Yanga mpende msipende lazima turudi kwenye bakuli

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,362
7,683
Kwa yaliyotolewa na mwenyekiti wa klabu ya Yanga,aisee inasikitisha,boat inaendelea kuzama

Hali ya kipesa ni mbaya zaidi kwenye klabu hii ya wananchi

Madeni zaidi ya bilioni 2 ni hatari hata kama ni mwekezaji ataogopa madeni ya Yanga

Tunaomba uongozi wa Yanga urudishe bakuli kwa wananchi kuokoa jahazi

Tarehe 4 January nitasafuri nje ya nchi kwa wiki
 
Kuna wakati niliwaambia wanasimba wenzangu kwamba tusimtegemee mtu mmoja ili kuendesha timu , aweza kupata misukosuko ama hata akaamua kutuacha tu kwa hiyari yake , tutajuta !

Yanayoikuta Yanga kwa sasa baada ya Yusuph Manji kuondoka ni mfano halisi , wachezaji wanashindwa kunywa hata chai na maandazi , inafikia timu inalala kwenye coaster baada ya mahotel yote kuikataa kutokana na madeni .

FB_IMG_1575977258509.jpg

Msingi wa Yanga ni Wananchi, Yanga si ya Mhindi,wala Mwarabu, Yanga ni Nchi kamili na Nchi kuwana madeni ni jambo la kawaida. Ata kama yanga itapitisha Bakuli ki msingi iyotimu ni yao. Viongozi wanapita Yanga ipo. Kinachotakiwa viongozi waakishirikiana na Wananchi watafute namna ya kuikwamua Yanga apo ilipo. Kihistoria Yanga imeshakutana na Dhoruba nyingi lakini huwa inapita Salama. Ata katika dhoruba hii ya kiuchumi watapita salama. Yanga haijawai kushindwa.
Wakati Simba inapitia katika hali kama hii 1987, 1988, 1989, mara zote 3 ili bebwa isishuke daraja na moja ya timu iliyo ibeba Simba ni Yanga 1989 kwa goli la John Makelele alilo zawadiwa na sahau kambi.
Yanga wao wanahalimbaya ya ukata lakini mwaka 2018/2019 walishika nafasi ya pili. Iyo ndio tofauti kubwa ya Yanga na Simba, Haijalishi Yanga inapitia Magumu kiasi gani lakini sikuzote wao wanashindania Ubingwa.
 
Hapa dawa ni kumshawishi Rostam Azizi awe mdau wa Yanga, ama kwa Kumpa u
Uenyekiti au Ufadhiri.
Viongozi wanaotakiwa sasa kuendecha vilabu ni wenye uwezo.
Na sio Mengine.
 
Kuna wakati niliwaambia wanasimba wenzangu kwamba tusimtegemee mtu mmoja ili kuendesha timu , aweza kupata misukosuko ama hata akaamua kutuacha tu kwa hiyari yake , tutajuta !

Yanayoikuta Yanga kwa sasa baada ya Yusuph Manji kuondoka ni mfano halisi , wachezaji wanashindwa kunywa hata chai na maandazi , inafikia timu inalala kwenye coaster baada ya mahotel yote kuikataa kutokana na madeni .

View attachment 1287683
View attachment 1287685
Simba haiendeshwi kwa mfumo wa Manji Comrade au unajisahaulisha?
Manji aliifanya chura churani kuwa dhamana ya mikopo yake kila kitu alikuwa anafanya yeye bila maandishi.
.
Mfano mzuri Simba SC imetenga billion 6+ kwa ajili ya sajili 2019/2020 wakati huo wanajua wataingiza billion 5+ kwenye vyanzo vya mapato mbalimbali vya klabu, na hili linatokea kutokana na timu kuwa na mashindano machache na yasiyo na fedha nyingi.
.
Muwekezaji wetu bwana Dewji anatoa pesa kutoka kwenye ule uwekezaji wake ndani ya klabu ambazo anafanyia biashara na pia anatoa pesa zingine kama shabiki au mwanachama anavyoweza kutoa kusaidia club hivyo ikitokea siku kaondoka kivyovyote Simba itaendelea kuwa under MeTL pamoja na Simba sports club company mpaka itakapoamuliwa vinginevyo!
 
