yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Safari yangu ya kijijini

    Siku mbili tatu zilizopita, nilijaribu kutembelea vijiji kadhaa katika mikoa mitatu; nilichokutana nacho huko ni kama ifuatavyo:- Vijana wamepungua vijijini Kuna vijana wachache sana, waliobaki vijijini; nilikuwa natembea umbali mrefu sana bila kukutana na mtu/kijana. Katika mita sq 2000 naweza...
  2. JamiiForums Tanzania Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

    . Katika harakati zangu za kujikomboa na umasikini, niliamua kufanya ziara ya kusaka fursa Mpya nchini Congo. Nilikua tayari nimeshapata masimulizi mengi ya upatikanaji wa madini ya dhahabu na Rubi. Ni mnamo mwaka Juzi mwanzoni nikiwa mji wa Uvira amabapo jilikutana najamaa Akiwa na jiwe alilo...
  3. JamiiForums Tanzania Pamoja na kuitafuta miaka yangu hii ya 60 bado nikipanda Dala Dala nawapisha Wazee, ila Vijana 'mnauchuna' tu Vitini

    Ndiyo maana mnaishia tu Kuvuta Bangi, Kupewa hovyo Mimba, mnafeli hovyo Mashuleni, Akili hamna huku wengine mkipenda kuwa kama Dada zenu wakati ni Watoto wa Kiume. Nidhamu ni Ufunguo wa kila Jambo na chanzo cha Baraka Maishani hasa ikionyeshwa na Mtoto / Kijana mbele ya Wakubwa zake hata kama...
  4. JamiiForums Tanzania Nilivyotelekezwa na rafiki yangu Queens Bridge, New York nikiwa sina hata 100 mfukoni

    Miaka ya tisini na mwanzoni nwa miaka ya 2000 kulikuwa na wimbi la vijana kuzamia South Africa,Ulaya au Marekani. Zilitumika njia zote haramu na halali ikiwemo kuzamia meli mpaka bendi ya Orchestra Vijana Jazz wakatunga wimbo wa Ngapulila.Hemed Maneti na Eddy Sheggy waliimba si mchezo RIP...
  5. JamiiForums Tanzania Niweke viungo gani kwenye supu yangu iwe na ladha ya kuvutia?

    Kuna siku nilisikia kuna vidonge vya supu ili kuifanya kuwa na ladha lakini niliyemsikia akisema siweza kupata fursa ya kumuuliza kwa kuwa nilikuwa safarini na yeye ni muuzaji wa njiani na alikuwa amezongwa na wateja wengi. Je, ni kweli kuna vidonge vya supu? Au niweke nini kwenye supu ili iwe...
  6. JamiiForums Tanzania Maisha yangu ya upangaji na wake za watu na niliyowahi kuyashuhudia

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri wapendwa.... Tarehe 29 Mwezi september, mwaka huu natimiza miaka 24. Nataka kushare niliyokumbana nayo na wake za watu pamoja na niliyowahi kuyashuhudia. Mara ya kwanza kuishi wilaya ya Bunda niliishi mtaa mmoja uitwao Nyamakokoto kutokana na ugumu wa maisha kazi...
  7. JamiiForums Tanzania Je, waliooana wanakula bata sana kuliko sisi tunaolala kama baiskeli imepaki? Uzoefu wenu tafadhali

    Hasa msimu huu wa mvua na kibaridi huwa nahisi waliooa na kuolewa wanafadi Sana hasa nyakati za usiku. Au Ni mawazo yangu? Maoni yenu hasa wenye ndoa zao sio michepuko.
  8. JamiiForums Tanzania Maoni yangu kwa CHADEMA

    CHADEMA inabidi muwe makini katika teuzi mbalimbali za viongozi wa mashina mpaka matawi ngazi za Serikali za mitaa mpaka kata. Ili chama kiwe IMARA ni lazima kuwepo viongozi makini na wanaojua wajibu wao na sio viongozi VIZA ambao katu wameteuliwa lakini hawajui wajibu wao. Nimesema haya...
  9. JamiiForums Tanzania 2014 nilirogwa kwa kununua dawa ya mvuto mtaani, sikuwa najitambua, ponea yangu ni ndugu yangu kunijua nina tatizo na kunipeleka kwa mtaalam

    Nawaasa sana watu mnaonunua hizi dawa za mvuto wa mapenzi, kusafisha nyota, n.k. muwe makini sana, hizo dawa nyingine mnazonunua huwa mnajitoa sadaka kwa wanaoziuza, wanawaibia vitu vyenu ama kuwaharibia maksudi baraka mlizopewa pengine ili wanufaike na matatizo yenu, Ridhika na ulichopewa, Tia...
  10. JamiiForums Tanzania Wale mlionidhihaki na kunibishia niliposema hapa JF kuwa Manzoki haji Simba SC mbona hamnipigii 'Salute' yangu?

