Kwahiyo PhD ya Mwenyekiti wa Yanga Msolla ilikuwa inasubiri hadi Waumbuliwe na Wachezaji ndipo wakiri Njaa Kali Jangwani?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,920
Kwa mujibu wake mwenyewe amesema kwamba hali ya Kiuchumi ya Yanga SC ni mbaya kutokana na sababu hizi zifuatazo:

Yanga SC inadaiwa na TRA
Yanga SC inadaiwa na Wachezaji wa Kigeni
Yanga SC inadaiwa na Makocha ( walioondoka na waliopo )
Yanga SC inadaiwa na Wachezaji wao walioondoka ndani ya miaka 5 hadi 7 iliyopita
Yanga SC inadaiwa na Taasisi na Makampuni binafsi
Yanga SC inadaiwa na Watu binafsi
Yanga SC inadaiwa na Waganga wa Kienyeji mbalimbali

Kinachonishangaza ni huyu huyu Mwenyekiti wa Yanga SC na Makamu wake miezi michache tu iliyopita walikuwa ‘ Wakijimwambafai ‘ kabisa kuwa Yanga SC ina Hela za Kutosha na kwamba sasa haina shida na iko vyema kwani Pesa zinaongea na wanazo.

Halafu aliye karibu na Mwenyekiti wa Yanga SC ' Mwanazuoni ' Dkt. Mshindo Msolla amwambie ya kwamba aache ' Kujiaibisha ' kuhusu Suala la Mchezaji wao Raia wa Ghana Beki Lamine Moro kwamba bado wana Mkataba nae wakati Sheria za FIFA ziko wazi tu kwamba kama Timu yoyote ile ikishindwa Kumlipa Mchezaji wake kwa Miezi Mitatu mfululizo basi hapo ' automatically ' Mkataba wake unakuwa umevunjika na ana Uhuru wa Kuachana na hiyo Klabu.

Sikutegemea Mtu kama Dkt. Mshindo Msolla nae angekuwa ' Mtupu ' hivi kwa Masuala ya Soka na hasa kuhusu Mikataba ya Wachezaji wa Vilabu ambayo iko wazi tu hata katika Mtandao wa FIFA na angeweza kwenda Kuangalia huko Kwanza ili ajiridhishe ndipo akazungumze kuliko ' alivyojdhalilisha ' na ' kujichoresha ' leo.

Yanga SC wasilazimishe na wala wasishikilie bango suala ya huyo Beki Lamine Moro kwakuwa tu wamejua kuwa ameshamalizana na Wapizani Wao wakubwa Simba Sports Club ila wajue ya kwamba Siku zote hata Mwanamke akija Kwako Kuishi nawe na akiona humtimizii Mahitaji yake basi akiona Fursa nuyingine kwa Mwanaume yoyote yule akitongozwa nae tu na kupewa Ahadi nyingi ( Lukuki ) atakukimbia na ndicho alichokifanya Beki Lamine Moro.

Vumilieni na pambaneni tu wenyewe kwani mlivyokuwa mkiambiwa muwaige Simba SC Kimaendeleo mlikuwa mnatununia.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 watu wamepuuzia huu upuuzi. Nlikwambia jana. Watu wameshakudharau wameona kichwani huna kitu. Nishukuru mimi angalau nmekuanzishia mchango.mbaya sana unapodharaulika.unaongea kila mtu anakuwa kama hakusikii wanaendelea na stories zao tu.nlisema wewe bwege mtozeni
 
Jamaa wameshaliona punga kutwa kucha kuropoka kuhusu Yanga,yaani linashindwa hata kutawaza vizuri muda wote linawaza negatives za Yanga matokeo yake linatuna post zenye harufu Kali ya kinyesi chake asichotawaza vizuri, IDIOT
watu wamepuuzia huu upuuzi. Nlikwambia jana. Watu wameshakudharau wameona kichwani huna kitu. Nishukuru mimi angalau nmekuanzishia mchango.mbaya sana unapodharaulika.unaongea kila mtu anakuwa kama hakusikii wanaendelea na stories zao tu.nlisema wewe bwege mtozeni
 
Kwa mujibu wake mwenyewe amesema kwamba hali ya Kiuchumi ya Yanga SC ni mbaya kutokana na sababu hizi zifuatazo:

Yanga SC inadaiwa na TRA
Yanga SC inadaiwa na Wachezaji wa Kigeni
Yanga SC inadaiwa na Makocha ( walioondoka na waliopo )
Yanga SC inadaiwa na Wachezaji wao walioondoka ndani ya miaka 5 hadi 7 iliyopita
Yanga SC inadaiwa na Taasisi na Makampuni binafsi
Yanga SC inadaiwa na Watu binafsi
Yanga SC inadaiwa na Waganga wa Kienyeji mbalimbali

Kinachonishangaza ni huyu huyu Mwenyekiti wa Yanga SC na Makamu wake miezi michache tu iliyopita walikuwa ‘ Wakijimwambafai ‘ kabisa kuwa Yanga SC ina Hela za Kutosha na kwamba sasa haina shida na iko vyema kwani Pesa zinaongea na wanazo.

