yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awajulia hali Pacome Zouzoua wa Yanga na Mlezi wa ACT Wazalendo, Sheikh Rashid Hamad Othman

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Sheikh Rashid Hamad Othman, Mlezi wa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam. Akiwa hospitalini hapo Rais Dkt...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa Simba na Yanga Kila Wikiendi: Je, ni Upendo wa Mpira, Tiba ya Stress za Maisha, au ni Mtego wa Kisiasa na Kibepari Unaomnyonya Kijana?

    Wakuu, inakuwaje? Wikiendi hii jiji la Dar es Salaam limetawaliwa na kile kinachoweza kuitwa "vurugu za makombe mtaani." Kwanza tuliona Paredi la Yanga SC la kusherehekea Ubingwa wao, likiongozwa na Rais wao Eng. Hersi Said aliyeibuka juu ya gari la wazi akidunda na mataji mbele ya mitaa ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Julai 6 2026 Wananchi mjitokeze kwa wingi kwenye shauri la mgawanyo wa mali mahakama Kuu

  4. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Katazo la kuandamana haliwahusu Simba ba Yanga ila CHADEMA pekee?

    Wakati mwingine huwa siwaelewi CCM wanaposema maandamano ni jambo baya. Au hawajui maandamano ni kitu gani! Kuandamana ni mfuatano wa watu mmoja akimfuata mwingine. Sasa ubaya wa CHADEMA kuandamana unatokana na nini? Kwa siku mbili mfululizo mashabiki wa Simba na Yanga wamekuwa wakifanya...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Yanga wapigwa fani ya Tsh. Milioni 100 kwa kutumia Jumba la Maajabu

    Klabu ya Yanga imepigwa faini ya Shilingi milioni 100 na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Tanzania Football Federation kufuatia ukiukwaji wa kanuni za NBC Premier League katika mchezo namba 233 wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania FC uliomalizika kwa Yanga kushinda mabao 3-0. Adhabu hiyo...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Dube aibwaga Yanga, ajiunga na klabu ya Hardrock

    Aliyekuwa mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Prince Dube amejiunga na klabu ya Hardrock FC ya nchini kwao Zimbabwe. Baada ya kuondoka kwa Dube sasa Yanga watalazimika Kuingia Sokoni kutafuta mbadala wake kuelekea msimu mpya 2026/27.
  7. B

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 3-0 JKT Tanzania | Ligi Kuu NBC | 30.06.2026 Yanga Bingwa kwa mara 5 mfululizo

    Yanga wamebeba tena ubingwa wa ligi kuu ya NBC kwa mara 5 mfululizo Ambapo msimu huu wa 2025/ 2026 ilionekana kama kutobeba ubingwa huu lakini wameonyesha ubabe wao tena ##### Vinara wa ligi kuu bara au mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu ya Tanzania bara Young African sport club Leo watakuwa...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa maoni na mtazamo wako, kesho Lambalamba anakufa chuma ngapi dhidi ya Yanga Africa?

    Na je, Yanga Africa ataenda kumkanda chuma ngapi mnyana fainali CRDB Cup?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  9. Labani og

    JamiiForums Tanzania Je, kwanini wanasimba wanalalamika juhusu mechi zao na za wa Yanga?

    Hii ni kauli ya kiongozi wa Simba baada ya mechi Yao MENEJA PATRICK REYEMAMU 🚨 "Kuna namna sisi kama Simba matokeo yetu tunavyoyapata, sidhani kama kuna timu hapa nchini ingeweza kuyapata kwa magumu haya. Kuna timu kama zingekuwa zinafanyiwa hivi, sasa zingekuwa daraja la pili huko...
  10. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Yanga tunaamua tu leo tushinde bao ngapi. Tusiposhinda nipigwe ban ya wiki 2

    Yanga Bingwa. Tena na Tena. Leo tunawachapa hawa mashupaa... Maana si mashujaa... Tunazidi kukaa kileleni. Tunaamua wenyewe tuwachape baos ngapi. Mbwa hawa.
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Juni 6, 2022 Injinia Hersi Said aliahidi atajenga Uwanja wa Yanga ndani ya miaka minne ya Uongozi wake

    Miaka minne iliyopita, Siku ya Jumatano, Juni 6, 2022 akiwa anahojiwa katika Kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM, Injinia Hersi Said baada ya kupitishwa kuwa mgombea pekee wa nafasi ya Urais katika Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said alitoa ahadi ya kujenga uwanja wa klabu wenye siti 20,000...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Simba ijiongeze nje ya uwanja kwa gharama yoyote lasivyo Yanga anaenda kubeba kombe mara ya tano, aibu hii

