yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nauza gari yangu Suzuki Escudo

    Salaam wakuu, ~ Hii hapa Suzuki Escudo, Earth Road. ~ Gari ni manual transmission, Gear. ~ Fuel consumption 1400cc. ~ Engine safi. ~ Tyre ziko poa fowl. ~ Seat za watu tano. ~ Gari ni imara sana. ~ Gari ipo moshi. ~ Bei ni shilingi 4,900,000 fixed. Gari ni yangu mwenyewe na haina kipengele...
  2. JamiiForums Tanzania Kosa langu ni kuamua kuishi maisha yangu

    Kuna watu unaweza kuwa karibu nao lakini wasitambue umuhimu wako. Wanaweza kuwa ndugu, jamaa au marafiki. Na unapoamua kuachana nao na kuishi maisha yako,wanakuona kama umewatenga. Binafsi nimewahi kupitia changamoto za kukataliwa na watu wangu wa karibu. Kila nilipojaribu kuwa mwema kwao...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya ku Refund Pesa zirudi kwenye account yangu

    Habari wana JamiiForums, Hivi majuzi account yangu ya Gmail ilifanya malipo kwenye airtel money kupitia google Play kwa app ambauo niliidownload playstore ambayo sikuwa awareness na kuchukua kiasi kikubwa cha fedha. Niliwasiliana na networ provider yangu nikaambiwa niwasiliane na google play...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ziara yangu Dar es salaam na mashangazi

    Nipo ziara Dar mitaa ya lubumbashi mbona Sioni mashangazi wakuu? Au nnataka nirudi handeni bila bila. Update: Mimi sitaki wa kupiga show nataka tu niwaone kama mnavyowasifu.
  5. JamiiForums Tanzania Nimetafuta mwanamke wa kuoa nimekosa, imebidi niishi single maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani

    Mimi ni mwanaume nina miaka ya mwanzoni mwa 30's personality yangu niko straight nina element za wale wazee ambayo ni wakoloni Wanawake ambao nimewatongoza na kuonesha nia ya kuwaoa na kuanzisha nao familia wote wamenikataa, weakness kubwa niliyokuwa nayo mim sio muongo na niko straight may be...
  6. JamiiForums Tanzania PICHA: Siamini ninachokiona, nimacho yangu au...

    ANGALIA PICHA CHINI , KABLA YA KUSOMA Jamiiforum mbona ni copy na paste ya forum blackhatworld .com Haya si ndo ya mambo ya kununua source code au ku-download Nulled script? Kama ndiyo wapo wapi wasomi wa bongo? Haya ya mambo za ku-copy na ku-paste sio mazuri kwa sababu mwisho wa siku...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri: Ndugu yangu hakubaliani na hali ya mtoto wake ilhali mtoto wake ashaikubali, pesa zinapotea na ni mwepesi kudanganyika, kipi kifanyike ?

    huyu ni mama mdogo wangu na nipo karibu sana na mtoto wake ambae huwa ananiambia vitu vingi. Ni kwamba mtoto wa mama mdogo alipokuwa mdogo akiwa na umri wa miaka 9 aliumwa malaria, hali yake ilikuwa mbaya sana ikabidi apigwe sindano za quinine (kwinini) Hii dawa kama mtakumbuka hapo zamani kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Mradi wa Mabasi ya mwendokasi apewe mtu Binafsi

    Mimi nadhan huu mradi wa magari ya haraka serikali imeshindwa kuufanya uwe msaada wa wanainchi ambao wanatumia usafiri huu Usafiri umekuwa wa kero na shida nyingi Sana hasa kuanzia muda wa Saa nane za mchana mpaka saa mbili usiku Wasafiri wengi wanaachwa wakiwa wapenga folen ndefu Sana na...
  9. JamiiForums Tanzania Nipeni elimu juu ya madeni ya Luku, hayo madeni huwa yanakopwa na nani? Kwanini nidaiwe mimi kwenye meter yangu?

