yesu kristo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Shroud of Turin (Sanda Aliyovikwa Bwana Yesu Inayoonyesha SURA Yake). Je, ni kweli ilikuwa ya yesu kristo?

    SEHEMU YA II Pia soma sehemu ya I Shroud of Turin (sanda aliyovikwa Bwana Yesu inayoonyesha sura yake) ni kweli ilikuwa ya Yesu Kristo? HUENDA LEORNARDO DA VINCI ALIUHADAA( danganya) ULIMWENGU Na Da'Vinci XV, Zanzibar, Masalkheyr wakuu Naam Kama tulivyojadili katika kipande cha kwanza...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi Yesu kristo alipozungumza na mimi zaidi ya miaka kumi iliyopita

    Nilikuwa ni mtu wa starehe Sana miaka ya nyuma, ila mwanzoni nilikuwa si mtu wa kulewa Wala wanawake Sana, ila siku moja nilipoanza pombe nilijikuta n
  3. Mulama

    JamiiForums Tanzania Nimrudishie nini Bwana?

    Nimrudishie nini Bwana kwa ukarimu wake wote alionitendea? Nitakipokea kikombe cha wokovu na kuitangaza amani ya Bwana kwa neno lake, Zaburi 116:12. Mungu wangu u mwaminifu sana kwangu hata sasa umenipa makumi mawili matatu hapa kwenye ardhi yako nikiwa timamu na afya tele, ahsante Mungu kwa...
  4. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Shroud of Turin (sanda aliyovikwa Bwana Yesu inayoonyesha sura yake) ni kweli ilikuwa ya Yesu Kristo?

    SEHEMU YA I Na Da'Vinci XV Naam, Kesho huko kiama nitaketi nanyi wahenga , mnithibitishie ambayo mlinisimulia kama ni kweli au ni visasili tu au ni stori za Awafu mwenye nguvu kule darasa la Nne. Mmenisimulia mengi mengi mno, mmenisimulia hadithi za Chief Songea Mbano na Mputa kule...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu zenye Mantiki zilizowafanya na zinazowafanya Wayahudi wengi Wasimuamini Yesu Kristo

    Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Leo Taikon atajadili sababu zinazopelekea wayahudi wengi kutokumuamini Yesu Kristo Kama Masihi wao na waulimwengu. Andiko hili lijadiliwe Kwa Hoja zisizo na mihemko ya kidini. Kama unajijua Akili yako imefungwa fungwa hii mada haitakuhusu. Hivi uliwahi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kama Yesu Kristo alikufa Msalabani ili tukombowele katika utumwa wa Dhambi mbona bado dhambi zinazidi kuongezeka?

    Ndio maana wayahudi wanasema Yesu bado hajaja. Maana wanadamu tuiahidiwa Yesu Kristo atazaliwa na atakufa msalabani. Kifo chake kitakuwa alama ya ukombozi kwa Mwanadamu kutoka ktk utumwa wa dhambi. Mbona sasa maovu, maasi na dhambi ndio kwanza zinazidi kuongezeka. Au aliyekuja na kufa sio...
  7. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Miaka 18 ya upotevu wa maisha ya Yesu Kristo. Je, nini hasa siri yake na wanaficha nini?

    Habari za Mida hii Ndugu Zangu Naomba kuanza kwa kuwatakia Sikukuu njema ya Kuzaliwa kwa Yesu kwa wale wote wafuasi wa imani ya Kikristo na hope mnaenjoy sana Happy noela Kabla ya yote ningependa kurejea Luka 1:1-3 Kama inavyosema; ..."Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Fumbo na kitendawili cha Kanye West dhidi ya Yesu Kristo

    Kama Ye anatamka jina la Yesu katika kipindi kigumu zaidi cha maisha yake jua kuwa jina la Yesu lina nguvu kubwa zaidi kuliko kitu kingine chochote kile ulimwenguni. Lakini je, kwa kutamka jina la Yesu, Ye ana akili au hana? Ye aliwahi kuutangazia umma kuwa alishauza nafsi yake kwa Shetani...
  9. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Yesu Kristo angeishi nyakati hizi angepotezwa mapema sana..... Soma hapa

