yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. Bob Manson

    Microsoft Ina tatzo gani, tangu jana siwezi fungua mlango wa fridge yangu

    Msaada kwa anaye fahamu namna ya kufungua, tangu jana sijanywa maji kabisa ☹️
  2. Desierto

    Naomba kuelimishwa kuhusu hii ofisi yangu TRA wanataka niwe na leseni.

    Wameahidi tar 1 watakuja kunifungia kama sitakata leseni ya biashara ambayo gharama yake ni 80 Na mm kwa sasa sina mpango was kukata leseni sababu sina huo uwezo kwa sasa kazi yangu ndo kama unavoiona hapo.
  3. GENTAMYCINE

    Kuna Rais nimemuona ana Msafara wa Gari 84 hadi Trafiki akachoka na kususa Kuziongoza, hivi nimeona peke yangu tu vibaya au nilichokiona ni sahihi?

    Ngoja tu niende tena katika Ukurasa wa X wa African Hub ili nikaingalie upya hiyo Video na nijiridhishe kwani sijaamini.
  4. G

    Benefiti za alie na masters katika jeshi la kujenga taifa

    Za sahizi ndugu zanguni... Nina rafiki yangu kamaliza masters ya sheria (LLM) na kaisha pita law school in short ni advocate kwa sasa ana miaka 29 Anahitaji kujiunga na jeshi la polisi either magereza,ffu,Traffic,Police etc Anahitaji kujua kua akifanikiwa kupita mafunzo na kila kitu na...
  5. R

    Elimu yangu kidato cha sita, ninatafuta kazi

    Ndugu zangu ninaomba msaada au connection ya kazi yoyote halali, Mimi ni me(29) elimu yangu Kidato Cha sita ninapatikana Dar es salaam ninaujuzi wa computer, Uhasibu, stocktaking, warehouse supervisor, import and export preparation documents. Mawasiliano yangu ni 0693414477.
  6. R

    Elimu yangu kidato cha sita, ninatafuta kazi

    Ndugu zangu ninaomba msaada au connection ya kazi yoyote halali, mimi ni me(29) elimu yangu Kidato cha sita ninapatikana Dar es Salaam. Nina ujuzi wa computer, Uhasibu, stocktaking, warehouse supervisor, import and export preparation documents. Mawasiliano yangu ni 0693414477
  7. BabaMorgan

    Mara ya mwisho kukutana na huyu Mwanamke ilikuwa mwaka 2022 mwezi wa saba leo hii ananiambia ana mimba yangu ya miezi mitano

    Wataalamu wa afya ya uzazi mliopo humu hii inawezekanaje yaani huyu mtu kanitia stress binafsi nimekataa.
  8. L

    Changamoto ya account yangu ya ajira portal

    Habari za saa hizi wana jamvi , Nimejisajili na kufungua account ya ajira portal vizuri ila nlikosea kufanya usajili kwenye kipengele cha academic qualification nilikosea kujaza level ya education kwa sasa najaribu kufanya marekebisho kwenye hicho kipengele inakataa haikubali na nmejaribu...
  9. GENTAMYCINE

    Nimemtizama huyu sijui Lameck Lawi kwa Jicho langu la Kiufundi sijaona na nasikitika kuona Simba SC yangu walimtaka na bado tu wanamtaka

    Nadhani sasa ifike muda Viongozi wa Simba SC muanze Kuutumia sana huu Mtandao wa JamiiForums ambapo wana Simba SC wote wenye Akili Kubwa na tunaoujua Mpira kwa Kuucheza kwa Viwango vyetu na Kuuchambua ili muwe mnachukua na kufanyia Kazi mawazo yetu. Hivi Uongozi wa Simba SC kabisa kabisa huyu...
  10. Ivan Stepanov

    Utata wa imani - jirani yangu kaponea tundu la sindano. Ilikua ni kwaheri buriani

    Huyu bwana ni kama tulikua tumeshampoteza, lilikua ni suala la kuhesabu siku tu maana hata mkewe alikua kamkatia tamaa. Wakuu mambo haya yasikieni nyie akina min -me , hiv watu mnapata wapi ujasiri wa kusema hakuna uchawi?? Kwakwel kila nikitafakari sipati jibu kwamba hivi ni mahubiri gani...
  11. K

    Safari yangu ya kuikabili hofu ya kupima VVU Na majibu baada ya miaka mingi ya kuruka na madada poa

    Habari za muda huu wapambanaji Mimi ni kijana mwenye umri wa 30's, napenda kushea na vijana wenzangu maisha yangu hasa katika eneo la mahusiano yasio rasmi, yaani kuruka ruka Bila kujali afya, nina visa vingi sana, nitajaribu kufupisha na namna gan nilivo chukua maamuzi magumu ya kupima...
  12. M

    Safari yangu ya kuacha punyeto.