Halafu aliye karibu na Mwenyekiti wa Yanga SC ' Mwanazuoni ' Dkt. Mshindo Msolla amwambie ya kwamba aache ' Kujiaibisha ' kuhusu Suala la Mchezaji wao Raia wa Ghana Beki Lamine Moro kwamba bado wana Mkataba nae wakati Sheria za FIFA ziko wazi tu kwamba kama Timu yoyote ile ikishindwa Kumlipa Mchezaji wake kwa Miezi Mitatu mfululizo basi hapo ' automatically ' Mkataba wake unakuwa umevunjika na ana Uhuru wa Kuachana na hiyo Klabu.

Sikutegemea Mtu kama Dkt. Mshindo Msolla nae angekuwa ' Mtupu ' hivi kwa Masuala ya Soka na hasa kuhusu Mikataba ya Wachezaji wa Vilabu ambayo iko wazi tu hata katika Mtandao wa FIFA na angeweza kwenda Kuangalia huko Kwanza ili ajiridhishe ndipo akazungumze kuliko ' alivyojdhalilisha ' na ' kujichoresha ' leo.

Yanga SC wasilazimishe na wala wasishikilie bango suala ya huyo Beki Lamine Moro kwakuwa tu wamejua kuwa ameshamalizana na Wapizani Wao wakubwa Simba Sports Club ila wajue ya kwamba Siku zote hata Mwanamke akija Kwako Kuishi nawe na akiona humtimizii Mahitaji yake basi akiona Fursa nuyingine kwa Mwanaume yoyote yule akitongozwa nae tu na kupewa Ahadi nyingi ( Lukuki ) atakukimbia na ndicho alichokifanya Beki Lamine Moro.

Vumilieni na pambaneni tu wenyewe kwani mlivyokuwa mkiambiwa muwaige Simba SC Kimaendeleo mlikuwa mnatununia.
Hawa jamaa waliikejeli sana simba mpaka wakaja na maneno yao kusema yanga ya wananchi na simba ya mtu mmoja. Sasa wananchi wanashindwa kuisaidia timu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lamine Moro ni beki wa ovyo kabisa...enzi za Canavaro hapati namba mchukueni mikia control chumba
 
Kwa mujibu wake mwenyewe amesema kwamba hali ya Kiuchumi ya Yanga SC ni mbaya kutokana na sababu hizi zifuatazo:

Yanga SC inadaiwa na TRA
Yanga SC inadaiwa na Wachezaji wa Kigeni
Yanga SC inadaiwa na Makocha ( walioondoka na waliopo )
Yanga SC inadaiwa na Wachezaji wao walioondoka ndani ya miaka 5 hadi 7 iliyopita
Yanga SC inadaiwa na Taasisi na Makampuni binafsi
Yanga SC inadaiwa na Watu binafsi
Yanga SC inadaiwa na Waganga wa Kienyeji mbalimbali

Kinachonishangaza ni huyu huyu Mwenyekiti wa Yanga SC na Makamu wake miezi michache tu iliyopita walikuwa ‘ Wakijimwambafai ‘ kabisa kuwa Yanga SC ina Hela za Kutosha na kwamba sasa haina shida na iko vyema kwani Pesa zinaongea na wanazo.

Halafu aliye karibu na Mwenyekiti wa Yanga SC ' Mwanazuoni ' Dkt. Mshindo Msolla amwambie ya kwamba aache ' Kujiaibisha ' kuhusu Suala la Mchezaji wao Raia wa Ghana Beki Lamine Moro kwamba bado wana Mkataba nae wakati Sheria za FIFA ziko wazi tu kwamba kama Timu yoyote ile ikishindwa Kumlipa Mchezaji wake kwa Miezi Mitatu mfululizo basi hapo ' automatically ' Mkataba wake unakuwa umevunjika na ana Uhuru wa Kuachana na hiyo Klabu.

Sikutegemea Mtu kama Dkt. Mshindo Msolla nae angekuwa ' Mtupu ' hivi kwa Masuala ya Soka na hasa kuhusu Mikataba ya Wachezaji wa Vilabu ambayo iko wazi tu hata katika Mtandao wa FIFA na angeweza kwenda Kuangalia huko Kwanza ili ajiridhishe ndipo akazungumze kuliko ' alivyojdhalilisha ' na ' kujichoresha ' leo.

Yanga SC wasilazimishe na wala wasishikilie bango suala ya huyo Beki Lamine Moro kwakuwa tu wamejua kuwa ameshamalizana na Wapizani Wao wakubwa Simba Sports Club ila wajue ya kwamba Siku zote hata Mwanamke akija Kwako Kuishi nawe na akiona humtimizii Mahitaji yake basi akiona Fursa nuyingine kwa Mwanaume yoyote yule akitongozwa nae tu na kupewa Ahadi nyingi ( Lukuki ) atakukimbia na ndicho alichokifanya Beki Lamine Moro.

Vumilieni na pambaneni tu wenyewe kwani mlivyokuwa mkiambiwa muwaige Simba SC Kimaendeleo mlikuwa mnatununia.
Tuliia wewe mikia FC.
 
Back
Top Bottom