yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC03 Maoni yangu..

    Mtazamo wa mwananchi. Kama raia atakaye nchi yake iwe yenye maendeleo na ustawi kwa jamii, ni lazima kila idara iwe na uwajibikaji wa hali ya juu, uwajibikaji huo uwe na nidhamu ya nchi husika, hivyo ujenzi wetu hauwezi kuanzia juu, maana yake siyo serikali italeta maendeleo na ustawi kwa jamii...
  2. JamiiForums Tanzania Jirani yangu

    Mimi naishi na familia yangu tumepanga, basi bhana jirani yetu ni handsome sana ila mkorofi na mchungu but anapendeza sana . Siku Moja alinikuta na mwanaume best yangu akawa Hana amani amezoea kunisalimia ila hiyo siku hajanisalimia sijui nikwanini Huwa hapendi nikiongea na wanaume ila haongei...
  3. JamiiForums Tanzania Iko wapi amani ya maisha yangu?

    Hope ni wazima Wana JF, Maisha ni fumbo, nilijua kuwa na unafuu wa maisha moyo wangu utakuwa na amani na furahi, lakini imekuwa sio hivyo. Nina kazi nzuri, ambayo inanipa mshahara wa kuweza kumudu gharama za maisha lakini sifurahii chochote kwa sasa. Chazo sio familia nina mke na mtoto mmoja...
  4. JamiiForums Tanzania Jezi ya Timu yangu pendwa ya Marumo Gallants FC zinapatikana Duka gani hapa Dar es Salaam?

    Nataka nianze Kuivaa/ Kuzivaa mapema nikiamini kuwa Watanifurahisha na wataenda Kunifungia Midomo Wapuuzi na washamba fulani kutokea Zuzu Nation barani Afrika.
  5. JamiiForums Tanzania Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

    Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea...
  6. JamiiForums Tanzania Mapendekezo yangu juu ya asili ya uwepo wa kila kitu

    Wapendwa wana JF nimekuwa nikitafakari sana kuhusu mambo yalivyo. Nimesoma vitabu vya dini nikasoma sayansi, nimefanya meditation na kufanya mambo ya kila namna. Lengo lilikuwa kupata kujua uhalisia wa Existance. Kila nikienda ndani zaidi mambo ndiyo yanazidi kuwa makubwa zaidi. Asili yangu...
  7. JamiiForums Tanzania Harakati za Mapenzi zilivyompeleka jela rafiki yangu

    Wasalaam; hii ilitokea, Nakumbuka miaka ile, tukiwa tumehitimu kidato cha sita, mtaani kwetu tulikuwa vijana 6 ambao tulikuwa tumehitimu elimu ya sekondari. Miaka ile utaratibu wa kujiunga na elimu ya Chuo Kikuu ilikuwa unasubiri mwaka mzima nyumbani. Utamaliza kidato cha sita mwezi wa tano...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake wa uswazi wanaivuruga sana akili yangu. Nifanye nini kuikabili hali hii?

    Sio siri wakuu. Mpaka sasa nimeamua kuweka makazi yangu Uswazi. Familia nimeiacha ushuwani huko Wanawake hawa wamekuwa ni watu wa kujiachia sana. Yaani kumkutiliza anafua huku kanga nyepesi inapepea na kuacha kitumbua wazi huko nyuma, haoni ajabu. Ni sawa na mtu aliyekisusa kabisa Wanawake wa...
  9. JamiiForums Tanzania Baba yangu aliwahi kuniambia nikiwaendekeza wanawake katu sitafanikiwa

    Wakuu mmebarikiwa sana, ninyi ni wa juu. Baba yangu aliwahi kuniambia mambo matatu kuhusu wanawake, na nikiwaendekeza katu sitafanikiwa na hakuna jambo taweza lifanya kama nisipokuwa makini. Moja, mwanamke ukshakuwanaye ndani yeye anawaza namna ya kukutawala na kuhakiksha mnakuwa kama ka...
  10. JamiiForums Tanzania Nawaza namna ya kumkataa rafiki yangu ambaye muda wote anawaza mbususu tu

    Tuanze na mwanzilishi wa neno "mbususu" sijui aliwaza nini. Linafanania na mahala husika. Wanawake walitambue hili Twende kwenye hoja. Huyu rafiki hana cha maana cha ku-share na wenzie tofauti na ulaji wa mbususu Utaskia mara oh mama fulani nimemla, mara mtoto wa fulani ana mbususu yenye...
  11. JamiiForums Tanzania Licha ya uzuri na elimu, dada yangu hapati mwanaume wa kumuoa

