yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. Vien

    Kuna muda mtu akiniuliza “ntaoa lini?” Kichwani kwangu naona ni sawa na mtu anayeniuliza "Ntapoteza furaha yangu lini?"

    1/ Dunia ya leo, upendo wa kweli ni nadra. Watu wengi wanaishi maisha ya ku-pretend tu. Ukiwa na mtu, akagundua hawezi kupata kitu, huondoka. Hii ndio ukweli wa mahusiano. 2/ Wengi wanafanya ndoa kwa sababu ya pressure ya jamii au familia. Lakini ndani, maisha yao ni siri na maumivu. Wake na...
  2. Young silver

    Support, support support

    I have released my newest song for the first time. Hata kwenye game bado sijaingia. Nawaombeni support yenu wadau, judge if I can or not, au nikalime tu ndizi🥹🥹 I hope you will not let this past over🙏🙏🙏 Release on my YouTube channel, please subscribe, share, comment and like. 🙏...
  3. A

    KERO Kero yangu ni usafiri katika Halmashauri ya Mafia, huduma ni mbovu na kuna mazingira ya Rushwa

    1. Usafiri Mafia ni kero tutoka Bara kuja huku. 2. Rushwa zimetawala kila idara toka mlinzi kwenye meli mpaka mkatisha tickets...huko kwingine ndiyo usiseme... 3. Watu wa mafia wamwogope Mungu matusi ya nguoni mpaka mbele za watoto wao. 4. Watu tunaoajiriwa Mafia tunaona kama tumepewa adhabu kwa...
  4. mzeemkavu

    Nauza saa yangu ya Tommy Hilfiger Aiden Multifunction Watch

    Tommy Hilfiger Aiden Multifunction Watch Price 600,000 0758190229
  5. Bani Israel

    Waliotuletea dini wote wanakula sikukuu kesho ila sasa nchi yangu 🥲

    Iran kwa washia pamoja na vita vyao kesho wanaangusha ngamia MashaAllah nako Saudia chimbuko la sunni nako kesho ni shughuli yani middle east yote kesho ni bata batani Inashangaza tanzania imekuwa kawaida kusherekea sikukuu hizi siku ambazo ni tofauti na tunaowaangalia kama ndio chimbuko la...
  6. Waufukweni

    Askofu Gwajima: Baba yangu aliniambia "watakuua" nikamwambia hafi mtu hapa

    "Siku za mwanadamu zinapangwa na Mungu, zikiisha zimeisha, hata kama ungetibiwa na watu milioni moja, zikiisha zimeisha. Siku zako kabla hazijaisha, wakuwinde na vyombo vya ajabu hautapatikana", - Ask. Gwajima. Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akizungumza katika Ibada...
  7. A

    KERO Tuliosoma Chuo cha Taifa cha Utalii tuna changamoto ya upataji wa Ajira Serikalini kupitia Mfumo wa Ajira Portal

    Nilikuwa napenda kuwasilisha changamoto yangu kubwa ni upande wa chuo ambacho nimesoma "Chuo cha Taifa cha Utalii/ National College of Tourism- NCT), tumekuwa na changamoto kubwa ya upataji wa Ajira Serikali kupitia Mfumo wa Ajira Portal ya Serikali, kutotambua Course ambazo tumezisome katika...
  8. A

    KERO Wahitimu wa Industrial Engineering Management ya Mzumbe University tunakosa ajira

    Habari, Kwa wahitimu wa course ya Industrial Engineering Management inayotolewa (Mzumbe University) imekuwa ngumu kupata kazi Serikalini. Kimsingi sisi ni wasimamizi wa viwanda na kuna Wizara ya Viwanda na Biashara ambao wana Idara ya Viwanda wanaweza kutuajiri kwa taalum yetu kufanya...
  9. V

    Nahitaji mwenza

    Mambo vipi wakuu, hivi hii changamoto kuna wengine wanapitia kama mimi, iko hivi ... Kipindi uko na umri mdogo, yaani early &/ mid 20's unakua hujihusishi sana na mapenzi ukitegemea kujitafuta. Ila mwisho wa siku unafika early 30's kama mimi unakuta kupata mwenza wa sifa zako ni ngumu mno...
  10. Southern Highland

    Sportybet wamenidhulumu, nawashtaki wapi nipate haki yangu. Njoo hapa nawewe ujifunze yanaweza kukukuta.

