yesu kristo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Jana nilifanya mazungumzo na Yesu Kristo na kumwomba ufafanuzi kuhusu amri zake kuu mbili za upendo. Na hapa nakuletea mazungumzo hayo kwa ufupi

    Wakuu, kwa kuwa katika muda huu, sisi wenye mamlaka ya kusimamia na kuandaa wataalamu wa baadae (walimu) tupo likizo. Ninaitumia likizo hii kwa kwenda shambani ili kuzalisha chakula. Wakuu, jana nilibahatika kukutana na Yesu ana kwa ana, nilikuwa natoka shambani narudi nyumbani majira ya mchana...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tanzania yote tukimpenda Yesu Kristo tutakua na amani ya moyoni ambayo huleta amani ya nje (utulivu yaani bila ghasia)

    Amani inaanzia moyoni. Tukiwa na amani moyoni basi hata nje kutakua na amani. Ni jinsi gani watu wanaweza kumpenda Yesu Kristo. Njia pekee ni kwa kuhubiri habari za Yesu Kristo tu huko makanisani bila kubembeleza watumishi. Watumishi waambiwe ukweli ya kwamba ni Yesu Kristo pekee awezaye...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tusidanganye, Rest in Peace (RIP) haipatikani bure; lazima uishi maisha mema kwanza

    Acheni kiburi cha uzima, mwabuduni Yesu Kristo. Siku za mwisho zipo karibu. Hapa duniani tunapita. Miaka ya kuishi ya mwanadamu ni 60 hadi 80, baada ya hapo anakufa. Baada ya kifo, ndio mwanzo wa hukumu unaanza hapo. Rest in Peace haipatikani bure; lazima mtu aingie gharama ya kuishi maisha ya...
  4. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Rehma na amani ziwafikie Muhammad na Yesu Kristo

    Wasomi na watumishi wa dini hizi mbili yaani (Uislamu na njia ya Kristu), naomba jibu ya swali langu hili dogo tu,. Kila linapotajwa jina la YESU au la MUHAMMAD Huwa mnaongezea na maneno tena kwa unyenyekevu au kwa molali ya hali ya juu huwa mnasema (REHMA NA AMANI ZIMFIKIE) Swali langu kwa...
  5. covid 19

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa nikitafakari kuhusu Biblia na namna waandishi wake walivyoandika matukio mbalimbali kuhusu Yesu. Mambo kadhaa yananipa maswali

    1. Biblia inasema Yesu alifunga kwa siku arobaini jangwani, akiwa peke yake, na akajaribiwa na Shetani. Nani alirekodi majaribu hayo wakati hakukuwa na mtu mwingine aliyeshuhudia na hakuna sehemu inayosema Yesu alisimulia tukio hilo? 2. Katika bustani ya Gethsemane, Yesu alienda kuomba kwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Iran, Hezbollah na wenzao mfano mzuri wa upendo wa Yesu Kristo aliyetufia msalabani

    Nimeguswa kuandika uzi huu kutokana na bandiko ninaloliweka hapo juu. Injili imesheni upendo mkuu usiokuwa na kifani aliokuwa na Yesu Kristo na Mungu baba kutupenda mno sisi hata akamtoa mwanawe wa pekee kuja kutufia ili tusipotee. Yohana 3:16 - 17: "Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda sana...
  7. Judah Tribe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yesu anaitwa Simba na si jina la mnyama mwingine?

    Wazima kama swali linavyo uliza wakristo nitaomba majibu yenu kwanini YESU kristo aitwe Simba na si Mnyama mwingine mfano Tiger, Chui, Tembo au Nyati. Najua humu kuna wataalam watakao tujibu kitaalam na kiimani zaidi ili iwe faida kwa wengi wasio fahamu na pengine walio kuwa wanafahamu kwa...
  8. Rule L

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Yesu aliteseka msalabani kwaajili yetu ili tusamehewe dhambi zetu, sisi tunatubu ili iweje?

    Nawasalimu Salam ya wakati huu. Kiukweli kabisa Mimi hili suala mpaka kesho sijawahi kulielewa, Kama tunaambiwa kwamba dhambi zetu yesu alizimaliza msalabani sasa kwanini watu wanalia na kusaga meno kila siku wasamehewe dhambi zao? Je, kuna makundi ya dhambi zilizosamehewa na ambazo bado ama...
  9. USSR

    JamiiForums Tanzania Kwenye biblia kuna Yesu wawili Yesu kristo na Yesu mchawi ,Manabii wanamtaja Yesu mchawi

    Nataka Ufahamu Neno Moja wewe mwana wa Mungu Ambaye Umekuwa ukitishwa na Hawa manabii wa Uongo na wanataja Jina la Yesu na Umekuwa ukichanganyikiwa Sana unapo sikia Jina Hili likitajwa na huenda Umekuwa ukijiuliza Kama Ni washetani mbona wanataja Jina la Yesu, ngoja Sasa nikufungue macho leo...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Wasabato Yesu Kristo ni Alfa na Omega, Mnadai alianza kufanya upelekezi wa matendo yetu miaka ya 1860's, haingii akilini, mnamshushia hadhi yake!

