi (Yesu, malaika, shetani, mapepo na Mbingu ni halisi)

    UTANGULIZI: Kwa majina naitwa Ndetyefose, napenda kutoa ushuhuda wangu binafsi wa Maisha yangu. Lengo la ushuhuda huu ni kueleza yale matendo makuu ambayo Mungu amenitendea kwenye Maisha yangu. Ushuhuda huu ni wangu binafsi na yale niliyoyapitia kwenye Maisha yangu. Kabla ya kutoa ushuhuda huu...
  14. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Joe Davie: 2003 Yesu Kristo alinitokea yeye mwenyewe kabisa

    Kupitia mahojiano aliyafanya na Millard ayo. Nabii na Mtume wa Mungu Joe Davie amethibitisha mwaka 2003 wakati anaanza huduma Yesu kristo alinitokea na kumkabidhi funguo za kufungua binadamu wenye matatizo mbalimbali.
  15. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Hii video kuhusu Yesu Kristo ilikusudia nini hasa?

    Waliorekodi hii video walikusudia nini hasa kwamba Yesu kristo alipiga watu mateke.
  16. Mtukutu wa Nyaigela

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya pasaka ya Agano la kale, pasaka aliyoiacha Yesu na pasaka ya sasa (easter)

    Jibu la Biblia Pasaka ni sherehe ya Kiyahudi iliyowakumbusha jinsi Mungu alivyowakomboa Waisraeli kutoka katika utumwa wa Misri mwaka wa 1513 K.W.K. Mungu aliwaagiza Waisraeli wakumbuke tukio hilo muhimu kila mwaka katika siku ya 14 ya mwezi wa Kiyahudi, Abibu, ambao baadaye uliitwa...
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu wale wezi waliotundikwa na Yesu walivunjwa miguu

    Inasemwa kuwa mtu akitundikwa huwa anatumia miguu yako kujunyanyua juu anapopumua. Sasa ili kuwafanya wafe haraka ilikuwa ni kawaida kuwavunja miguu ili washindwe kupumua vizuri na kufa mapema. Karibu watu wote waliotundikwa walifanyiwa hivi. Lakini walipofika kwa Yesu wakakuta tayari...
  18. Y

    JamiiForums Tanzania Ijumaa Kuu: Mateso ya Bwana Yesu yalikuwa makali sana na kilikuwa kifo cha aibu"Alijivua hali ya uungu akavaa hali ya ubinadamu"

    Wapendwa habarini leo ni ijumaa kuu ni kumbukizi ya kifo cha bwana yesu inasemekana yapata miaka 2000 iliyopita "baada ya wazazi wetu Adam na Eva kutenda dhambi pale bustani ya edeni MUNGU alichukia kwa hiyo dhambi na aliwafukuza pale bustanini na ndipo...
  19. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Ijumaa Kuu: Kifo cha Yesu Kristo Msalabani (Simba wa Yuda)

    IJUMAA KUU; KIFO CHA YESU KRISTO MSALABANI (SIMBA WA YUDA) Leo 14:25pm 15/04/2022 Basi tangu saa sita mchana Yesu alipowekwa msalabani na kugongelewa misumari pale Calvary,akapaza sauti yake akasema Eloi,Eloi lamasabakhthani(Mungu wangu,Mungu wangu mbona umeniacha?) mara giza likatanda, Yohane...
  20. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Yuda Iskariote chuma kilicho piga pesa ndefu na kumsaliti Yesu

    Yuda a.k.a chuma ndiye mwamba uliyeona pesa ni bora kuliko Yesu. Kabla ya siku ya Alhamis Kuu kama iaminiavyo na Wakristo wengi hapa Duniani chuma kilikuwa kimeshalamba advance yake mapema kabisa na Mafarisayo kama wote mida ya jioni jioni ya Alhamis Kuu ndiwo walikuwa wapambe wake huku...
Back
Top Bottom