yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. Melki Wamatukio

    Shukrani zangu za dhati zimfikie Mr Coy wa Cheka Tu kwa kuyazingatia maoni yangu

    Niliishauri timu nzima ya Cheka Plus dhidi ya maboresho yenye tija ambayo yalikuwa muhimu kuyatia maanani. Nimefurahi kwa kuwa 70% ya mawazo yangu kuhusu kituo hicho yameanza kufanyiwa kazi ikiwemo Cheka Plus kuibua vipaji zaidi hasa hasa muziki, naona sasa wasanii chipukizi wanapanda kwenye...
  2. Pdidy

    Kabla ya kukubali kuolewa soma hapa dada yangu ujiridhishe

    DADA YANGU KABLA HUJAANZISHA MAHUSIANO NA MWANAUME HUU NDIO MGAWANYO WA WANAUME KULINGANA UMRI WAO 1. WANAUME wenye miaka 20-27 wengi hawako serious na ndoa au mahusiano yenye kesho labda wale wa vijijini. Kijijini vijana wengi huoa kwasababu kama waongeze nguvu kazi ya familia, mahari mara...
  3. Vincenzo Jr

    Album ya Roma nipeni maua yangu Ina nyimbo nzuri sana zenye ujumbe mzuri

    Kwa wale wapenda nyimbo za wana harakati Roma mkatoliki katupa album kalii sana kuanzia track number 1 hadi 15 zote ni nzuri sana roma mkatoliki pokea maua yako je ipi ni track ipi umeipenda zaidi? Mimi yangu ni track number 11 derby paka na panya
  4. excel

    Nifanye nini ili maombi yangu yajibiwe haraka?

    Hello Jf. Je, kuna watu humu waliwahi kufunga na kuomba kwa siku kadhaa? (3,7 ama mwezi) Je, lengo lenu la kufunga lilitimia? Nataka kufunga kwa siku tano tu kuombea jambo langu flani, nipeni ABC's nini cha kufanya katika kipundi hicho cha kufunga maombi yafanyike ya aina gani
  5. Q

    Muonekano wangu unanitesa mahusiano yangu hayadumu

    Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mimi mwenyewe huwa nikijiangalia najionea aibu aisee Sasa wanawake wengi wananiogopa nikiwa nao kwenye...
  6. USHINDI MKUU

    SoC04 Suluhu ya Ushoga nchini; Historia yangu binafsi na mbinu mbadala

    Awali ya yote, naomba nieleze historia yangu kwa ufupi. Nia na madhumuni niweze kujenga picha ya jumla katika lengo zima la uzi huu. Nilizaliwa katika mkoa wa Mwanza nchini Tanzania, Baba yangu alikuwa Polisi na mama yangu alikuwa Mama wa nyumbani. Wazazi wangu kwa pamoja walinipenda sana...
  7. Common Folk

    Maneno ya Mchepuko: "Bibi yangu aliwahi kuniambia mwanaume hashibi mwanamke mmoja"

    Pia akampa mfano, "unaona pale kwenye banda la mbuzi, si unaona kuna madume matatu ila majike 38?" Vivyo hivyo na kwa wanyama wengine kama simba, dume moja huwa na kundi la majike, na huo ndo huufanya kama ufalme wake. Bibi yake akamuambia kwenye maisha kuna maneno ya kuambiwa na kuna asili ya...
  8. Melki Wamatukio

    Familia yangu huiambii chochote kuhusu kituo cha runinga cha Cheka Plus

    Sio tu familia yangu, hata wafanyakazi wenzangu ofisini kwa ujumla. Maua mengi mengi yamfikie Coy Mzungu maake jambo aliloanza nalo kama utani, hatimaye lazaa matunda. Kuamua ni kuthubutu, Hatimaye Cheka tu imezaa Cheka Plus, same applied to WCB kuzaa Wasafi Media Cheka Plus inakuja kwa kasi...
  9. hmaloh

    Mwenye uelewa na hiki anijuze kuna jamaa yangu kakiokota shambani

  10. Technophilic Pool

    Nimewaza ni namna gani Mindset yangu imenisababishia umasikini sioni kabisa! Majibu ya umasikini yanaangukia poor Government

    Wakuu mi nakataa kusema umasikini nilio nao umesababishwa na mindset yangu. Naona Tu ni poor government imesababisha Mfano: Nimesoma hadi chuo ajira serikalini hamna, zikitoka chache za kujuana (poor government) Nimefungua biashara, biashara ngumu bado TRA wananikadiria kadirio la juu Tax...
  11. Webabu

    Rafiki yangu Mahmoud Ahmadinejad ajisajili kugombea uraisi Iran, Ni furaha sana kwa wapigania haki duniani

    Yule mwamba aliyewahi kuwa raisi wa Iran ambaye aliwakosesha usingizi viongozi wa nchi za magharibi wakati wa uraisi wake amekubali maombi ya wapenda haki wa Iran kugombea tena uraisi ili kuliongoza taifa hilo. Tangu kuondoka kwenye cheo cha uraisi baada ya vipindi viwili vya uraisi hapo mwaka...
  12. Common Folk

    Weekend Chilling: Top 5 ya mikwaju yangu ya Old Dancehall Ragga.