    Habari zenu wote humu ndani. Kuna sehemu ilikuwa na frem mpya kabisa nikaona nichukue chumba, kila chumba kina meter yake, cha ajabu leo hii naaka ninunue luku ya elf 5 inakataa, nikaweka umeme wa elf 10 nimeambuliwa kupewa unit 10 tu za ememe wa elf 3 huku deni likiwa elf 6, buku iliyobaki...
  10. JamiiForums Tanzania Shemeji yangu ni mchafu sana. Jana nilimtembelea akanialika chakula nikatapika mbele ya familia

    Huyu mke wa mshikaji wangu anashika rekodi ya uchafu. Nilishindwa kuwatembelea Jumapili ya Pasaka nikasema niende jana Jumatatu ya Pasaka. Wana mtoto mchanga na wanafuga bata, wakati wa naandalizi ya msosi kwa macho yangu niliona akimtawaza mtoto bila kunawa mikono, mara akajikuna sehemu za...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kero yangu ya Muungano ni kodi ya manunuzi

    huwa sielewi.....
  12. JamiiForums Tanzania Siyo Maneno Yangu Nimeyakuta Barabarani

  13. JamiiForums Tanzania KISA: Mwenye nyumba na wapangaji wenzangu walidhani mimi ni jambazi, siku walipojua kazi yangu walishangaa

    Pasaka njema kwa wakristo wote, naomba niwape kisa hiki cha ukweli kilichotokea kusini mwa Tanzania mkoa x katika nyumba moja ya Bibi mstaafu. Jinsi nilivyo muonekano wangu, sio mfupi sana wala mrefu sana niko wastani,mweusi ila nina sura ya upole, sina ndevu nina mwili wa wastani sio mnene...
  14. JamiiForums Tanzania RPC Muliro: Sura yangu ya Ukauzu isiwatishe Mimi ni Mtu Mpole, Mkarimu na mwenye Huruma sana

    "Nina Upendo, Huruma, Mpole na Mkarimu sana kuliko vile ambavyo labda Watu wengi wanadhani" amesema RPC Kamanda Muliro Asubuhi hii akizungumza katika Kipindi Bora cha Jumapili cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One ambacho Mimi GENTAMYCINE ni Balozi wake Mkuu na wa Kujiteua Mwenyewe. Kamanda...
  15. JamiiForums Tanzania "Kuna watu wamekuja kwangu na Mbao na Misumari Tayari Kunisulubisha, lakini Sina Hofu kwasababu Pasaka yangu ni Julai" - yesu wa Tongaren, Kenya

    "Kuna watu wamekuja kwangu na Mbao na Misumari Tayari Kunisulubisha, lakini Sina Hofu kwasababu Pasaka yangu ni Julai" - yesu wa Tongaren, Kenya
  16. JamiiForums Tanzania Shetani Baba Yangu ( Devil My Father )

    Sehemu ya 1 Ninaitwa Kapeli ni mtoto wa sita kati ya watoto saba familia yetu ni ya kimasikini kama waadhirika wengine wa vita nchini kongo siku nyingine tungepitisha siku tatu bila kugusa chochote, ni maji tu ndio tungekuwa tunauhakika nayo Ni mdogo ninamiaka 15 sasa nawaza kuhusu hali...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi hii alama ya kijani kwenye Instagram akaunti yangu (video call icon) kina maana gani?

    Nahisi pengine nimedukuliwa akaunti yangu ya Instagram
  18. JamiiForums Tanzania Shemeji yangu na house girl walivyoua wanangu na mume wangu

    Wanangu hawakuwa boarding school. Baba yao mdogo na dada wa kazi ndio waliowafundisha ku SEX. Tuwaombeeni sana watoto wetu, Najuta kuwatoa muhanga watoto wangu kwa ajili ya kazi yangu. Niliolewa nikiwa na miaka 24. Mimi na mume wangu wote tulikuwa madaktari. Wote tulizingatia sana kazi na...
  19. JamiiForums Tanzania Siku yake ya kuzaliwa (Birthday 🎉) Pia ni tarehe na Mwezi ambao Baba yangu mzazi alifariki! Nafanyaje?

    Wakuu hii ni seriously kdg huyu ni mke kbs miaka 10 Sasa lkn inakuwa shida wakati yeye anafurahia kuzaliwa kwako me nakuwa kwenye machungu ya kuomboleza kifa cha baba yangu! Hii imeleta shida mara nyingi ingawaje mara nyingi nachukulia poa lkn nikitamani kufanya ibada ya kumshukuru Mzee katika...
  20. W

    JamiiForums Tanzania 'Toa hela' na 'Niko bize' zinavyogusa maisha yangu! Ahsante sana Jaffarai

    Sijui yuko wapi sasa huyu mwamba? Kila alichokisema katika nyimbo zake hizo mbili ninakabiliana navyo kila siku na kuvishuhudia; -masjala file lako litaonekana tu kama utawapoza kidogo wale ps, la sivyo utaona linatafutwa kila siku. -mpe mwalimu pesa uone mtoto anavyofuatiliwa na matokeo yote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…