ECOWAS yasitisha vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Mali

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,609
Viongozi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) wameondoa vikwazo vya kiuchumi na kifedha vilivyowekwa dhidi ya Mali, baada ya watawala wake wa kijeshi kupendekeza mabadiliko ya demokrasia ya miezi 24 na kuchapisha sheria mpya ya uchaguzi

Umoja huo uliiwekea Mali vikwazo vikali mwezi Januari baada ya serikali ya kijeshi kusema kuwa haitaandaa uchaguzi wa kidemokrasia mwezi unaofuata kama ilivyopangwa awali

Rais wa Tume ya ECOWAS, Jean Claude Kassi Brou, amesema mipaka kati ya nchi wanachama na Mali itafunguliwa tena na wanadiplomasia wa kikanda watarejea nchini humo, hata hivyo Mali itaendelea kusimamishwa uanachama wa ECOWAS, hadi kurejeshwa kwa utawala wa kikatiba

.................................................................................

Leaders of the Economic Community of West African States (ECOWAS) have lifted economic and financial sanctions imposed on Mali, after its military rulers proposed a 24-month transition to democracy and published a new electoral law.

The bloc imposed stiff sanctions on Mali in January after the military government said it would not organise democratic elections the following month as initially planned.

ECOWAS Commission President Jean Claude Kassi Brou told a news conference on Sunday that the sanctions will be lifted immediately. Borders with Mali will reopen and regional diplomats will return to Bamako.

“However, the heads of state decided to maintain individual sanctions, and the suspension of Mali from ECOWAS, until the return to constitutional rule,” Kassi Brou said.

The individual sanctions targeted members of the ruling military government and the transitional council.

Sanctions have crippled Mali’s economy, raising humanitarian concerns amid widespread suffering. The country has defaulted on more than $300m of its debt due to the sanctions, which cut it off from the regional financial market and the regional central bank.

The ECOWAS mediator in Mali, former Nigerian President Goodluck Jonathan, visited the country last week. A member of his entourage told AFP news agency that Mali had made “enormous progress”.

Mali’s top diplomat Abdoulaye Diop on Friday said the recent political developments were moving the country towards a lifting of the sanctions.

SOURCE: AL JAZEERA
 
Back
Top Bottom