Hali ya Yesu wa Kenya muda huu

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,066
4,085
Jana niliona maandalizi yakifanyika, waliandaa misumari mikubwa, mbao kubwa za msalaba na pia nyundo kubwa

Pia kulikuwa na mijeredi, marungu na fimbo nyingi sana. Pia kulikuwa na mikukì standby, naona hii ni ya kumchomea ubavuni akiwa pale juu msalabani.

Leo bado sijapata updates za kutoka Kenya, mwenye nazo naomba atusaidie. MK254 hebu tupe taarifa za huko
 
Boma lake limezingirwa na maaskari kwa ajili ya kumuwekea ulinzi.
Mwamba yupo ndani amejichimbia tu.
 
Back
Top Bottom