yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Simba SC: Damaro na Yanga SC wao hawajafika, Sheria inaruhusu kwenda CAS kama tusiporidhishwa

    Shauri la Simba SC dhidi ya Damaro na Yanga SC limesikilizwa Aprili 2, 2026 katika Ofisi za TFF, Karume Ilala Jijini Dar es Salaam, ambapo Mwanasheria wa Klabu ya Simba, HOSEA CHAMBA amesema, Damaro na Yanga SC wao hawajafika, Sheria inaruhusu kwenda CAS Kama tusiporidhishwa Sakata la SIMBA...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tukio la Kipa wa Yanga, Diarra kuwaonesha Wanahabari kidole cha kati , imenikumbusha Chuji alivyofanya hivyo akafungiwa

    Nimeona clip ya Kipa wa Yanga, Djigui Diarra akioneshea kidole cha kati cha mkono wake wa kushoto kuelekea kwa Waandishi wa Habari waliokuwa wakiwarekodi Wachezaji wa timu hiyo wakati wakielekea katika basi ili kuondoka kwenye Uwanja wa Jamhuri baada ya matokeo ya sare ya 1-1 dhidi ya Mtibwa...
  3. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe kocha wa Yanga na viongozi ni maamuma

    Maamuma ni mtu mjinga asiye na akili kwa kufuata mawazo yake au Yale ya wengine.. Hilo kocha la Yanga kwa jina Pedro pamoja na viongozi wake , wote ni maamuma..Yaani kocha jinga linawachezaji 25+ ila linang'ang"ania walewale tu .. Na viongozi waliojitwika Ufalme juha wapo wapo tu wananing'inia...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba wana TFF Yanga wana Mungu, wote sare

    Hakuna mtu mwenye akili timamu ambae hajui kwamba TFF na Bodi ya ligi wana upogo kwenye kupanga ratiba za mechi, waamuzi na adhabu mbalimbali. Upogo wao huu haupangui matokeo ya ligi badala yake unazidi kuidhoofisha timu yao.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kocha wa Yanga hana sifa atafutwe kocha mwingine

    Amekosa mbinu za ushindi, Yanga haikabi wala haina kasi kama zamani Nashauri atafutwe Kocha mwingine haraka i ukweli hana uwezo kuivusha timu na ni Muda muafaka aachwe
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Zakazakazi: Siku Moja kabla ya mechi tulimkamata Mtu anapulizia dawa kwenye Vyumba vyetu Mkapa

    Msemaji wa Azam FC, Thabith Chumwi Zakaria (Zakazakazi), ameibuka na kauli kali akijibu malalamiko kutoka upande wa Young Africans S.C. (Yanga) kuhusu sakata la vyumba vya kubadilishia nguo uwanjani. Zakazakazi amesema wazi kuwa Yanga hawapaswi kutafuta sababu za nje kabla au baada ya mechi...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Full Time: NBC PL | Azam FC 0-0 Yanga SC | Mkapa Stadium | 15/03/2026

    Timu ya soka ya Azam leo inaikaribisha timu ya Yanga kwrnye mechi ya NBC PL kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Yanga yagoma kuingia vyumbani kuna harufu kali nzito...Kumeanza kuchangamka

    UPDATES 👇 Kikosi cha Young Africans kimegoma kuingia na Kukaa kwenye vyumba vya kubadilishia wakidai kuwa kuna harufu mbaya, inaelezwa Yanga SC wamepuliziwa dawa vyumbani. Yanga SC ni wageni kwenye mchezo wa leo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Azam FC, Benjamin Mkapa. Mr. Reporter
  9. Mzee makoti

    JamiiForums Tanzania Yanga na Azam wanacheza lini?

    Hivi Azam na yanga wanacheza lini?
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni ng'ombe wa maziwa wa mpira wa Tanzania, wapewe heshima yao.

