yesu kristo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi kila mwaka Kanisa linaadhimisha Sherehe ya Mtakatifu Yosefu mfanyakazi, baba mlishi (Mlezi) wa Yesu Kristo

    Katika tafakari ya maisha ya kila siku, kazi ni kama jua linaloangaza jasho letu kuwa baraka, na juhudi zetu kuwa ibada takatifu. Tarehe 1 Mei, Kanisa Katoliki la Roma,linatufundisha kuyatazama maisha kwa macho ya Mtakatifu Yosefu Mfanyakazi , fundi wa mbao (seremala),baba mlishi wa Yesu Kristo...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania EPL wana vituko sana, wanalazimisha watu kuvaa vitambaa vya upinde ila mtu ukivaa Tshirt inayoonesha imani yako kwa Yesu Kristo wanakuletea noma

    Haya ni matokeo ya nchi kuegemea katika mrengwa wa kushoto/liberals. Wanajua Yesu aendani na ushetani wao wa ushoga wao sasa wanaudhika
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tuache uvivu tumpokee Yesu atufundishe hizi nondo

    Mtu wa Mungu, kumpokea Yesu hakuangalii dini ya mtu, ni moyo wako tu. Neno la Mungu linasema kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe wa pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. Anaye mpokea Yesu anapata uzima wa moyo, uzima wa akili...
  4. Setfree

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuwasalimia watu kwa kusema: “Bwana Yesu Asifiwe” au “Tumsifu Yesu Kristo”?

    Katika jamii mbalimbali maneno: “Bwana Yesu asifiwe” au “Tumsifu Yesu Kristo,” yamekuwa yakitumika kama salaam za kawaida - wakati mtu anapowasalimia waliohudhuria sherehe, mkutano, ibada nk. Kwa ujumla, maneno hayo sio ya kusalimiana. Hayo ni maneno ya kumsifu Mwokozi wetu Yesu Kristo...
  5. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Yesu kristo kafufuka, rasmi na mimi nafufuka!

    Heshima mbele bandugu. HERI YA PASAKA KWA MNAOIAMINI Easter(mimi siiamini naamini pasaka nyingine isiyoitwa Easter). Lililonileta sio hilo, bali ni kufufuka kwangu, kivipi? Noma mbona unatuchanganya kwani ulikufa? Ndio nilikufa, nilikufa kivipi fuatana nami mpaka mwisho.
  6. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Utu Uzima Feki: Kukua kwa Umri Lakini Kukwama kwa Nafsi

    Asubuhi hii ya Pasaka, tunapoamka tukisikia mlio wa mataifa ukisherehekea ushindi dhidi ya kifo, tunakumbushwa kuwa Pasaka haimaanishi tu ufufuo wa Yesu, bali pia ni mwaliko wa kufufuka kwetu—kiroho, kiakili, na hata kijamii. Katika mwangaza huu wa asubuhi takatifu, tunapaswa kutafakari: Je...
  7. Setfree

    JamiiForums Tanzania Je, unajua? Ubatizo wa maji mengi ni ishara ya mtu kufa na kufufuka na Yesu Kristo

    Ubatizo wa maji mengi ni ishara yenye maana sana kiroho. Mtu anapozamishwa ndani ya maji mengi, wakati wa kubatizwa, anaonyesha kuwa utu wake wa kale uliojaa dhambi, umekufa na kuzikwa pamoja na Kristo. Na anapotoka majini, ni ishara ya kufufuka pamoja na Yesu na kuanza maisha mapya ya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Wafuatao, ndio watu pekee wanaoijua kesho yao!

    Salaam, Shalom! Kuna msemo wa wasiojielewa usemao ati "Hakuna aijuaye kesho yake" huo ni uongo, Kesho ya watu inafahamika na ni uamuzi wa mtu mwenyewe kuamua kesho yake iweje, sasa hapa duniani wapo wanadamu wenye KUISHI chini ya jua hili na wanaoijua kesho yao, ni akina nani hao? JIBU...
  9. Setfree

    JamiiForums Tanzania Siri Imefichuka! Yesu Kristo sio Nabii Isa

    Kuna watu wanafundisha kwamba jina jingine la Yesu ni Nabii Isa. Ukweli ni kwamba kuna tofauti kubwa kati ya Yesu Kristo na Nabii Isa. Yesu Kristo ana sifa kuu zifuatazo: Ni Mwana wa Mungu na pia ni Mungu. Katika Mt 16:15-17 – Yesu alimwuliza Petro, "Nanyi mwanisema mimi kuwa ni nani?" Petro...
  10. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yesu Kristo aliivunja Sabato? Sababu hizi hapa

    Yesu Kristo alipokuja duniani alifanya mambo mengi ambayo hayaruhusiwi kufanywa siku ya Sabato. Kwa mfano, aliwaponya wagonjwa na pia aliwaruhusu wanafunzi wake wavunje masuke ya nafaka siku ya Sabato. Hiyo ilikuwa kinyume na sheria ya Sabato. Wakati wa Musa, Mungu aliwaagiza Wana wa Israeli...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tutumie tu akili ya kawaida hivi Yesu Kristo ana uhusiano gani na Mchaga, Mmakonde, Msukuma, Mhaya, Mzaramo, Mjita n.k.