    Itakuwa aibu kubwa kwa Simba kuendelea kushuhudia Yanga wakibeba kombe mara ya tano mfululizo. Simba wanapaswa kufanya kila linalowezekana nje ya uwanja kulinda heshima yao. Kama ni kuwavuruga Yanga kisaikolojia, kuongeza motisha kwa timu zinazocheza nao, kununua marefa, kuwashawishi baadhi ya...
  13. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Yanga kwa sasa tunapambana na Chama's Goal Challenge kila match tutaweza tu

    Goal la Chama kwa kweli linatutesa sana. Kocha na viongozi wamekuwa wakitusisitizia kuwa lazima tulipe. Jambo ambalo katika matches 4 sasa tunajjtahidi sana. Jana Max Zingel kidogo alipe. Shida ikawa goal keeper alijisahau akaharibu move. Kwa kweli Chama amekuwa akitunyima raha toka siku ile...
  14. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hizi mechi ndizo zitaamua nani anakuwa bingwa 2025/2026

    Bila ya kujali msimamo wa ligi ulivyo hivi sasa, mechi sita za mwisho za ligi kuu Tanganyika, ndizo zitakazoamua nani atakuwa bingwa Kwa msimu wa mwaka 2025/2026. Wakati Simba itaanza na Dodoma Jiji (24/05/2026) Yanga wao siku inayofuata itakutana na Namungo. Mechi ngumu kwa Simba, Yanga mechi...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Rio na Goli la Chama; viongozi wa Yanga ficheni upumbavu wenu

    Nimeona video ya mwandishi Meena Ally akimtaka maoni Rio kuhusu goli la Chama Nimeona Rio akikiri kwamba ni goli bora lenye hadhi ya kuwa goli bora la dunia Nimeona malalamiko ya viongozi wa Yanga wakilalamikia hilo. Ninakiri kwamba viongozi wa Yanga sio watu smart vichwani kuanzia uongozi wa...
  16. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Simba hii ya Baker Inatisha: Yanga tujiandae kisaikolojia

    Simba hii ya Baker inainyesha kutisha kweli kweli; Yanga tujiandae kisaikolojia, Yanga hii tumekuwa butu sana kwenye kushambulia goli la mpinzani na vile vile tumekuwa lege lege sana kwenye kilinda goli let. Simba inaonekana kuwa imara sana kulinda goli lao na vile vile wana makali ya...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi za ndani kabisa Beki kisiki Bakari Mwamnyeto atakuwa uwanjani leo akiiongoza Yanga dhidi ya JKT kwenye

    Hizo ni taarifa za ndani kabisa
  18. D

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Yanga: TEAM 26% GSM 50% Wawekezaji 24%. Uhalisia upo hivyo kimahesabu

    1. Mimi ni shabiki wa Yanga. 2. Uwanja ni hatua kubwa kwa maendeleo ya club, na ikitokea Yanga ikakamilisha uwanje wake wakati Simba hajachukua bado NBC, basi inawezekana mikataba ya NBC ikaisha Simba hajachukua huu ubingwa. Uwanja ni tool muhimu kwenye ushindi. 3. Haya ni mawazo yangu, mawazo...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Yanga na GSM zasaini mkataba wa ujenzi wa uwanja wa Yanga

    Klabu ya Yanga leo imesaini mkataba na Mfadhili na Mdhamini wao Ghalib Said Mohamed wa ujenzi wa uwanja wao wa mpira Uwanja huo wa Yanga utamilikiwa kwa 50% na klabu ya Yanga na 50% na GSM Tanzania Limited Ujenzi wa uwanja huo upo kwenye mfumo wa partnership ambapo Yanga wamechangia ardhi na...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Je Diara Djigui pale Yanga yupo kwa ajili ya Clean sheet pekee?

    Ni mara yatatu ama siyo ya nne namuona golikipa.wa yanga akisharuhusu TU goli bas kwake hapo mech imeisha kwa upande wake atajivunja na na golikipa mwingne kuingia Nadhan huyu yupo kwa ajil ya kaz Moja TU yanga hasa kwa hz timu za madaraja ya Kati kwake kuruhusu gol kwake n kama n dhambi...
Back
Top Bottom