    Hakuna timu ambayo inataka mechi yake ya nyumbani ya Simba na Yanga ichezwe saa 8 mchana. Hakuna mdhamini wa timu ambae anapenda mechi ya timu inayoidhamini icheze mechi zake na simba na yanga saa 8 mchana. Mwenye haki ya matangazo asilani hawezi kukubali mechi za simba na yanga zichezwe mchana...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Pigo kwa Yanga: Pacome, Job na Damaro kuikosa mechi ya Singida Black Stars Machi 5, 2026

    Mabingwa watetezi Young Africans (Yanga SC) watashuka dimbani Machi 5, 2026 katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Singida Black Stars bila wachezaji Watatu muhimu, jambo linalopelekea pigo kubwa kwa matumaini yao ya kutetea ubingwa. Yanga watakuwa bila kiungo wao, Pacome Zouzoua...
  12. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Simjui huyu Privaldinho wa Yanga, kaumia shambulio la watoto 60 Iran, kasahau Oktoba 29, watoto wa academy

    Naomba niongee, kistarabu kwa heshima ya mwezi mtukufu wa ramadhani, nimejikuta nikichukia baada ya kupita insta, ninekutana na huyu jamaa ambaye sijui anacheo gani hapo klabuni yanga labda kwa vile sio mfuatiliaji sana wa soka la bongo. Huyu kijana kaonesha kusikitishwa na kile kilichotokea...
  13. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Derby ya Simba na Yanga yakosa ufuatiliwaji mitandaoni kisa Vita ya IRAN

    Ukitizama uchambuzi wa mitandaoni sasa ni habari za Iran na Marekani na Israel. Hakuna uchambuzi au kelele au shamlashamla kuelekea mechi ya derby itakayopigwa jioni. Hakuna habari yoyote ya Bongo inayotrend kwa sasa
  14. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Yanga na Simba nani anakwenda kuibuka mshindi?

    Hivi game ya tarehe 1 march 2026 Yanga na Simba uawanja wa Aman Zanzibar unafikiri au unahisi nani anaenda kuibuka mahindi siku hiyo? 🙆🏾‍♂️
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Chakuwaambia tu Watanzania Yanga ni mbovu kama hujakutana nayo..usiombe ukutane nao - Masao Bwire

    yaan mzee anazeeka na ucheshi wakee leoo katufurahishaaa sana anakwambia yanga n mbovu kama hujakutana ukikutana nayo utaweza jutia kwa nn uliingia uwanjani HAHAHAA 😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 😂 😆 DON MASAU KWENYE UBORA WAKE
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga 5-0 JKT Tanzania | Ligi kuu ya NBC | KMC Complex | 25 Februari, 2025

    Yanga 5 VS JKT Tanzania 0 | Ligi kuu ya NBC | KMC Complex | 25 Februari, 2025 Mechi ipo live Salama zinatumwa Game over Yanga asimamisha Mnara wa 5G kwa JKT Tanzania Magoli ya Yanga yamefungwa na Mohamed Hussen, Depu, Dube, Mudathir na Shekhan
  17. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais kuwa mgeni rasmi kwenye mechi ya Yanga na Simba huko Zanzibar

    Raisi wa Tangabar anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye dabi ya kariakoo itakayopigwa tarehe 01/03/2026 katika uwanja wa Amaan huko Zanzibar.
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mashabiki Yanga jiandaeni kwa yote dabi, msiende na matokeo

    Kama Nabi na Gamondi waliwahi kufungwa na Ihefu, Tabora united na Simba kwa nyakati tofauti hata kocha Pedro anaweza kufungwa na Simba pia. Kama ikitokea hivyo haimaanishi Pedro hafai, hajui na anapaswa kufungashiwa virago vyake na kuondoka Yanga.
  19. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Oh my Lord, nahofu timu yangu ya Yanga kufungwa na Simba

    Kila dalili, hasa za ndani ya uwanja, yanga haiko sawa, inacheza shaghala baghala, wachezaji ni kama wamechoka, kila mtu analalamika. Kwa kifupi yanga haiko vizuri kabisa. Wa kutuokoa ni Mola tu
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TFF wanatafuta kampuni moja ya ubashiri mechi ya Yanga na Simba ya Machi 1, 2026

    Hapa maana yake ni kwamba hakuna kampuni ya betting itaruhusiwa kuweka mchezo wa Simba na Yanga bila idhini ama kibali kutoka TFF, ambapo wao watamuuzia mtu mmoja tu na wengine wote wanapaswa kwenda kununua kwa aliyeuziwa haki za mchezo huo husika. ==== Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania...
Back
Top Bottom