Kama Nabi na Gamondi waliwahi kufungwa na Ihefu, Tabora united na Simba kwa nyakati tofauti hata kocha Pedro anaweza kufungwa na Simba pia. Kama ikitokea hivyo haimaanishi Pedro hafai, hajui na anapaswa kufungashiwa virago vyake na kuondoka Yanga.
Kila dalili, hasa za ndani ya uwanja, yanga haiko sawa, inacheza shaghala baghala, wachezaji ni kama wamechoka, kila mtu analalamika. Kwa kifupi yanga haiko vizuri kabisa.
Wa kutuokoa ni Mola tu
Hapa maana yake ni kwamba hakuna kampuni ya betting itaruhusiwa kuweka mchezo wa Simba na Yanga bila idhini ama kibali kutoka TFF, ambapo wao watamuuzia mtu mmoja tu na wengine wote wanapaswa kwenda kununua kwa aliyeuziwa haki za mchezo huo husika.
====
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania...
Mpo radhi muweke matches za huko Uk kwenye TV zenu kuliko ya ndugu zenu hapa hapa nchini? Sehemu nyingi za Public tumeona mkiwa mnaweka ligi ya Uingereza kuliko match yetu tunayochezs tena kwenu? Yanga tunajaribu kuiheshimisha Zanzibar ila yenyewe naona kama inakaza fuvu kubazi kabisa
Ingawa mkeka wangu leo kwa Yanga umelipa, ila nimefadhaishwa sana Yanga kuishia Makundi tena pamoja na kusakata kandana safi vile. Pamoja na kuwa kundi lao lilikuwa gumu sana, Yanga ilifanya makosa mawili makubwa ambayo yamenisababisha msongo mkubwa wa moyo.
Kosa la kwanza kubwa sana na...
Kwa mara ya kwanza baada ya miaka kadhaa ya mafanikio ya kujivunia mfululizo, kukua kwa soka la Tanzania kimataifa hatimaye klabu zote nne zimeondoshwa hatua ya makundi na kushindwea kuendelea Hatua ya Robo Fainali katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika.
Simba SC na...
Aziz K Atajwa Kurejea Yanga Baada ya Haya Kutokea Kwa Waarabu.
Makala hii inachambua hali ya wachezaji wa Yanga SC wanapojaribu kutafuta mafanikio katika ligi za Kiarabu, kwa kuangazia mfano wa kiungo mshambuliaji Stephen Aziz Ki. Hoja kuu ni kwamba changamoto wanazokutana nazo mara nyingi...
Inajulikana ndani ya mahakama kunakuwa na mchuano mkali wa hoja za ,utaratibu na ushahidi bila mihemuko.
Je ni sahihi kuwa na mashabiki wa pande mbili kila mmoja akivutia upande wake?
Wakati Yesu anahukumiwa pasipo haki pilato alisimama mbele ya wayahudi akawa anahoji baadhi ya maswali muhimu...
Kabla ya kutangaza tender ya nani atafadhili uwanja wao na namna ya kugawana mapato ya uwanja na mwekezaji walipaswa kuwa BOQ ya uwanja na aina ya biashara zinazotakiwa kuwepo na namna mfadhili atakavyorudisha pesa yake. Vitu vyote hivi vingekuwa sehemu ya tender ili wafadhili wajue kama...
Tangu tarehe 29.10.2025 ,Tanzania ilipata doa ,nchi ilichafuka ,Taifa limelaaniwa.
Hatuwezi kupata chochote kama Taifa tuka toboa .Iwe mpira, muziki ,biashara na uwekezaji .
Tunahitaji toba ya kweli kutoka hapa.
Simba na YANGA mwambieni Rais wenu aombe toba Kwa Mungu
Anasema mchezaji mmoja wa Mashujaa ambaye ni mmoja ya Walinzi. Masaa kadhaa kabla ya kucheza na Yanga walikuwa wamekutana na uongozi wa wao na wa Yanga.
GSM aliingia ufadhili nao na hivyo baada ya kutiliana saini wakapewa vyakula na vinywaji. Kwa kweli anasifia walikula sana na kufurahi...
Yanga tuna akili. Ule uwanja wa Mkapa tuliuenyea. Simba hawezi pata matokeo Chanya na baada ya kuunyea tukahamia Zanzibar.
Tulihamia Zanzibar sababu Uwanja wa Mkapa tumeuharibu. Haufai hata kwetu kwa matches za Kimataifa. Why? Una uchafu. Tulichofukia hatusemi ila nyie Mikia mtaona. Hamwendi...
Hatuna budi kuwapongeza GenZ kwa kufanikisha zoezi hili, ilikuwa huwezi kuongea chochote vijiweni zaidi ya simba na yanga au diamond na kondeboy leo ni tofati kabisa.
Kiuhalisia huwezi kuishi bila siasa, huwezi kuukuza mpira ukaiacha siasa inayoendesha huo mpira, kuwa mimi ni Simba damu damu...
AL Ahly vs Yanga Leo Saa moja usiku kwa saa za Afrika Mashariki Afrika itasimama yote kupisha mtanange mkubwa zaidi kati ya Al Ahly SC na Yanga SC Kaa nami katika Uzi huu kwa update zaidi
Kikosi kazi dhidi ya Al Ahly #cafcl
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
Mpira umeanza
Dakika ya 14...
Moja ya jambo lililozua gumzo katika fainali za AFCON 2027 huko Morocco, ni pamoja na ziara za Streamer maarufu duniani anayeitwa IShowSpeed kuingia katika fainali hiyo na kukutana na mashabiki na viongozi mbalimbali.
Mmoja ya watu waliokutana na IShowSpeed ni Rais wa Yanga Engineer Hersi Said...
Fainali ya Michuano ya NMB Mapinduzi Cup 2026, kupigwa katika Uwanja Mpya wa Gombani Kisiwani Pemba, Mechi kali kati ya Azam FC dhidi ya Yanga SC
Kikosi kazi dhidi ya Azam FC #MapinduziCup2026Final
Mpira umeanza
Dakika ya 10
Yanga SC wanafanya mashambulizi
Dakika ya 15
Dube anakosa nafasi...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Hii siyo tetesi tena
Kijana kasha sain mkataba wa awali Yanga
Japo kuwa tajiri kasema kijana avunje mkataba kabisa alipe pesa Kisha asepe, lakin kijana amekataa anasema ngoja amalizie miezi yake sita iliyobaki ndo atue jangwani
Karbu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.