yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. sameer0220

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kulipia kibali kwaajili ya marekebisho ya kupaka rangi nyingine nyumba yangu?

    Je, ni sahihi kulipia kibali kwaajili ya marekebisho ya kupaka rangi nyingine nyumba yangu? Nimeikuta huku Songea mkoa wa Ruvuma, ikiwa mwenye nyumba anataka kurekebisha rangi au kubomoa na kujenga vyumba vya kisasa inahitajika alipe pesa serikalini Ili apate kibali je ni sahihi? Au ni sheria...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je Vyombo vya Habari Viliwatendea Haki Watanzania Kuwaelimisha Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?. Mimi na PPR Yangu, Tulijitolea Vipindi 6 vya TV.

    Wanabodi, Makala yangu Gazeti la Nipashe la 24/11/2024 Vipindi 6 vya TV vya PPR Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. 1. Prog. 1 - Ufunguzi wa Waziri wa Habari, Jerry William Slaa - https://youtu.be/bTs3S76UuoY 2. Prog. 2 - Mada Kuu-1 -Wajibu wa Media kwenye Uchaguzi wa Serikali za...
  3. Magical power

    JamiiForums Tanzania Vile nina mipango yangu ya kununua kiwanja alafu mtu ajipitishepitishe

    VILE NINA MIPANGO YANGU YA KUNUNUA KIWANJA ALAFU MTU AJIPITISHEPITISHE😜😜😜😜😜😜😜
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ina hali tete

    Habari wakuu, Leo nimeona nije niwaletee maswaibu yangu yanayo nikabiri kwenye ndoa yangu. Mimi na mke wangu tuna miaka 6 ndani ya ndoa yetu, miaka mi 5 ya nyuma mambo yalikuwa safi kabisa, ila huu mwaka wa 6 umekuwa na heka heka nyingi mno. Mambo ni mengi sana ila Leo tuanzie hapa. MKE...
  5. mbasa ya konge

    JamiiForums Tanzania Nikinyoa mme wangu atangundua nimefanya mapenzi"

    Haya ni maneno ya mwanamke mmoja ambaye ni mke wa mtu nilimwomba anipe papuchi wikendi hii lakini alikataa maana sehemu yake ya Siri siyo safi hajanyoa mamvuzi siku nyingi na mme wake hayupo takribani wiki mbili na anategemea kurudi wikendi hii. Nilipomwambia ayanyoe alikataa na kudai mme wake...
  6. Red shadow

    JamiiForums Tanzania icloud ya iphone yangu imejaa sina hela ya kulipia kuna njia nyingine ya kupata space bila kulipia??

    wakuu nambieni Huu mwaka sitaki kulipa bills za ajabu ajabu.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya mahusiano

    Mimi ni msichana mwenye umri wa Miaka 25. Nilifanikiwa kuwa kwenye mahusiano na mkaka mmoja hivi mwenye umri wa miaka 30. Tulipendana kwa mtazamo wa macho ya nyama. Ila maisha yalibadilika nilivyobeba mimba. Mvutano ulikuwa mkubwa sana. Let's go.... Safari yangu ya ujauzito bila baba wa...
  8. Magical power

    JamiiForums Tanzania Pole sana ewe rafiki yangu mwema

    POLE SANA EWE RAFIKI YANGU MWEMA Yawezekana ulilala mwili tu ila akili na nafsi yako zilikesha zikiweweseka juu ya hilo jambo unalokabiliana nalo. Moyo na nafsi zimeinama Yawezekana ulilala ukiwa na maswali mazito yaliyokosa majibu, umeamka ukiwa na maswali yaleyale yasiyokuwa na majibu juu ya...
  9. excel

    JamiiForums Tanzania Week end yangu inaenda murua sana! Nimefurahi sana kusoma hizi sms..

    Yani katika pita pita mitandaoni nikakutana na hizi sms za kijana akiutongoza mshangazi...😅😅😅 nimecheka sana
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nauza Laptop aina ya Dell Latitude E5470

    Nauza laptop yangu ambayo nimekuwa nikitumia kwenye mambo yangu ya maswala ya IT. Ipo vizuri, japo kuna marekebihso kidogo utakachofanya, ni marekebisho ambayo hayaathiri utendaji wake, ni kubadilisha mkanda kwa gharama isiyozidi tsh elfu 20. SPECIFICATION Model: Dell Latitude E5470 Processor...
  11. kwisha

    JamiiForums Tanzania Imani yangu juu ya uchawi inanipa mashaka

    Katika akili yangu sijawahi kuamini uwepo wa uchawi Lakini kila nikijaribu kukumbuka baadhi ya matukio mbali mbali ambayo nimewahi kushuudia na kuona katika maisha yangu kunanifanya niwe na maswali mengi juu ya imani hii Mwaka 2014 kuna brother fulani ambaye tulikuwa tunaishi naye village moja...
  12. Charlez kanumba

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rafiki yangu ni msaliti na mnafiki nimfanyeje?

