Yanga wameiandikia TFF barua kuwa wako tayari mchezaji wao wa timu ya wanawake, Jeanine MUkandayisenga kupima na kuuthibitisha jinsia yake kama TFF walivotaka
TFF waliwaandikia barua Yanga kuwa timu za wanawake za Simba na JKT wamelalamika kuhusu utata wa jinsia ya Jeanine MUkandayisenga na...
Tunajua Karia na TFF yake wana kidonda kizoto moyoni baada ya msimu uliopita Yanga kuwa bingwa na kampeni yake ya kugomea derby iliyohairishwa kihuni, hili linamkera sana Karia na TFF yake
Kumbuka Yanga ndo timu pekee ambayo haikumuunga mkono Karia kwenye uchaguzi wa utapeli wa TFF, ambapo...
Viongozi wa Yanga tafadhari sana, tena sana msifanye kosa la kumrudisha Saed Ramovic.
Kumbukeni jinsi Yanga yake ilivyo kuwa shambolic in defense ikifanyiwa counter attacking.
Ilikuwa wapinzani wakifanikiwa kupora mpira na kupiga long balls zinazofika kwa usahihi basi lazima wakamsalimie Diarra...
I salute you kinsmen.
Rejea uzi wangu uliopita niliposhauri kuwa tatizo la yanga hasa ni mkurugenzi wa ufundi bwana Moalim aliyeondoka..
Leo najaribu kuelewesha deep sana. Well let's goo.
Huyo bwana kitaalamu ni kocha kabisa na ana vigezo vya kusimama kwenye pitch line.
Huyu alikuwa na...
Mimi mwehu ndama jitu la mtumba , ndio nilikua wakwanza kuzipinga mbinu za tapeli wa kifaransa"Roman Folz" na sikuishia hapo tu, nilienda mbali nakukosoa uchezeshwaji wa mchezaji Aziz andambwile, ambae binafsi licha ya magoli yake yakubahatisha nina amini ndie alikua tatizo kubwa la Yanga sc...
Waamuzi wa mechi za Ligi Kuu na mchezaji mmoja wamefungiwa kutokana na utendaji mbaya katika michezo iliyopita. Kikao cha kamati ya saa 72 kilichokaliwa jana kimeamuru adhabu kwa waamuzi waliochezesha mechi ya JKT Tanzania dhidi ya Azam FC na mechi ya Mbeya City dhidi ya Yanga SC.
Ibrahim...
Ushauri wangu jamani Mwenyezi Mungu anapotupa nafasi ya Kuzikamata basi tuwe na Nidhamu ya Kuzitumia lakini Kubwa tujikite mno katika Kuwekeza ili tusije Kuumbuka baadae / mbeleni kama aliyewahi kuwa Mchezaji nyota / mahiri wa Yanga SC Jesus Kololo.
Ila Moloko nawe leo ngoja Nikuchane kwani...
Hasara haikuwa kubwa kwa vile sikuwa na uhakika kama kweli Yanga itashinda, ila niliweka mkeka uliegemea Yanga kushinda, kwa hiyo matokeo ya leo yamechana mkeka wangu huo. Yanga huhangaishwa sana na timu za Mbeya hasa Ihefu na Mbeya City zimekuwa zinaipa Yanga kichapo cha mbwa koko mara kwa...
Baada ya Young Africans kuitoa klabu ya Angola ya Wiliete Sport Clube , sasa imepangwa kukumbana na klabu ya Malawi ya Silver Strikers
TOKA MAKTABA :
Silver Strikers vs FCB Nyasa Big Bullets
https://m.youtube.com/watch?v=ZDJUtOcs7Hk
Hili nawaambia mfahamu hizi teams si za Wananchi ni za Serikali. Kile kitendo cha Mashabiki wa Simba kujifanya wao ngangari kilimuudhi sana mhusika. Na alisema "haya tutaona"
Hakuna kitu mtafanya Simba mfanikiwe hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni sisi. Sasa jifanyeni hamchanganyi Mpira na...
