Yanga wameharakisha mno kumtafuta mjenga uwanja

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,101
Reaction score
17,450
Kabla ya kutangaza tender ya nani atafadhili uwanja wao na namna ya kugawana mapato ya uwanja na mwekezaji walipaswa kuwa BOQ ya uwanja na aina ya biashara zinazotakiwa kuwepo na namna mfadhili atakavyorudisha pesa yake. Vitu vyote hivi vingekuwa sehemu ya tender ili wafadhili wajue kama wanamudu kujenga na wanakubali taratibu za mapato na matumizi ya uwanja.

Kujadili aina ya uwanja na aina ya biashara na mgawanyo wa mapato ya uwanja baada ya kumpata mwekezaji haipendezi na sio sawa. Hiyo ni after the facts, inayoweza kuhojiwa au aliyeshinda tender akaweza kujitoa kutokana yatakayojili kwenye mkutano kati ya mwekezaji na kamati ya yanga itakayojadili mambo hayo.
 
Haya masuala ya uwekezaji katika hizi timu za simba na yanga janja janja nyingi sana, na serikali inawaacha kwa makusudi ili iweze kuwa-blackmail baadae itakapohitaji kuwatumia kwa masilahi yao.

Maana hapo GSM akipishana na serikali uko mbeleni ataambiwa suala la uwanja halikufuata taratibu tunakupokonya, atalazimika kuwa mdogo sababu ashaingia gharama.

Sarakasi zile zile za mudi na simba. Unanunua hisa 51% za klabu wakati klabu haijawahi kufanyiwa valuation na kujulikana ina thamani gani. Finance ya wapi hii.
 
Mmmh!Kama kawaida yetu watanzania kila kitu tunajua sisi ko huo ushauri unawapa yanga kwamba hayo yote hamajui?
 
Haya masuala ya uwekezaji katika hizi timu za simba na yanga janja janja nyingi sana, na serikali inawaacha kwa makusudi ili iweze kuwa-blackmail baadae itakapohitaji kuwatumia kwa masilahi yao.

Maana hapo GSM akipishana na serikali uko mbeleni ataambiwa suala la uwanja halikufuata taratibu tunakupokonya, atalazimika kuwa mdogo sababu ashaingia gharama.

Sarakasi zile zile za mudi na simba. Unanunua hisa 51% za klabu wakati klabu haijawahi kufanyiwa valuation na kujulikana ina thamani gani. Finance ya wapi hii.
GSM alishindaje tender wakati quality ya uwanja na namna ya kurejesha fedha yake haijawekwa wazi? Vipi kama atashindwa baada ya kuonyeshwa BOQ na mgawanyo wa mapato kati yake na club, atajitoa au vipi?
 
In either case, lazima uwanja utakuwa usiozidi capacity ya watazamaji 10,000..wakijitahidi sana..
Hata akijenga mdhamini anaweza.
 
GSM alishindaje tender wakati quality ya uwanja na namna ya kurejesha fedha yake haijawekwa wazi? Vipi kama atashindwa baada ya kuonyeshwa BOQ na mgawanyo wa mapato kati yake na club, atajitoa au vipi?
Jambo ambalo lipo ni kwamba haiwezekani kutokea kushindwana na club kwasababu aliyepo kwaajili ya club anatokea upande wa GSM.
 
Kabla ya kutangaza tender ya nani atafadhili uwanja wao na namna ya kugawana mapato ya uwanja na mwekezaji walipaswa kuwa BOQ ya uwanja na aina ya biashara zinazotakiwa kuwepo na namna mfadhili atakavyorudisha pesa yake. Vitu vyote hivi vingekuwa sehemu ya tender ili wafadhili wajue kama wanamudu kujenga na wanakubali taratibu za mapato na matumizi ya uwanja.

Kujadili aina ya uwanja na aina ya biashara na mgawanyo wa mapato ya uwanja baada ya kumpata mwekezaji haipendezi na sio sawa. Hiyo ni after the facts, inayoweza kuhojiwa au aliyeshinda tender akaweza kujitoa kutokana yatakayojili kwenye mkutano kati ya mwekezaji na kamati ya yanga itakayojadili mambo hayo.
Madako'anokho! Wewe inakuhusu nini? Mavi usiyoyala wayawingiani kuku?
 
Maana hapo GSM akipishana na serikali uko mbeleni ataambiwa suala la uwanja halikufuata taratibu tunakupokonya, atalazimika kuwa mdogo sababu ashaingia gharama.
Kwani kuna mahali wanasema ataumiliki huo uwanja? Hebu tuache ujuaji kwa mambo yasiyotuhusu!
 
Kabla ya kutangaza tender ya nani atafadhili uwanja wao na namna ya kugawana mapato ya uwanja na mwekezaji walipaswa kuwa BOQ ya uwanja na aina ya biashara zinazotakiwa kuwepo na namna mfadhili atakavyorudisha pesa yake. Vitu vyote hivi vingekuwa sehemu ya tender ili wafadhili wajue kama wanamudu kujenga na wanakubali taratibu za mapato na matumizi ya uwanja.

Kujadili aina ya uwanja na aina ya biashara na mgawanyo wa mapato ya uwanja baada ya kumpata mwekezaji haipendezi na sio sawa. Hiyo ni after the facts, inayoweza kuhojiwa au aliyeshinda tender akaweza kujitoa kutokana yatakayojili kwenye mkutano kati ya mwekezaji na kamati ya yanga itakayojadili mambo hayo.
Alieshinda tenda ya kujenga uwanja ni kampuni ya mwekezaji,hivi ndivyo dhahabu yetu itakavyouzwa.
 
Haya masuala ya uwekezaji katika hizi timu za simba na yanga janja janja nyingi sana, na serikali inawaacha kwa makusudi ili iweze kuwa-blackmail baadae itakapohitaji kuwatumia kwa masilahi yao.

Maana hapo GSM akipishana na serikali uko mbeleni ataambiwa suala la uwanja halikufuata taratibu tunakupokonya, atalazimika kuwa mdogo sababu ashaingia gharama.

Sarakasi zile zile za mudi na simba. Unanunua hisa 51% za klabu wakati klabu haijawahi kufanyiwa valuation na kujulikana ina thamani gani. Finance ya wapi hii.
Mo ni TAPELI.

Kuhusu uwanja wa Yanga, itafahamika baada ya uwanja kukamilika ikajulikana mmiliki ,mwenye hati ni nani na na mgawanyo wa mapato ukoje.

GSM anajitolea sana hapo Yanga kwa kununua wachezaji wa bei kubwa, kulipa gharama za hostel na kutoa bonus za za mechi kubwa.

Huwezi kushangaa anapopewa kipaumbele. Jambo la msingi isiwe kwa kuumiza Club.
 
Alieshinda tenda ya kujenga uwanja ni kampuni ya mwekezaji,hivi ndivyo dhahabu yetu itakavyouzwa.
Mpaka sasa GSM hajawa mwekezaji bali mdhamini na mfadhili.
Amekuwaje mwekezaji wakati mchakato wa uwekezaji haujakamilika?
Kumbuka ukikamilika wanatakiwa wawekezaji watatu au zaidi kwa mujibu wa katiba mpya.
Unaweza kuniambia GSM amewekeza asilimia ngapi na hicho kiasi ni shilingi ngapi?
Hapa umepotosha kwa kutojua au kwa makusudi.
Simba pekee ndiyo mwekezaji ameshanunua hisa 49% tayari.
 
Kwa zama hizi za sisiemu yani deal ikiwashwa ujue deal ilishafanyika, inawekwa wazi tu muda umefika
 
Mo ni TAPELI.

Kuhusu uwanja wa Yanga, itafahamika baada ya uwanja kukamilika ikajulikana mmiliki ,mwenye hati ni nani na na mgawanyo wa mapato ukoje.

GSM anajitolea sana hapo Yanga kwa kununua wachezaji wa bei kubwa, kulipa gharama za hostel na kutoa bonus za za mechi kubwa.

Huwezi kushangaa anapopewa kipaumbele. Jambo la msingi isiwe kwa kuumiza Club.
Kujitolea bila makubaliano maalumu kwa anaejitolea kuweka wazi anataka nini kunaweza kuleta mgogoro baadae atakapotaka compensation ya kujitolea kwake. Nia njema inawezekana kabisa ikatendeka kwa kufuata utaratibu.

Kesi ya mudi na simba ipo hivi hivi. Jamaa alianza kutoa mzigo kabla ya makubaliano
 
Back
Top Bottom