Simba inamiliki nini ? vitega uchumi , kiwanja au chochote ? namaanisha akiondoka Mo mishahara italipwa ?
 
Bilioni 6 ni bajeti ya mwaka mzima. Hapo usajili, kambi, mishahara yote, maintenance, usafiri na mengineyo.
Vilevile, Simba haina income ya 5B. Timu zote hizi mbili zinaendeshwa kwa hasara na baada ya miaka kama mitano, Simba itakuwa inaendeshwa kwa madeni kwa sababu muwekezaji hatopata faida.
Madeni, ndiyo yatakayoibinafsisha Simba completely. Sawa na Arsenal na Ibrahimovich (almost 1.5B Pounds in debt).
Ila, kama CEO na wanasimba, hata wanayanga wakiwa more enterpreneurial wataanza kupata faida. Otherwise, same old story.
Inawekwa 20B na Tajiri kwenye treasuries, halafu ndiyo mnaendesha team. Not enterpreneurial and not sustainable at all.
 
Inawezekana, Kuna uzi humu unaeleza matumizi ya hiyo billion 6 na yatatumika kwa 2019/2020
Million 74 na kitu ni kwa ajili ya usajili wa hili dirisha dogo mwezi January.
Billion 4+ ni kwa ajili ya mishahara.
Million 400+ ni kwa ajili ya bonus.
.
Yote hii ni kuhakikisha kikombe kinarejea.

Hii biashara kichaa aliifanya msimu uliopita tu na aliweka wazi kuwa klabu inaendeshwa kwa hasara.
Simba ina uwezo wa kukusanya zaidi ya billion 10 kwa msimu mzima kwenye vyanzo vyake vyote.
1. Jengo la Simba
2. Mauzo ya jezi rasmi.
3. Viingilio katika mechi. (Hili ndilo linatuangusha kwa sababu hatuna mashindano mengi yenye mvuto angalau tungekuwepo bado CAF)
4. Ada ya mwanachama.
5. Matumizi mbalimbali ya timu zingine uwanjani kwetu (Mo Simba Arena)
Na mengine mengi sana

Hili haliwezi kutokea hivi karibuni kabisa, nazungumza kama mwanachama sasa.

Mwenyekiti wa klabu ya Simba ndg Mwina Kaduguda ili si jambo lake hili ni jambo la Senzo na ndicho kimojawapo kati ya vilivyomleta kaanza na kupunguza matumizi makubwa ya club kwa kumtoa aussems hivyo klabu itakuwa stable kiuchumi katika muda huu ambako hatuna mashindano mengi kama timu.

Timu haiendeshwi na 20B, timu inaendeshwa na wanachama kwa fedha za wanachama hizo 20B ziko kwa ajili ya kui_boost club kwenda mbele na mpaka sasa haijatumika hata senti 1!
 
Simba inamiliki nini ? vitega uchumi , kiwanja au chochote ? namaanisha akiondoka Mo mishahara italipwa ?
😝😝😝 come on!
Swali la kwanza, la pili na la tatu nayajibu kwa pamoja.
Simba SC inamiliki viwanja vyake, Simba SC ina kitega uchumi chake kiko Msimbazi nalo ni jengo la klabu, Simba ina kitega uchumi kikubwa sana nao ni sisi wanachama pamoja na mashabiki.
Kitega uchumi kingine ni hivyo viwanja pale timu mbalimbali zitacheza mechi mfano Twiga stars hawa hawaitaji kiwanja kikubwa, hata timu za taifa kufanya training pale.
.
Mo akiondoka mishahara italipwa?
Yes italipwa Simba haimtegemei Mo wala fedha zake ndio maana hata katila huu uwekezaji wake fedha zinaingizwa kwenye akaunti ya klabu na zitakuwa monitored (bado hazijaingizwa) Mo ni sehemu ya wanachama ambao kila mwaka tunatoa ada.
Fedha za jengo, viingilio vya mechi, ada za wanachama na fedha za pioneers klabu lazima iende.
.
BTW Mo kaonyesha njia akitoka yeye (kitu ngumu kutokea maana MeTL iko pale tayari ) watu hawalazi damu wanashika hiyo nafasi
 