Coach Romain Folz ameshindwa kupata first 11 yake nadhani kichwa kinamuuma na anakosa usingizi
Kwa utaalam wangu kwakuwa Nina foundation course ya coaching nitamsaidia
Goal keeper
1 Diara
Mabeki
Bacca
Assink
Tshabalala
Mwenda
Hapa nampumzisha
Dickson Job- Ana fatigue anaonekana wazi kama...
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAFCL, Young Africans (Yanga) jioni ya leo wanaingia uwanjani kukipiga na Timu ya Wiliete kutoka Angola katika mechi ya marudiano.
Katika mechi ya kwanza iliyofanyika Angola, Yanga walitoka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya wawakilishi hao wa Angola
Je...
I salute you kinsmen.
Wakuu
Yanga nimewavulia kofia kwa kweli!
Yaani hii team watu wana akili kupitiliza
Nakushukuru sana Mungu wa mbinguni kunifanya niwe yanga hakika sijawahi kujutia kabisa.
Leo Yanga wamezindua jezi mpya ambazo zimetengenezwa na kampuni ya NIA, zikiwa na muundo ule ule...
Klabu ya Pamba Jiji yenye makazi yake Jijini Mwanza wanadai kuzimiwa taa wakati wa mazoezi yao ya Mwisho kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga Sc hapo kesho.
"Hii ndiyo hali tuliyokutana nayo uwanja wa taifa, taa zimezimwa tumefanya mazoezi gizani".
Ndugu zangu, kuna jambo moja linazidi kujidhihirisha katika historia yetu ya kisiasa: Tanzania bado ni nchi ya watazamaji, si ya washiriki. Ndio maana kila baada ya muda fulani, Chadema huibuka na tangazo la maandamano, mara hii Oktoba 29, kana kwamba dunia itatikisika, serikali itatetemeka, na...
Ukiwa unajiamini bwana, raha sana. Unajua kabisa matokeo yatakayokuwa, unaweza kutamba utakavyo.
Kabla mechi haijaanza, wakati macaptain wa Simba na Yanga, Shomari Kapombe na Dickson Job wakiwa na waamuzi kuchagua upande wa kuanza, Job alimwambia mwamuzi Arajiga na Kapombe kuwa hakuna haja ya...
Huu ujinga serikali ikemee. Yanga ni team ya Taifa. Kwa nini watu watumike kuibagaza na kuibananga namna hii?
Hili shoga limevaa jersey ya Yanga linfurahia kama ambavyo huwa yanavaa za CCM.
Kila mara linapokuja Tamasha la Wananchi yeye anakuwa na kazi ya kuhamasisha tu watu kufika Uwanjani lakini Siku ya Tukio msemaji Mkuu anakuwa Chaguo la Tajiri Haji Manara.
Mwaka huu aliahidi kuwa ndani ya nyumba angeshika kipaza dakika za mwishoni anakuja aaambiwa " hilo suala la kutambulisha...
Kuna watu walichukua jezi nyingi sana badara ya kugawa wakapeleka majumbani kwao mimi nliona mtu kwa macho yangu Temeke kachukua jezi kama 5 ivi kaweka kwenye kibegi.
Hii si sawa inashangaza kwa nini mtu anataka kila kitu afaidi yeye tu kuuna watu wanatuujumu na jana walituujumu pakubwa sana...
Hii ni tathmini yangu ya mambo 10 tuliyoyashuhudia katika matamasha ya Simba Day na Yanga Day.
1. Ni wazi mauzo ya jezi mpya za Yanga siyo mazuri. Jezi za Simba zimeuzika saana. Kuna tukio la Yanga la ugawaji jezi mpya bure kwa waliojitolea kutoa damu halafu anayesimamia ugawaji wa hizo jezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.