Baada ya kutengeneza website kwa kutumia HTML na CSS , nifanyaje ili website yangu iweze kuonekana mtandaoni?

Wakuu naomba ushauri wenu hapo , baada kudesign website kwa kutumia HTML na CSS ,je nifanyaje ili website yangu iweze kuonekana mtandaoni
Nafanya domain registration pamoja na web hosting kwa sh 75,000 kwa mwaka. Nakupa cpanel account utayotumia ku upload content na kutengeneza email accounts

0767659145, 0787659145
 
Nafanya domain registration pamoja na web hosting kwa sh 75,000 kwa mwaka. Nakupa cpanel account utayotumia ku upload content na kutengeneza email accounts

0767659145, 0787659145
Safi....msaidie kijana kwa maelezo zaid aad
 
For learning purposes tumia free hosting platforms kama
Netlify
Heroku
Vercel
etc. Zipo nyingi, zi-search tu Google na maelezo yake Namna ya ku-host yapo straight forward au unaweza pitia YouTube Kuna Tutorials kibao
 
Back
Top Bottom