    Nauliza tu mna uhusiano gani na Yesu?
  12. Setfree

    JamiiForums Tanzania Yesu Kristo awaaibisha wanasayansi wakubwa!

    Kina nani hao? Amewaaibishaje? Ntakueleza, ngoja kidogo niwasaidie wale waliokimbia masomo ya sayansi, hasa hasa Fizikia. Ulimwengu wa kisayansi umejengwa juu ya sheria na kanuni zinazoelezea mienendo ya vitu. Miongoni mwa sheria/kanuni hizo ni: The Law of Universal Gravitation: Hii sheria...
  13. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Tangu Yesu Kristo aondoke duniani zimepita siku mbili na dakika 25.

    Miaka elf moja kwa Mungu ni sawa na siku moja. Tunaweza dhani ni miaka mingi sana imepita toka Yesu aondoke duniani kumbe kwa Mungu ni sawa na siku mbili tu.
  14. Kindred Spirit

    JamiiForums Tanzania Hii inaweza kuwa Picha Halisi au Picha Inayokaribiana kabisa na Mwonekano wa Yesu Kristo

    Tumsifu Yesu Kristo.... Bwana Yesu Afisiwe.... Tukiwa katika kipindi hiki cha kuelekea Pasaka, tuchukue muda kutafakari Mwanakondoo huyu, Sadaka na Kafara wa ulimwengu kwa ajili yetu, kwa namna alivyoamua kujitoa mwenyewe kutukomboa kupitia kifo chake. Mada ya Shroud of Turin imeshapostiwa...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Maajabu picha bahari ya Galilaya kutokea angani inavyopendeza na kufanana na ramani ya bara la Afrika, Yesu Kristo alitembea juu ya maji yake

    Wadau hamjamboni nyote? Bahari nzuri ya kupendeza ya galilaya imefanana na bara la Afrika Maji yake Yana baraka kubwa sana Mungu ibariki Israel
  16. Ahead

    JamiiForums Tanzania Yesu Kristo anarudi

    Ndugu tujiandae kwa ujio wa Yesu mara ya pili, mara hii ya pili harudi kama hapo kwanza. Safari hii akirudi anarudi na utukufu mkuu kulinyakua kanisa, ndugu usiwe mbishi hata kipindi cha Nuhu,alijenga safina miaka mingi na watu walimdhihaki mpaka siku ambayo Mungu alileta mvua kubwa watu na...
  17. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Nawauliza watumishi wa Yesu Kristo: Mungu Mkuu kupita miungu yote, aliye hai peke yake, kwa nini wanaoneana Wivu katika kazi walizopewa!?

    habari ya wakati huu jamii forum leo nawazungumzia hawa watumishi na ninaposema watumishi sio tu wahubiri wa neno la Mungu na na utendaji wa huduma zao, bali na waimbaji wa nyimbo za injili ambao wao wanahubiri kupitia nyimbo, ikiwa ni moja ya zile huduma tano alizotoa Yesu Kristo ya...
  18. sanalii

    JamiiForums Tanzania Tuelewane: Hakuna mwenye hati miliki ya Yesu Kristo

    Baada ya kusikia kuna mdahalo, wengi wanaojiita wakristo hapa jamiiforums wamecharukwa as if mdahalo huo ni offensive. Kuitwa Christopher, Judith n.k hakukufanyi uwe na umiliki na Yesu kristo. Kama wale wanaojiita wakristo wanavyoamini, hata muislam nae pia anaimani yake juu ya Kristo kwa...
  19. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Hivi vitabu kuvisoma kawaida ni sawa ila sio kwa kumjengea mtu imani ya Yesu Kristo

    vitabu vifuatavyo, wengine wanaita kanuni ya pili, wengine wanaviita apokrifa, nivitabu ambavyo unaweza kuvisoma tu kama kujifunza kitu fulani ambacho kinaweza kuwa kweli au sio kweli. kwa nini, kwa sababu huwezi kujifunza huko imani ya Yesu Kristo ambayo inatokana na uvuvio wa Roho Mtakatifu...
  20. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Inajulikana na kuandikwa kama Christmas. Sasa kuandiaka X-Mass ni kumkufuru Yesu Kristo!

    Nashangaa wakristo waliowengi wakitaka kutuma ujumbe kuhusu siku hii kubwa duniani na kuandia X-mass, badala ya kuandika "Christmass". Neno "X" ni neno la kishetani likimaanisha "biashara ya ngono". Achaa! Andika " Christmass" likiwa na maana " Kusanyiko la Yesu Christo"
Back
Top Bottom