Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 25,021
- 45,132
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Hii siyo tetesi tena
Kijana kasha sain mkataba wa awali Yanga
Japo kuwa tajiri kasema kijana avunje mkataba kabisa alipe pesa Kisha asepe, lakin kijana amekataa anasema ngoja amalizie miezi yake sita iliyobaki ndo atue jangwani
Karbu jangwani kijana ukutani na mafundi wenzio akina Edmund john
LONDON BOY