    Nisiwachoshe sana, tabia za huyu rafiki yangu ni hizi. *Ananizungumzia vibaya kwa masela nikiwa mbali, inafika point anawaambia wajaribu kuanzisha ugomvi na mimi halafu yeye atawalipa pesa. *Anamponda na kumkosoa kila mwanamke nitakae kuwa nae katika mahusiano ila nikiachana na huyo mwanamke...
  13. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Nime-deposite Tsh laki 1 tangu jana lakini kwene acc yangu ya UTT haipo

    Wakuu hii imekaje Nilikuwa nime-deposite hela UTT kupitia NMB sim app lakini mpaka sasa inasoma zero
  14. britanicca

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kulikuwa na attempt ya mara tatu ya kumwagiwa tindikali na hilo la sumu liweke tu ndani

    Makonda akijibu swali la Zembwela baada ya kuulizwa uvumi wa kuwa hakuwa likizo ya kawaida bali ilikuwa matibabu… "Kuna kipindi niliokolewa na kiongozi mkubwa kabisa wa chombo kwa kuniambia hapo ulipo chomoka. ilikuwa ni attempt ya mara tatu ya kumwagiwa tindikali, kwa hiyo na hilo la sumu...
  15. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Makonda: Nilimuambia Lissu kama utani asimshambulie Mwigulu kwa sababu ni Waziri anayetoka "kwao" na amefuata maelekezo yangu

    Katika mahojiano yaliyofanyika mkoani Arusha ambapo Mkuu wa Mkoa huo Mheshimiwa Paul Makonda alisema alimuambia kama utani Tundu Lissu asimshambulie Mwigulu Nchemba kwa sababu ni Waziri anayetoka kwao (Singida) na Lissu alifuata hayo maelekezo yake kwa maana hakuna hata siku moja amewahi...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dada alia kwa uchungu: Bado namtafuta Mama yangu, hajulikani alipo tangu ajali ya jengo Kariakoo'

    Irene Mallya anamtafuta Mama yake Happiness Mallya, mfanyabiashara wa Kariakoo mkoani Dar es Salaam, ambaye hajulikani alipo tangu ilipotokea ajali ya kuporomoka kwa jengo Jumamosi Novemba 16, 2024. Irene amezungumza na TBC Digital katika eneo hilo la ajali Kariakoo ambapo shughuli za uokoaji...
  17. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Sasa leo ndiyo imekoleza imani yangu kwa wanawake wengi wapo kwenye ndoa kwa ajili ya maslahi ya kiuchumi sio wote ila wengi wao

    Kuna mdau mmoja umeuliza kwamba mwanamke amepata kazi marekani yenye maslahi makubwa na mume wake amemuuliza utachagua kipi kati ya mimi au hiyo kazi yako? Soma maoni ya wadau(wanawake) aisee Soma maoni ndiyo ujue wengi wetu huko kwenye ndoa tunaishi na wanawake wa namna gani 👇👇👇👇
  18. Bodhichitta

    JamiiForums Tanzania Hivi siwezi kupata application kwa ajili ya kufuatilia biashara yangu ya miamala?

    Aslaam, Wakuu hivi hakuna app, au siwezi kupata application ambayo itanifanya kufuatilia biashara yangu ya MIAMALA? Nawaza kufanya biashara ya uwakala wa pesa kupitia laini za simu na bank, lakini nataka nimtumie kijana wakati mi mwenyewe nikiwa kwenye shughuli zingine za kujiongezea kipato...
  19. Gumasa

    JamiiForums Tanzania Bado PM yangu haifunguki

    Wakuu pamoja na wataalamu wa Mambo,bill kusahau ma-operator wa JF.Nimeshindwa kabisa kusoma jumbe kwenye PM maana haifunguki zaidi ya kuni-direct nifungue messenger na baadaye inaandika "connecting" muda wote.Nimejaribu kuinstall app upya au kutumia browser tofauti lakini hakuna mafanikio. Kuna...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kufukuzwa kwa Miguel Gamondi : Natangaza waziwazi kurudisha kadi yangu ya Uwanachama wa Young Africans

    Uzi usiwe mreeeeefu. Nimeamua rasmi kuacha kuishabikia Yanga na hivi sasa naachana na iliyokuwa kadi yangu ya uwanachama wa klabu ya Yanga. Haya ni maamuzi magumu ninayoyachukua kama ambavyo msomali na genge lake la waarabu walivyoamua kuinajisi klabu yetu na kuifanya kuwa mali ya familia...
Back
Top Bottom