Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.
Wakuu Namba yangu imefungiwa kutumia WhatsApp business.
Kuna taarifa nyingi za muhimu sana nazihitaji kutoka kule WhatsApp Business.
Naomba msaada kwa anayejua namna ya kufanya ili namba yangu iweze kuruhusiwa kutumia tena WhatsApp Business.
Ahsanteni
Habari viongozi?
Nimeibiwa pikipiki na kijana niliemuamini nikampa apige boda.
Simu yake kuita mara ya mwisho ilikua juzi ila toka jana haiiti.
Tulikuwa hatujakamilisha wadhamini maana ni kijana ambae tulikuwa tunakaa nae maskani muda mwingi so tulikuwa tunaprocess hayo mambo huku akiendelea na...
Hello wana JF,
Mimi ni kijana wa miaka 21 naish kijijin kwa sas Mimi bhan katika maisha yangu Kuna ndoto kubwa Sana nawza ambayo natamani sana kuitimiza Ila nashindwa kwa sababu kwa sasa nipo kijijin na huku kijijin wazazi Wangu wamenipa duka nirithi la nguo.
Hili duka cha kwanz siipendi hii...
Episode 1: Safari ya Maisha (Safari of Life)
Nilifika mjini nikiwa na ndoto kubwa mfukoni na shilingi chache mkononi. Nilikuwa nimekimbia maisha magumu kijijini, nikiamini mjini ndio mahali penye fursa tele. Lakini nilipogonga kituo cha mabasi, niligundua safari yangu itakuwa ngumu kuliko...
Nikimwita gheto anakuja, akiniomba msaada nampa. Nampenda sana huwa nikimwuliza anasema "nakupenda lakini shida ni yule mtu nilienae".
Nifanyeje ili nmpate wakuu?
Habarini
Natumia simu ya itel A05 mpya tu haina hata mwaka, laini ya voda nayo ni mpya haina mwaka, hili tatizo limeanza juzi, mb nakuwa nazo tena zaidi ya 800, ila nikiwasha mobile data sipati chochote, sasa najiuliza hili tatizo ni kwangu kwenye simu yangu, au ni watoa huduma wa voda Wana...
Nimejifunza ni bora lawama kuliko fedheha.
Ndugu yangu alikuwa na mahusiano mazuri sana na mimi tuliweza kuwasiliana na kutembeleana mara kwa mara, lakini mambo yalibadilika baada ya yeye kupata matatizo fulani na kuomba nimuazime kiasi fulani cha pesa (kikubwa tu), nikamsihi nami niko vibaya...
Habari ya wakati huu JF members, nina imani mnaendelea salama. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kushare japo kidogo hili swala ninalolipitia.
Mimi na familia yangu(baba, mama, kaka na wadogo zangu) hatukutoka kwenye familia ya yenye uwezo. Maisha tuliyokuwa tunayaishi tangu nikiwa...
Nakumbuka siku nilifungua ofisi moja ya kurusha miziki ,nilienda kwa mama mmoja anitayalishie dawa ya kuleta wateja wengi waje niwachomee miziki na movie.
Alinipa dawa nne mfano wa irizi ya kwanza akanambie niichimbie mbele ya flame yangu ya ofisi yangu
Ya pili niiweke kwenye sehemu ninapoweka...
Wanaume na mtihani mgumu wa kuchagua kati ya mama au mke. Hii na makala katika gazeti la mwananchi. Uislam unasemaje?
Kaa tayari upate
kutoka kwa Anas bin Nadhwiri Al-Ashijainiy amesema: Siku moja mama yake Ibn Mas'uud (Radhwiya Allaahu 'anha) alitaka maji ya kunywa na ilikuwa usiku – kwa...
Baada ya muda mrefu kunyanyaswa, kubaguliwa, kudharauliwa na mengine mengi. Leo ndio nimedhibitisha kuwa wanaamini mimi DEVIL hapa UK.
Niliwahi kufungua huu uzi: Yanayonikuta London (UK)
Nilielezea kwa kifupi kwamba nimekuwa nina tumiwa waves ambazo nina hisi kama electrical shocks na sharp...
Mimi ni mtoto pekee katika familia ya kitajiri.
Tangu nilipoolewa, nimekuwa nikiishi kwa furaha na mume wangu kwenye ndoa yetu takatifu ya kikatoliki. Sikuwahi kupata changamoto yoyote.
Furaha yangu ilibadilika na kugeuka machungu baada ya mume wangu kwenda masomoni nchini Uingereza kisha mama...
Vijana wa kiume wanazidi kuchanganyikiwa,
1. Wabahili
2. Wanapenda mtelemko
3. Wanalishana ujinga sana
4. Hawana hofu ya Mungu
Wamekuwa na wivu kama wake wenza, yaani mwanaume anataka mke achangie kibapo, bado awe romantik na apendeze, how is that possible?
Vidume vya zamani vinaenda porini...
Huwa nafanya matangazo ya kulipia Instagram,
Sasa nili boost post huwa inakua approved ndani ya masaa 24,
Huwa wanakata pesa before post haijaenda hewan,
Sasa niliset tangazo likae hewan siku 4 nikaweka $20 kilasiku $5 nilikagwa $23 hiyo 3$ ya vat
Siku 4 Sasa zimepita tangazo lime exipire...
Habar za sahizi hivi CCTV camera hizi za cable kwa hapa bongo ni TSH ngapi maana camera yangu moja imealibika.
Nataka camera moja ambayo nitaireplace kwenye mfumo!
Matokeo yapo kama hivi
Civ C
Bio C
Chem B
English B
Phy D
Math D
History B
Kisw B
Nitumie njia ipi ili nitimize ndoto yangu ya MD kupitia Diploma ya clinical medicine
Ni jirani yetu huko nyumbani kwetu, pia kuna kaurafiki kwa mbali baina yetu. Likizo sometimes tulikuwa tunajisomea pamoja kwakuwa tulikuwa darasa moja.
Jamaa akawa teacher wa Serikali baadaye. Sasa nasikia walimu wana miiko mingi kutokana na mazingira yao ya kazi, sometimes wanakuwa walezi...
Wadukuaji wanaiba account za wengine kufanyia shughuli ambazo wanaogopa kuzifanyia kwenye account zao au ndugu zao, shughuli hizi ni:
kuposti picha / video za uchi,
kuposti linki kwenye magroup
kuziuza account,
kuweka link na kuwatag marafiki
kutapeli
kutukana / kudhalilisha watu maarufu,
n.k...
Sitazungumzia Mungu kanibariki kwa kiasi gani, kwa kifupi naweza kusema, I am blessed 🤗🤩
Mitihani ni mingi maishani lakini baada ya kufaulu mitihani hiyo, tunalipwa sawa na elimi zetu.
nikutonye. Maandiko yanasema hivi...
hakuna aliyeacha wazazi, ndugu, nyumba, watoto kwa ajili ya (kazi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.