    Namuona kabisa dada angu sasa anamawazo sana, anamiaka 28 sasa, kila anaemfata hayuko serious au ni mume wa mtu, wapo wengine sema sasa dada anasema anakosa hisia nao kabisa, anaogopa kujilazimisha. Alifikia hatua ya kutaka kupanga akakae mwenyewe, kitu ambacho baba na familia nzima...
  12. JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimenyimwa kukopeshwa mkate wa buku nikanywe chai na familia yangu

    Toka aninyime kunikopesha mkate naamini kila aliponiona alikosa amani moyoni, maana kusema ukweli alikuwa hana sababu ya msingi kuninyima mkate niipelekee familia ikale, kwasababu hiyo mimi nilitaka tu kumuonyesha kwamba mimi sipo hivo anavo nidhania, Niliendelea kwenda dukani kwake tena ikawa...
  13. JamiiForums Tanzania Hadi kufikia sasa, hakuna kituo cha runinga ama redio kilichocheza wimbo wa "Nipeni maua yangu"

    Sawa, hauna video, lakini hata kwenye redio haukuchezwa pia (a) Ni kwamba wamiliki wa redio zetu pamoja na watangazaji wao hawana uhakika na uhuru wa vyombo vya habari walionao? (b) Au ndo kusema kuwa barua kutoka BASATA zilisambazwa sehemu husika kimya kimya pasi na taarifa kwa umma? Wacha...
  14. JamiiForums Tanzania Leo nimeokoka na kumkabidhi Yesu maisha yangu

    Habarini ndugu zangu, Leo bila kushurutishwa na mtu yoyote nimeenda kuombewa Sala Ya Toba kanisani Tabata Segerea. Baada ya kuhangaika na maisha ya Ujana nikaona ni vyema kumpokea Bwana Yesu na kumtumikia kabla hazijaja siku zilizo mbaya. Ndugu zangu walokole naombeni mniombee safari yangu ya...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Nimekamata Ujumbe Katika Simu ya Mke Wangu Akimtumia Mama Yake Majina ya Wanawake Anaohisi Kuwa ni Michepuko Yangu, Nimeshangaa na Kufadhaika.

    Msaada wenu tafadhali. Amechambua jumbe zangu katika simu yangu, kila jumbe ya kike iliyokuwa tata kidogo kwake amelitafuta jina la namba hiyo na sasa amemtumia mama yake majina yote. Hili nimeligundua leo baada ya kuinasa katika siku yake.....bila shaka alijisahau kuifuta. Majina haya...
  16. JamiiForums Tanzania Nahitaji Wakili/Mwanasheria aliyepo Mbeya Jiji kwa ajili ya kusimamia kesi yangu

    Habarini wana Great Thinkers, Natafuta wakili au mwanashetia aliyopo Mbeya. Nina mgogo wa ardhi/shamba ambao ulisikilizwa kwenye mahakama ya mwanzo na imetolewa hukumu. Sasa nahitaji kukataa rufaa mahakama kuu mjini Mbeya. Hivyo basi nahitaji wakili au mwanasheria aliyepo mjini Mbeya ili...
  17. JamiiForums Tanzania Battery ya Router yangu inakaa masaa machache, nitumie power bank yenye 10000 Mah badala ya battery ?

    Nina pocket router huwa naitumia katika shughuli zangu, uwezo wa battery yake umeshuka na sasa inakaa masaa mawili ama matatu tu. Nina power bank ina 10000 Mah, nataka niwe naitumia badala ya battery ya hio pocket router. kuna sehemu imeandikwa hivi Je kitaalam ntakuwa nimetatua tatizo ?
  18. JamiiForums Tanzania Ni Matumaini yangu Mgeni kaombwa atuletee Watu wake ili Watuambukize Akili zao Kubwa nasi tuendelee haraka kama Wao

    Najua umezungumza nae mengi Mgeni hasa ya kutumia vyema Bandari yako Kibiashara, Ulinzi na Usalama, TEHAMA na Utulivu huko anakowanyoosha Wakata Viuno tu kila Siku. Hata hivyo ni matumaini yangu makubwa GENTAMYCINE kuwa kabla Mgeni hajaondoka Kesho utakuwa umemuomba akuletee Watu wake Werevu (...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini amtongoze rafiki yangu

    Kuna wanaume wenye tabia kama ya huyu wa kwangu? Siku nilipomfumania akipiga nyeto alijitetea kuwa alizidiwa na kujikuta akifanya hivyo. Nilimtaka aache mara moja hiyo tabia na ikiwa hawezi basi awe ananiita nimhudumie kila anapozidiwa na si kupiga nyeto. Tuliyamaliza na akasema ameacha kabisa...
  20. JamiiForums Tanzania Wydad wamekwishatolewa na Simba, amini maneno yangu

    Kwa mechi ya kwanza pale Lupaso, Simba akashinda 1-0, bonge la mtaji na kuifanya timu ijiamini kwenye mechi ya marudiano. Kocha nimemwelewa namwamini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…