Lile jengo la Simba pale msimbaz kwa taharifayako wajanja walishachukua kodi mbaka 2025 yale maduka hakuna kodi yoyote ambayo klabu imepata pesa imeingia kwenye mifuko ya watu binafasi. Ada wanazolipa Simba Wanachama wote kwa mwaka haifiki milion 100.

MO Pekee ndie kitegauchumi cha Simba siku ambayo MO anajiondoa Simba ndio siku simba inarudi katika hali yake ya Asili. Usiwe mbumbumbu kiasi cha kutoliona ilo. MO kwa sasa timu anaigharamia uku akipata hasara. Kama klabu itasoma hasara miaka mitatu mfululizo, MO ata tafuta sababu atakimbia.
come on!

Wewe ni Redio mbao au Redio umbea?
 
Hii biashara kichaa aliifanya msimu uliopita tu na aliweka wazi kuwa klabu inaendeshwa kwa hasara.
Simba ina uwezo wa kukusanya zaidi ya billion 10 kwa msimu mzima kwenye vyanzo vyake vyote.
1. Jengo la Simba
2. Mauzo ya jezi rasmi.
3. Viingilio katika mechi. (Hili ndilo linatuangusha kwa sababu hatuna mashindano mengi yenye mvuto angalau tungekuwepo bado CAF)
4. Ada ya mwanachama.
5. Matumizi mbalimbali ya timu zingine uwanjani kwetu (Mo Simba Arena)
Na mengine mengi sana
Hiyo siyo breakdown halisi, ni kama wishlist au Letter to Santa.
Hebu breakdown kila kipengele hapo kitaingiza kiasi gani. Halafu ondoa neno "mengineyo mengi sana" Thats like saying if people had wheels, I'd be a tricycle.
Timu haiendeshwi na 20B, timu inaendeshwa na wanachama kwa fedha za wanachama hizo 20B ziko kwa ajili ya kui_boost club kwenda mbele na mpaka sasa haijatumika hata senti 1!
Hii statemet
1. Haijibu kwa sababu hujaelewa nichozungumza.
2. Inaku-expose kwa kiasi fulani, kwamba humuelewi kama walivyo 95% ya wanasimba wasivyomuelewa Mo Dewji. Not good.
 
Igweeeeeeeeee big up mkuu umeongea kwa mifano hai kabisa
Msingi wa Yanga ni Wananchi, Yanga si ya Mhindi,wala Mwarabu, Yanga ni Nchi kamili na Nchi kuwana madeni ni jambo la kawaida. Ata kama yanga itapitisha Bakuli ki msingi iyotimu ni yao. Viongozi wanapita Yanga ipo. Kinachotakiwa viongozi waakishirikiana na Wananchi watafute namna ya kuikwamua Yanga apo ilipo. Kihistoria Yanga imeshakutana na Dhoruba nyingi lakini huwa inapita Salama. Ata katika dhoruba hii ya kiuchumi watapita salama. Yanga haijawai kushindwa.
Wakati Simba inapitia katika hali kama hii 1987, 1988, 1989, mara zote 3 ili bebwa isishuke daraja na moja ya timu iliyo ibeba Simba ni Yanga 1989 kwa goli la John Makelele alilo zawadiwa na sahau kambi.
Yanga wao wanahalimbaya ya ukata lakini mwaka 2018/2019 walishika nafasi ya pili. Iyo ndio tofauti kubwa ya Yanga na Simba, Haijalishi Yanga inapitia Magumu kiasi gani lakini sikuzote wao wanashindania Ubingwa.
 
