Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.
Habari ya jumapili, bila shaka mu wazima. Mimi ni dada mchapakazi, Nina elimu ya masuala ya urembo ,namaanisha nails, makeup and hair. Natamani nifungue biashara lakini imekuwa shida kupata mtaji.kwa sasa nimeona itafute kazi ili niweze kukusanya pesa.
Napenda kuchukua Fursa hii kuomba...
Nilisema ndoto ina definition tofauti. Moja kati ya definition za ndoto ( my personal definition) ni : 👇
Ndoto ni ' kioo cha kiroho' kinacho tumika kukuonyesha wewe ni nani katika ulimwengu wa roho.
Kwa maana ya kwamba unayoyaona kuhusu wewe katika ndoto unazo ota usiku ni reflection ya...
Habari ndugu, kama kichwa Cha tangazo kilivyoandikwa nahitaji kuanzisha biashara ya kuuza dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba -Dar hivyo nahitaji watu wa kushirikiana nao kupata soko, dagaa ni rejareja kwenye packet au kwa jumla pia wanapatikana kuanzia ndoo ya lita 10 mpk 20, hivyo kwa ambae yupo...
“Tumezindua rasmi kampeni hii ya Mtoto ni Mboni yangu ambayo itafanyika mwezi Novemba katika Mikoa yote mitano ya Zanzibar kwa maana ya Unguja na Pemba na lengo la Kampeni hii ni kutokomeza matukio yote ya ukatili na unyanyasaji kwa wakina mama na watoto kwani hilo ndio janga kubwa linaloharibu...
Assalam Aleykum!
Habari zenu wakuu,
mimi nachukua nafasi hii kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kwenda kwenye Ubalozi wa nchi ya Palestina hapa Nchini Tanzania kwa kuokoa maisha yangu.
Nilikuwa katika zunguka zunguka zangu hapa jijini kutafuta mkate wangu wa kila siku, nikiwa na njaa...
Jamaa alikuwa anatamba sana na IST mpya kabisa, apartment kali. Sasa jamaa kajichanganya alikuwa na mtu wake sahihi huyu mshangazi alikuwa anamvuna tu.
Swali langu kwenu wakuu kwanini mishangazi inapenda vijana wa makamo?
Wanajukwa habari za wakati huu ndugu jamaa na marafiki natumai nyote ni wazima waafya .Lengo kuu la kuandika uzi huu nikuwaombeni msaada wale wataalamu wa maswala ya Technology and science in computer skills and accessories. Jaman mm natumia simu aina ya Samsung galaxy A15 nimei UPDATE jana...
Huyu jamaa alishawah nisaidia nikaipata bag ya laptop niliyoibiwa nikiwa nimepaki gar ofisin na laptop nimeacha ndani ya gari.
Hanijui simjui ila alikua mpangaji mwenzagu kwenye hizo frame.
Alinisaidia baada ya kuitafuta sana kuambulia patupu nikakata tamaa. (Ni story ndefu sana).
Ila mwisho...
Habari wanajamvi, nimekuja mbele yenu mm ni kijana wa miaka 25, lengo la kuamdika uzi huu ni kuomba ushauri juu ya biashara yangu.
Mimi ni fundi kuchomea lakini pia nimejiongeza kwa kujifunza ufundi sofa. Lakini biashara yangu haitembei kabisa labda wenye uzoefu na mambo haya wanipe ushauri...
Habarini wana jamvi,
Ninahitaji mark x au brevis kwa bajeti ya milion 7 hadi 10 kutokana na ubora na model itakayopatikana.
Tafadhali, mimi ni mzoefu wa magari hivyo ukija na deal ni bora uwe serious.
Ninauhitaji wa haraka kidogo kwa ajili ya matumizi binafsi.
PM ipo wazi au unaweza kunipa...
Ndugu zangu,
Nimekua nikijiuliza jambo zito Je, mtu anayeishi kwa kusema ukweli, kuchukia rushwa, na kushikilia maadili anaweza kweli kusimama imara kwenye siasa zetu za sasa? Mimi ni mtu ninayethamini haki kuliko kitu chochote. Nachukia rushwa kwa nguvu zote, kiasi kwamba hata kama ningepewa...
Simba ni kikundi cha wahuni wamekusanywa wakaamua wawe wanacheza pamoja. Hamna kitu kabisa pale. Haiwezekani wakamfunga Yanga.
Nitapost picha bila nguo kabisa muone kuwa nimedhalilika sana kufungwa na wahuni wa Simba.
Ni kweli naishi kwetu na sioni haya kusema naishi kwa mama yangu kwanini nidanganye? Mimi mnifananishe na kobe au kasa wale si wamezaliwa na nyumba? Kama kwenu hamkuzaliwa na nyumba haya ila mimi nakaa kwetu” ~ Kisauji
Takribani miaka 6 Sita Sasa tangu uangalizi wangu kwa binti wa majirani zetu, nampenda yule binti nayeye pia ananipenda pia kwao walizaliwa 6 lakini wa kiume mmoja binti Huyo Alifunga kizazi na ndio pekee aliyeweza kusoma
1.ugomvi wa visima vya maji
Ugomvi ulianza kwenye kisima cha maji mwaka...
Hii ndio furaha yangu kubwa sana,na kusuluhisha migogoro ya wanandoa ni furaha yangu kubwa sana.Siangalii dini za wanandoa wanaooana au naowasuluhisha.Kama una mgogoro wa ndoa au unatamaninkuoa au kuolewa njoo tuongee
Baada mchakato mzima wa utafutaji, utafanikiwa kupata riziki na maisha mazuri na kuinuliwa.
Baada ya hapo atapatikana mwanamke ambaye utaamua ufanye engagement na yeye
(kumtabulisha na kumvisha pete)
Siku zitaenda itakuwa Asubuhi na itakuwa mchana na hatimaye ndani ya uchumba wenu...
Kutokana na umri kusogea sana imenibidi nipunguze mambo ya starehe kama; kwenda sehemu za starehe, kunywa pombe, kucheza na warembo pamoja na kuchepuka.
Nimeamua kujituliza ili niwaachie na wengine waweze kujiburudisha kwenye hayo mazingira ya kujimwambafai.
Sasa changamoto iko hivi, wale...
Ukiwa makini na jf utapata mawazo mengi ya vitu vya kufanya.kwa mfano mimi nataka nifungue mradi niuze vitu vya kula ambavyo vina rangi nyeupe pekee..
Nazi
Mayai
Maziwa
Karanga
Maji
Maharage meupe
Viazi
Ndizi
Pop corn
Mahindi
Mkate
Unga
Vitunguu swaumu
Pia naweza kuweka t shirt nyeupe
Raba...
kichwa cha habari kinajielezea labda kwa faida ya ambao hawajaelewa ni hivi..
Nawezaje ku access miziki ya simu yangu hata kama nikiwa mbali na simu yangu..?
Yaani hata kama simu ipo mbali nawezaje kupata playlist ya miziki yangu kupitia kifaa chengine...????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.