    Hii mikwaju ya Dancehall Ragga ya enzi hizo haijawahi kukosekana kwenye playlist zangu. Naweza nikairudia mara mia mia bila kuichoka, zamani kulikuwa na vichwa sana, kuanzia wasanii, producers nk. 1. Shaggy - Church Heathen ft Ninja Man 2. Notch - Nuttin Nuh Go So 3. Sean Paul - Give It Up...
  13. J

    SoC04 Tanzania ya ndoto yangu niitakayo

    Tanzania niitakayo ambayo itatengenezwa na watanzania wenyewe bila kutegemea misaada ya wahisani wenye masharti na vigezo visivyo na ladha ya kitanzania. 1. Tanzania ya wakulima ambao wanalima kwa tija, wakulima ambao watapewa pembejeo za kilimo (mbolea, mbegu bora, mashine za kulimia na...
  14. G

    Binamu yangu ana matatizo? Baada ya kusoma mwaka wa kwanza chuoni akiwa kwangu nimemwacha huru aishi gheto lakini nasikia hakuna binti kawahi kuvusha

    Ni mwaka jana huyu binamu yangu alianza degree alikuwa anaishi kwangu kwasababu ni karibu na chuo pia alikuwa mgeni kwenye mkoa. Niliona namnyima uhuru wa maisha yake ya kimapenzi maana chuoni ndiko wengi tuli experience mapenzi kwa uhuru, nikamruhusu aende kupanga awe na gheto lake, uzuri ni...
  15. Ngongo

    Masikitiko makubwa Ziara yangu ya siku 2 Hifadhi ya Serengeri

    Heshima sana wanajamvi, Nimekuwa na utaratibu wa kutembelea hifadhi zetu za wanyama kwa muda mrefu sasa labda huu ni mwaka wa 10 au zaidi. Nimetembelea hifadhi ya Serengeti zaidi ya mara nne au tano,mara ya mwisho ilikuwa mwaka 2016. Ukweli mchungu sisi waafrika sijui tuna laana gani ...
  16. Jumanne Mwita

    Msaada: SSD 1080 PRO NGFF M.2 4TB Haifanyi Kazi Kwenye Laptop Yangu

    Habari wanajamvi, Nimenunua kifaa cha kuhifadhi data aina ya 1080 PRO NGFF M.2 SSD 4TB Kwa ajili ya kuongeza uwezo wa laptop yangu. Hata hivyo, baada ya kukifunga kwenye laptop yangu, haisomi ingawa inaonyesha kuwaka kama kawaida. SSD iliyokuwepo awali ni ya 128GB M.2 NGFF ambayo niliinunulia...
  17. bahati93

    Ngozi ya miguu yangu ni nyororo kuliko baadhi ya nyuso za watu

    Mimi ni kijana nayependa sana miguu yangu, Haya mapenzi yameanza zamani wakati nasoma shule ya msingi kipindi nilipoanza kuoga mwenyewe. Nishagombana sana na ndugu zangu wa damu na mama yangu mzazi pale ilipofika zamu yangu kuingia bafuni eti kisa natumia muda mwingi. Mimi oga yangu naosha...
  18. kikoozi

    Computer4Sale Nauza Computer HP Laptop mbili (2) mali yangu binafsi

    LAPTOP COMPUTER HP INAUZWA BEI SAWA NA BURE Brand: HP Model: Probook 450 G5 Ram: 16 Storage: 512 (SSD) Proccesor: core i5 Bei: Tsh 680,000/- Computer bado ipo Kwenye Hali nzuri kabisa Location Mbezi Dsm Phone No: 0714739838 Karibuni
  19. Chatterman

    Eti hii ndiyo nchi yangu? 😔

    Daah! Hii nchi hiii. Kuna muda nakaa naisikitikia hii nchi kwa namna inavyoendeshwa, Kumbe nchi nayo inanisikitikia jinsi ninavyoishi maisha ya kimaskini na utajiri upo. Si ajabu atakuja Rais kama JPM lakini watu hawatamwelewa mpaka umauti utakapomkuta. Kwanini watu wa nchii hii vitu vizuri...
  20. Uniquegal

    Natafuta kazi yoyote Nina Diploma ya Banking and Finance

    Natafuta kazi yoyote, Nina diploma ya banking and finance, ninaishi Dar es salaam, ni mwanamke.
Back
Top Bottom