    Iko hivi jana nilitengeneza mkeka wa mechi 20 ukaleta odds 53. Mechi 19 zimetiki kasoro mechi moja ya Villarreal na Elche ambayo niliweka option ya over 2.5 bookings. Yaan hiyo mechi iishe kwa kadi 3 au zaidi zitolewe. Mechi imeisha kwa kadi 3 kutolewa, ikiwa 90 zilitoka kadi 2 na katika dakika...
  11. Mwachiluwi

    Uchoyo sio jadi yangu

    Karibuni daku huu ndioda wake ukila saa kumi au kumi na moja ni sawa kuwa ujafunga maana siku mpya ina kuwa ishaanza
  12. A

    KERO Natakiwa kulipwa Milioni 7 ya NSSF, nimepewa 198,000, nyingine hadi mwaka upite, wanajua kesho yangu?

    Kero yangu ni kwa watu wa NSSF, nilikuwa nafuatilia mafao yangu ya ukomo wa kazi kwenye statement yangu kuna shilingi 7,000,000 kazini nilikuwa nalipwa 600,000, hivyo NSSF nilikuwa nawekewa 120,000 sasa imefika wakati wa kufatilia nakuja kulipwa Shilingi 198,000. Sasa hiyo hela mimi naifanyia...
  13. BIG BROTHER ALEX

    Stori ya El Chapo imenikumbusha kaka yangu alivyopoteza kila kitu kutokana na mwanamke

    Hii inshu ya El Chapo imenikumbusha kaka yangu. Mwaka fulani maeneo fulani Kanda ya Ziwa, katika mkoa mpya fulani, kipindi hicho palikuwa bado bush sana. Kaka yangu alikuwa akijihusisha na utafsiri wa movie za kihindi, kizungu na kichina katika ukumbi mkubwa sana kwa kipindi hicho. Kutokana na...
  14. D

    Majambazi wamemuua rafiki yangu kikatili sana. Imeniuma mno

    Habari za usiku wakuu bila shaka, mupo salama. Leo imekuwa siku mbaya sana kwangu baada ya kupokea taarifa za kifo cha rafiki yangu, gERVASS maarufu kama Baraka. Alikuwa anaishi maeneo ya Malamba Mawili, sehemu inaitwa Bwawani. Ni mitaa ambayo niliwahi kuishi pia. Baraka alihamia huko tangu...
  15. MamaSamia2025

    Hizi ni ajali tatu zilizoniachia kumbukumbu mbaya zenye simanzi kwenye akili yangu

    Hizi ni ajali ambazo hadi leo zimeniachia simanzi na kumbukumbu mbaya kichwani mwangu. Sikupoteza ndugu wala mtu yeyote wa karibu ila ziliniumiza mno. 1. Ajali ya moto kwenye bweni la wasichana Shauritanga sec, Rombo Hii ajali ilitokea usiku wa tarehe 18 June 1994. Bweni lilishika moto na...
  16. M

    Mtaji 70m biashara yangu ya duka la vyakula imeshuka sana nifanye biashara ipi

    Wakuu mim nafanya biashara ya dukal la vyakula Sasa biashara imeyumba sana kutokana na ushindani kuwa mkubwa faida imepungua sana Wadau nifanye biashara ipi fursa inayoonekana hardware nlikua nafanya nayo tumekua wengi mno faida Kichwa kinawaka sjui nifanyaje
  17. A

    KERO Changamoto ya Kufungiwa Akaunti – Ajira Portal

    Napenda kuwasilisha malalamiko yangu hadharani kuhusu kufungiwa kwa akaunti yangu katika mfumo wa Mamlaka ya Ajira Tanzania (Ajira Portal) tangu mwezi Septemba 2025, bila kupatiwa maelezo ya kina wala taarifa rasmi inayoeleza sababu za hatua hiyo. Tangu kufungiwa kwa akaunti hiyo, nimefika...
  18. Kumfumaster97

    Samsung A05s Yangu ina cuttoff internet wakati nimepigiwa simu msaada jinsi ya kufix

    Assalam Alleykum ndugu zangu natumai mko poa poleni kwa mfungo ,tuendelee kumwomba Mungu katika kipindi hiki Nashindwa kutumia internet pindi nikipigiwa simu ,msaada jinsi ya kufix hii shida wakuu
  19. M

    Hii ndio siku nilipogundua rafiki yangu ni nyoka, wewe ulijuaje rafiki yako ni msalaliti ?

    Nilipata dili safi, nikamtafuta huyu ninayemwita “rafiki” twende tukapige kazi tugawane 50/50 kama wanaume. Kumbe mwenzangu ana roho ya korosho. Bila kuniambia neno, akaenda kwa boss aliyenipa kazi nyuma ya mgongo wangu. Kufika huko akauliza nimemchaji sh ngapi. Akaambiwa ile ile bei...
  20. Mgirik

    Tafakuri yangu ndogo

    Kila jambo litatimia kwa wakati wake.
Back
Top Bottom