    Nimetafakari sana inawezekanaje kuwa na matukio maovu yanayoendelea huku kukiwa na watu wengi wanaojitambulisha kama wafuasi wa Yesu Kristo ambaye kwa imani yetu alikuwa mtu mwema asiyetenda maovu? Baada ya tafakuri yangu nimeona ni wazi kwamba Yesu angefanya kazi zake kwa wakati huu...
  10. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Hii ndio punje ya Haradali aliyoizungumzia BWANA YESU KRISTO

    Hii ndizo punje za Haradali. Ukiwa na imani ndogo kama punje ya Haradali unaweza kuihamisha milima.
  11. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Ili kijana wako awe mwanaume anahitajia Baba. Wavulana wanahitaji mifano ya kiume ili waepuke tabia za kike

    Wavulana wanahitaji mifano ya kiume. Wanahitaji baba anayewaongoza kwa kielelezo na kwa upole lakini anayewatia moyo kwa uthabiti. Uadilifu ni muhimu kwa wavulana. Wanaitikia vyema nidhamu iliyo thabiti, ya uaminifu na ya haki. Swahaba wa Mtume (s.a.w) aitwae `Umar alikuwa akitembea na mtoto...
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Joe Davie: 2003 Yesu Kristo alinitokea yeye mwenyewe kabisa

    Kupitia mahojiano aliyafanya na Millard ayo. Nabii na Mtume wa Mungu Joe Davie amethibitisha mwaka 2003 wakati anaanza huduma Yesu kristo alinitokea na kumkabidhi funguo za kufungua binadamu wenye matatizo mbalimbali.
  13. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Hii video kuhusu Yesu Kristo ilikusudia nini hasa?

    Waliorekodi hii video walikusudia nini hasa kwamba Yesu kristo alipiga watu mateke.
  14. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Ijumaa Kuu: Kifo cha Yesu Kristo Msalabani (Simba wa Yuda)

    IJUMAA KUU; KIFO CHA YESU KRISTO MSALABANI (SIMBA WA YUDA) Leo 14:25pm 15/04/2022 Basi tangu saa sita mchana Yesu alipowekwa msalabani na kugongelewa misumari pale Calvary,akapaza sauti yake akasema Eloi,Eloi lamasabakhthani(Mungu wangu,Mungu wangu mbona umeniacha?) mara giza likatanda, Yohane...
  15. Victoire

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atuombe msamaha Wakristo, Simba wa Yuda kwetu ni Yesu Kristo peke yake

    Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo. Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda. Rais kweli hapa si sawa kabisa.
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakristo tunaosheherekea 'Krismasi' Kesho kwa 'Yesu Kristo' Kuzaliwa 'Zizini' na 'Unyenyekevu' wake tunajifunza nini?

    Kama huyu Yesu Kristo ambaye tunamsheherekea Kesho ( Krismasi ) alizaliwa Kimasikini Zizini ( Kraal ) ila bado akakubali Kufa kwa ajili yetu, anatuombea 24/7 na ni Mnyenyekevu asiye na Majivuno pia ni kwanini Sisi Wakristo akina GENTAMYCINE tumekuwa ni Watu wa Viburi, Jeuri, Nyodo, Maringo...
  17. mzee wa liver

    JamiiForums Tanzania Zambia: Mchungaji aliyeomba kuzikwa ili afufuke siku ya 3 kama Yesu akutwa amefariki dunia

    Mchungaji wa kanisa la Zion amekufa baada ya kuzikwa hai --- Mchungaji wa kanisa la Zion nchini Zambia James Sakara, aliyewaomba baadhi ya waumini wake wamchimbie kaburi na kisha wamzike akiwa hai kwa madai ya kwamba baada ya siku tatu angefufuka kama Yesu, amekutwa akiwa amefariki dunia...
Back
Top Bottom