    Jamani hamjambo? Mimi Mimiamadiwenani, nilianza maisha yangu yangu ya punyeto rasmi nikiwa kidato cha sita. Hii ilikuwa ni kwa ushawishi wa rafiki zangu wa karibu, ukizingatia shule niliyosoma ni ya wavulana tupu. Unaweza uka imagine hapo. Nilianza mdogo mdogo kwa ila nilianza kuwa addicted as...
  13. Bulelaa

    Nikiwa Rais, kila tukio la jaziba za wananchi kunihusu, Itakuwa sehemu yangu ya kujirudi na siyo kukimbilia kuhukumu, Kikwete kwenye hili namkumbuka

    There are things that happen in society involving any leader, they always have the appearance of bringing laughter to the heart and not being angry and condemning people to jail! Kuna mfano halisi wa maandamano ambayo yamewahi kutokea kipindi chq uongozi wa Mwalimu Nyerere, Wanawake...
  14. M

    Napunguzaje matumizi ya mbs nikiwa na browse websites kwa laptop yangu

    nipeni maujanja wataalam maana mie haya mambo mashikolo mageni
  15. M

    Kwa ukubwa wa usajili wanaoufanya Simba Sc kwa msimu wa 2024/2025, natangaza rasmi kurudisha kadi yangu ya Yanga na kuhamia Simba Sc

    Shalom shalom Mimi kama mkono mmoja pasi na kushurutishwa napenda kuitangazia jamuhuri ya watanzania kuwa nairudisha kadi yangu ya Yanga Sc na rasmi sasa hivi nakuwa mshabiki kindakindaki wa wana lunyasi Simba sc. Umafia unaofanywa na bilionea Mo na C.Magori si wa kitoto. Wachezaji wanaoletwa...
  16. comrade_kipepe

    Nimepokea 468,000 akaunti yangu ya CRDB, sijaielewa imetoka wapi

    Sijui ni ushamba au mimi ndio sielewi, sikuingia kwenye app yangu ya CRDB takribani mwezi mzima, Leo nikasema niingie ninunue vocha, kabla ya kununua vocha nikaona niangalie salio Kwanza, hapo nikakuta ongezeko la kiasi cha 468,000 imeongezeka kwenye kiasi kilichokuwepo mwanzo. Nikasema niende...
  17. 90sgeneration

    Phone4Sale Nauza simu yangu, Xiami Redmi 13C

    Nauza XIAOMI REDMI 13C storage yake ni 128gb,ram 6gb, ina fingerprint pembeni, kila kitu chake ninacho, box receipt n.k na ina mwezi tu, iko poa na waranty kila kitu. nauza 200k tu, nipo mbezi magufuli iwahi faster 0697224996
  18. Superbug

    Jirani yangu amepata stroke familia inaamini ni jini hii ni siku ya tano yuko ndani haongei hawampeleki hospital.

    Je hii ni sawa? Je nifanyaje kuwashawishi wampeleke hospital? Nimejitolea ambulance wamekataa wanasema atapona kienyeji hilo ni jini.
  19. S

    NAUZA LODGE/GUEST YANGU(DSM)

    HABARI WANAJAMII, NAUZA LODGE YANGU IPO WAZO HILL,KISANGA ROAD INAVYUMBA 11 VYOTE SELF AC,HEATER NA TV. NJE KUNA KAUNTA,CHOO,JIKO NA PARKING UKUBWA WA ENEO 1600 SQM MATARAJIO YA MAUZO KWA SIKU 165,000-200,000 BEI 130 MILLION :-KWA MTU SERIOUS TUWASILIANE SABABU YA BIASHARA NA MAZUNGUMZO...
Back
Top Bottom