    Moderator naomba mada hii isiunganishwe kwingineko Wadau hamjamboni nyote? Nimekuja tena na hoja kuwa Yesu Kristo ni Alfa na Omega na amekabidhiwa mamlaka yote haitaji kufanya upelekezi kujua dhambi anazozifanya mwanadamu! Ndiyo yeye ndiye mwenye mamlaka makuu na uwezo wake haufananishwi na...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo atua ofisini kwa Paul Makonda kumfanyia maombi maalumu ya baraka na kumpongeza kwa uteuzi

    Ndugu zangu Watanzania, Kilichopatikana kwa Maombi hulindwa kwa Maombi na kilichopatikana kwa uchawi na makafara hulindwa kwa uchawi na makafara yakiambatana na matambiko yasiyo kwisha. Kwa kuwa Mwamba Mwenyewe Makonda amekuwa akipata vyeo na nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya serikali na...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Namtumbo: Wazazi waacha kupeleka Watoto Shuleni wakiaminishwa Yesu Kristo anakaribia kurudi

    Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo, Ngollo Malenya amefanya msako wa Wanafunzi ambao hawajaripoti Shule za Msingi na Sekondari Vijijini ambapo katika hali isiyo ya kawaida alipofika Kijiji cha Chengena kwenye msako wa nyumba kwa nyumba amebaini uwepo wa Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya (33)...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Majina yote mazuri ni yake Yesu Kristo, Messiah!

    Salaam , Shalom!! Wakati wengine wakiacha Majina waliopewa na wazazi wao na kujiita Samaki PAPA Ili tuwaogope, wengine wakijiita Bulldozer, wengine caterpillar, wengine wakijiita Sugunyo, kumbe ni Majina FAKE. Wanapitia na magari ya matangazo wakisema njoo Kwa mungu wa Katapila bila kumtaja...
  14. Execute

    JamiiForums Tanzania Ingawa kwangu roman catholic sio kanisa la Yesu Kristo lakini media zinapotosha tamko la baraka kwa ndoa za jinsia moja

    Kwangu mimi roman catholic ni taasisi fulani ya kijasusi inayotawala sehemu kubwa ya dunia kupitia yule wanamuita bikira maria na wala haina uhusiano na kanisa la Yesu Kristo. Asilimia kubwa ya mafundisho yao ni matamko ya viongozi na mapokeo ya miaka mingi. Sasa kilichopitishwa na papa...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Je, Yesu Kristo alikaa tumboni kwa Mama yake kwa muda gani hasa kabla ya kuzaliwa?

    Wadau hamjamboni nyote? Swali Kwa Ndugu zangu Je Yesu Kristo au Issa Bin Mariamu alikaa tumboni kwa Mamake Bi Mariamu kwa muda gani hasa kabla ya kuzaliwa? Je ni miezi 9 au 6 au 3 au 1 au siku 1? Naombeni majibu kwa mujibu wa maandiko rasmi na sio vinginevyo Lugha zisizo na staha...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Uadui Kati ya Myahudi na mpalestina / mwarabu ulitengezwa na Mungu mwenyewe hivyo atamaliza mwenyewe kwa sababu hatukumjua Mungu kupitia Yesu kristo

    Mungu aliamua kuwapa wayahudi nchi ya Kanani ufalme wenye nchi zaidi ya Tano baada ya kuwa wenyeji wa nchi Ile walikuwa wakiabudu mizimu. Pale ilitengenezwa uadui mkubwa na hasa kosa la Wana Israel waliambiwa na Mungu kuwa wawafutie mbali Yale makabila yenye kuabudu miungu mingine . Mungu...
  17. MIRA01

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio watakaookoka na kumuona Yesu Kristo

    Naomba niweke hili wazi kabla sijaendelea na hiii mada kwenye kurasa huu, sipo hapa kuhukumu wala kukosoa imani ya mtu yeyote yule kuanzia kwenye madhehebu na iman na dini tofauti Moja ya vitu ambavyo wakristo wengi wanapambana navyo kwenye kipindi hiki cha mwisho wa kufunga historia ya...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Serikali/Polisi Mkoa wa Mbeya mna ugomvi gani na Mtumishi wa Yesu Kristo Mch Mbarikiwa Mwakipesile..?

    Mchungaji ☝️☝️na mwimbaji wa injili ndugu Mbarikiwa Mwakipesile Mtoto ☝️☝️wa Mch Mbarikiwa Mwakipesile anayedaiwa kuuliwa na aliyekuwa mkuu wa TISS akishirikiana na RSO wa Mbeya.. ================================================== Huyu mchungaji ni kiongozi wa huduma ya kutangaza injili...
  19. V

    JamiiForums Tanzania Tumsifu Yesu Kristo, Bwana Yesu Asifiwe, what's the difference?

    Kwenye majukwaa ya hadhara utasikia Bwana Yesu Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo Tofauti hapo ni nini ? Au utasikia "Asalam Aleikum, Bwana Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo. Zinatumika salamu za dini zote mbili ili kuleta balance, sasa kwa nini za Wakristo ziwe mbili? Na mbili zenyewe ni kitu kile...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Leo nafufuka na Yesu Kristo. Naomba msamaha kwa wote niliowakosea humu JF, nami nimewasamehe.

    Huku JF wakati mwingine huwa naingia nikiwa serious na nikiwa makini kweli kweli. Lkn Kuna muda nakuwa na stress zangu tu naamua kuja kuziondolea huku. Hivyo kuna muda natoa maoni yanayoweza kuwa yamewakwaza baadhi yenu. Nachukuwa fursa hii kuomba radhi kwenu nyote ktk siku hii takatifu...
Back
Top Bottom