    Nakumbuka nilipoiandika ile Mada ( nilipouanzisha ule Uzi ) kama kawaida GENTAMYCINE nilishambuliwa ila kama Kawaida yangu niliendelea Kujiamini huku nikiwa na uhakika tena wa 100% kuwa Mchezaji Ceaser Lobi Manzoki haji ng'o Simba SC na kwamba Uongozi wa Simba SC unawafanyeni Mazuzu na...
  11. JamiiForums Tanzania Mnaotupigia Kelele kuhusu Chama nina Maswali yangu haya Kwenu

    1. Hivi Simba SC haijawahi Kufungwa Chama akiwemo? 2. Hivi Simba SC haijawahi kutoka Sare Chama akiwemo? 3. Hivi Simba SC ilipofika hatua ya Robo Fainali ya CAFCL mwaka Chama alikuwepo? Na kupitia hili la Chama GENTAMYCINE nimegundua kuwa 85% ya mnaolishadadia nje ya kuwa ni Wapuuzi na...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Photocopy machine yangu imeshindwa kutambulika kwenye desktop

    Wakuu nilifungua ka stationery kadogo nikamuacha binti, photocopy machine ni canon iR2016 I. Ilikua inapiga kazi vizuri tu nikiiconnect kwenye desktop, sasa binti amenipigia simu kwamba, imezingua desktop inashindwa kuisoma photocopy machine. Nimeenda nimejaribu kila njia ku-install drivers...
  13. JamiiForums Tanzania MSAADA: Amenidhulumu pesa yangu lakini aliacha viatu vyake kwangu

    Habari wakuu. Kuna jamaa yangu alikuwa na shida ya pesa laki tano(500,000/=) ili akaongezee kama nauli kwenye biashara zake kusafirisha kutoka DSM kwenda Songea. Kama rafik yake ninayefahamiana nae muda mrefu kidogo na kutokana na namna alivyokuwa akihangaika kuipta hyo pesa nikaamua kumuazima...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: PC yangu sensor haifanyi kazi, tatizo ni nini?

    Wapendwa nimeweka Windows 10 kwenye PC yangu aina ya Acer lakini sensor imegoma kufanya kazi naomba kukujua tatizo itakuwa ni Nini na namna ya kutatua.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutengeneza website kwa kutumia HTML na CSS , nifanyaje ili website yangu iweze kuonekana mtandaoni?

    Wakuu naomba ushauri wenu hapo , baada kudesign website kwa kutumia HTML na CSS ,je nifanyaje ili website yangu iweze kuonekana mtandaoni
  16. W

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Samia, unataka upate tabu kama Mzee Kikwete?

    Aliwakaribisha mpaka ikulu kunywa juisi lakini hawakuacha kumharibia; 1. Serikali ilipowaambia wananchi 'tufanye hivi, wao dakika hiyohiyo walipita na, kwa ubabe mkuu, wakasema 'msifanye hata kidogo'. Watz, wengi wao, ni wasioona mbali, hawakufanya na maendeleo yakadorora. 2. Wafanyakazi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nifanyeje juu ya hali hii ya maisha yangu?

    Wakubwa kwangu shikamoni, wadogo kwangu habari zenu ? Hongereni kwa majukumu na afya njema, poleni mnaoumwa Mungu akawajaalie mpone. Ndugu, Nilizaliwa miaka 31 iliyopita. nilipenda sana kuwa mwanajeshi wa jeshi la wananchi, sikufanikiwa kutokana na umri wangu kupita ule unaotakiwa, kukosa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kwako rafiki Ndugu Robert Heriel

    Katika makala yako kuhusu Mayahudi kumkataa Yesu, moja ya sababu umesema ni kwa sababu Yesu huyu tumjuae sisi hakuzaliwa kutoka kwa ukoo wa Daud kama ilivotabiriwa bali alizaliwa kutokana na Roho Mtakatifu litu ambacho hakikutabiriwa hivyo. Sasa swali langu ni kwamba, katika akili ya kawaida...
  19. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu anataka kwenda kutafuta maisha Uingereza kwa gia ya kuingia kama mkimbizi. Je, atafanikiwa?

    Habari zenu ndugu, Nina ndugu Yangu anafikiria kwenda kutafta maisha Uingereza kwa kufata taratbu zote yan kwa passport, visa na kila kitu, ila njia anayotaka kuitumia ni kwanza kuhakikisha anafika katika kambi ya wakimbizi huko uingereza. Chengine ni kuwa amesoma na ana degree yake ya uhasibu...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kanizawadia nusu lita ya asali na elfu 50 siku ya birthday yangu. Nimempiga chini kwa kasi ya 5G

    Kuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza? Nimevunja rasmi mahusiano kuanzia siku hiyo (nimempiga chini kwa kasi ya 5G). Mm sipendi ubabaifu. Watu wanazawadiwa magari yeye ananizawadia nusu lita ya asali na sh elfu 50...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…