Chelsea yasitisha mpango wa kumsajili Cristiano Ronaldo, Kocha akataa dili

BigTall

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
422
1,049
Chelsea imesitisha mpango wa kumsajili Cristiano Ronaldo baada ya kuelezwa kuwa kocha wa timu hiyo, Thomas Tuchel kumwambia mmiliki wa klabu, Todd Boehly hamuhitaji Mreno huyo.

Inadaiwa Chelsea ilikuwa mbioni kumsajili mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 37 wa Manchester United lakini kwa kauli hiyo inamaanisha itabidi ama arejee united au atafute timu nyingine.

Tuchel anataka kuwa na wachezaji wanaocheza kitimu na siyo mmoja mmoja ambao wanaweza kupotez aumakini wa timu
---

Chelsea END their interest in Cristiano Ronaldo, as Thomas Tuchel tells Todd Boehly he doesn't want 'individuals' who steal the spotlight in his team - and PSG aren't keen on him either

Chelsea will not be signing Cristiano Ronaldo, after talks between manager Thomas Tuchel and co-owner Todd Boehly.

It is understood that the American, part of a group which took over the club in May, raised the prospect of bringing Manchester United’s wantaway star to Stamford Bridge following a meeting with the player’s agent, Jorge Mendes, in Portugal.

However, following discussions, the decision was made not to pursue the 37-year-old. It is thought that Tuchel wants to focus on the team rather than the individual and believes Raheem Sterling, signed from Manchester City for £47.5m on Wednesday, better fits the bill.

Indeed, there was also a view that the arrival of Ronaldo may have potentially stolen some of the limelight from Sterling, whom Chelsea view as a marquee signing and dressing room leader.

Source: Daily Mail
 
Huyu Ronaldo atulie man united then astaafu mazima, kulinda heshima yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom