Yanga na Simba nani anakwenda kuibuka mshindi?

Yanga na Simba nani anakwenda kuibuka mshindi?

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
314
Reaction score
647
Hivi game ya tarehe 1 march 2026 Yanga na Simba uawanja wa Aman Zanzibar unafikiri au unahisi nani anaenda kuibuka mahindi siku hiyo? 🙆🏾‍♂️
images (2).jpeg
 
Simba kuifunga Yanga au kuchukua ubingwa ni hadi Samia atoke madarakani. Hata hivyo tusipoteze muda kwa mataptap ya Kariakoo.
 
Back
Top Bottom