Wewe jamaa ni popoma wa kiwango cha PhD layman on his best
Inawezekana, Kuna uzi humu unaeleza matumizi ya hiyo billion 6 na yatatumika kwa 2019/2020
Million 74 na kitu ni kwa ajili ya usajili wa hili dirisha dogo mwezi January.
Billion 4+ ni kwa ajili ya mishahara.
Million 400+ ni kwa ajili ya bonus.
.
Yote hii ni kuhakikisha kikombe kinarejea.

Hii biashara kichaa aliifanya msimu uliopita tu na aliweka wazi kuwa klabu inaendeshwa kwa hasara.
Simba ina uwezo wa kukusanya zaidi ya billion 10 kwa msimu mzima kwenye vyanzo vyake vyote.
1. Jengo la Simba
2. Mauzo ya jezi rasmi.
3. Viingilio katika mechi. (Hili ndilo linatuangusha kwa sababu hatuna mashindano mengi yenye mvuto angalau tungekuwepo bado CAF)
4. Ada ya mwanachama.
5. Matumizi mbalimbali ya timu zingine uwanjani kwetu (Mo Simba Arena)
Na mengine mengi sana

Hili haliwezi kutokea hivi karibuni kabisa, nazungumza kama mwanachama sasa.

Mwenyekiti wa klabu ya Simba ndg Mwina Kaduguda ili si jambo lake hili ni jambo la Senzo na ndicho kimojawapo kati ya vilivyomleta kaanza na kupunguza matumizi makubwa ya club kwa kumtoa aussems hivyo klabu itakuwa stable kiuchumi katika muda huu ambako hatuna mashindano mengi kama timu.

Timu haiendeshwi na 20B, timu inaendeshwa na wanachama kwa fedha za wanachama hizo 20B ziko kwa ajili ya kui_boost club kwenda mbele na mpaka sasa haijatumika hata senti 1!
 
Natamani kutapika kwa haya matakataka uliyoandika humu,
come on!
Swali la kwanza, la pili na la tatu nayajibu kwa pamoja.
Simba SC inamiliki viwanja vyake, Simba SC ina kitega uchumi chake kiko Msimbazi nalo ni jengo la klabu, Simba ina kitega uchumi kikubwa sana nao ni sisi wanachama pamoja na mashabiki.
Kitega uchumi kingine ni hivyo viwanja pale timu mbalimbali zitacheza mechi mfano Twiga stars hawa hawaitaji kiwanja kikubwa, hata timu za taifa kufanya training pale.
.
Mo akiondoka mishahara italipwa?
Yes italipwa Simba haimtegemei Mo wala fedha zake ndio maana hata katila huu uwekezaji wake fedha zinaingizwa kwenye akaunti ya klabu na zitakuwa monitored (bado hazijaingizwa) Mo ni sehemu ya wanachama ambao kila mwaka tunatoa ada.
Fedha za jengo, viingilio vya mechi, ada za wanachama na fedha za pioneers klabu lazima iende.
.
BTW Mo kaonyesha njia akitoka yeye (kitu ngumu kutokea maana MeTL iko pale tayari ) watu hawalazi damu wanashika hiyo nafasi
 
MO akitoka pale simba inakuwa muflis kbs...

wanasimba wajifunze somo la manji na yanga.
 
Kwa yaliyotolewa na mwenyekiti wa klabu ya Yanga,aisee inasikitisha,boat inaendelea kuzama

Hali ya kipesa ni mbaya zaidi kwenye klabu hii ya wananchi

Madeni zaidi ya bilioni 2 ni hatari hata kama ni mwekezaji ataogopa madeni ya Yanga

Tunaomba uongozi wa Yanga urudishe bakuli kwa wananchi kuokoa jahazi

Tarehe 4 January nitasafuri nje ya nchi kwa wiki
mambo love?
 
Back
Top Bottom