Yanga wamesajili mafia

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,479
12,741
Huko Jangwani kasajiliwa Mchezaji Mghana Bernad Morrison aliyewahi kuchezea Orlando Pirates chini ya Kocha Micho. Kinachoongelewa zaidi ni tabia za Mchezaji huyo kuwahi kushiriki matukio ya kihalifu alipokuwa Afrika kusini ikiwemo kukamatwa na Magari ya Wizi hatua iliyofanya awekwe Korokoroni huko bondeni hatua iliyoifedhehesha timu yake na hatimaye kumpiga chini.

Sasa huyo Kibaka baada ya kukosa timu kwa muda mreefu kwa tabia zake hizo za Udokozi katua kwenye Vyura FC. Sina budi kumkumbusha Kamanda Mambo sasa kuanza kufuatilia vema mtandao wa huyu jamaa kabla mabaya hayajatokea kwa Watanzania Wapenda amani. Jasiri haachi asili, Shetani haji kuwa malaika.
IMG-20200115-WA0035.jpg
 
View attachment 1324163
Kheri ya kibaka kuliko mlozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FB_IMG_1579092363536.jpg

Mwenyekiti wenu wazamani Rage unajua alihukumiwa Jela? Kwenye maisha unaweza kutana na jambo lolote inaweza kuwa kweli au kusingiziwa.

Ungeanza kwanza na roporopo wenu.....
 
Kama ni hivyo basi angehukumiwa na mahakama ya huko. Hapa hapa bongo, Juzi kuna mtu alikamatwa na wizi wa gari na baada ya uchunguzi ikaonekana kuwa gari hiyo ameinunua kihalali kwa agent ila kwa tamaa huyo agent akamwambia mwenye gari kuwa imeibiwa.
 
View attachment 1324164

Mwenyekiti wenu wazamani Rage unajua alihukumiwa Jela? Kwenye maisha unaweza kutana na jambo lolote inaweza kuwa kweli au kusingiziwa.

Ungeanza kwanza na roporopo wenu.....
Nyie jiteeteeni lkn huko kuzomewa kwa huyo mghana kutakuwa siyo kwa Nchi hii pale Taifa, mwaka huu ataitwa majina yoote ya Kihalifu mnaloooo
 
Kama ni hivyo basi angehukumiwa na mahakama ya huko. Hapa hapa bongo, Juzi kuna mtu alikamatwa na wizi wa gari na baada ya uchunguzi ikaonekana kuwa gari hiyo ameinunua kihalali kwa agent ila kwa tamaa huyo agent akamwambia mwenye gari kuwa imeibiwa.
Gooogle usome zaidi, alikuwa akimiliki genge la Uhalifu. Hiyo taarifa imefipishwa zaidi na kufanyiwa filtering kwa kifupi jamaa alikuwa temboo kule SA. Hayo mambo ya kutofungwa Klabu inajua ilifanya nini yenyewe
 
Ina maana klabu yake ilizuia mahakama isifanye kazi yake????
 
Wewe ndiyo source yangu leta habari timilifu humu jamvini.
Klabu yake ilikaa meza moja na aliyekuwa amefanyiwa Uhalifu wa kuibiwa Gari na Fedha, akalipwa chake akaenda Mahakamani kuiondoa kesi. Lkn huyu mchezaji na genge lake walipigwa ban huko South baada ya hii kesi kumalizwa kibabe au kimjini mjini.
Ungekua unakijua kizulu ningekupa Charts za Mashabiki wa Pirate baada ya hili tukio ungenielewa. Nimeleta kama tahadhari kwetu sote na sio Ushabiki, ni kitu cha kweli kimetokea.
Soma mtandao wa soka wa SA www.soccerladuma.co.za
tafuta huu mkasa wake utaupata kwa kina.
 
Huko Jangwani kasajiliwa Mchezaji Mghana Bernad Morrison aliyewahi kuchezea Orlando Pirates chini ya Kocha Micho. Kinachoongelewa zaidi ni tabia za Mchezaji huyo kuwahi kushiriki matukio ya kihalifu alipokuwa Afrika kusini ikiwemo kukamatwa na Magari ya Wizi hatua iliyofanya awekwe Korokoroni huko bondeni hatua iliyoifedhehesha timu yake na hatimaye kumpiga chini.

Sasa huyo Kibaka baada ya kukosa timu kwa muda mreefu kwa tabia zake hizo za Udokozi katua kwenye Vyura FC. Sina budi kumkumbusha Kamanda Mambo sasa kuanza kufuatilia vema mtandao wa huyu jamaa kabla mabaya hayajatokea kwa Watanzania Wapenda amani. Jasiri haachi asili, Shetani haji kuwa malaika.
View attachment 1324163
Si amekamatwa (arrested) tu? Bila ya shaka kama angefungwa kabisa usingeshindwa kuwasilisha. Sasa kumbuka kuwa mfungaji bora wa Kombe la Dunia 1982 alikuwa mfungwa kabisa. Alitolewa gerezani baada ya mwalimu wa Timu ya Taifa, Bruno Conti, kulalamika kwamba hana matumaini ya timu kufanya vizuri bila ya Rossi. Iambie na dunia basi kuhusu hilo.
 
Lazima Watanzania waelewe tabia zake yasije kujirudia ya SA. Kama ni mazuri yasemwe na kama ni mabaya pia ni vema tutahadharishane siyo kwa ubaya.
 
Tabia za kuzushiwa? Za kushindwa kutofautisha baina ya kukamatwa na kutiwa hatiani? Za kushindwa kujua kanuni ya msingi ya haki ya mwanadamu ya ‘innocent until proven guilty (by the relevant legal system)? Ya kushindwa kufuatilia kwa undani na kubaini kwamba alinunua kihalali gari lililokuwa limeporwa? Give me and fellow JF serious members a break!
 
Lazima Watanzania waelewe tabia zake yasije kujirudia ya SA. Kama ni mazuri yasemwe na kama ni mabaya pia ni vema tutahadharishane siyo kwa ubaya.
Ghanaian footballer Bernard Morrison, who plays for Orlando Pirates, has been arrested in South Africa for being in possession of a stolen car and he is facing charges of robbery.

The attacking winger, who plays for PSL giants Orlando Pirates, was reportedly arrested on Tuesday morning by the ruthless police in the country.

According to the Daily Sun the midfielder was arrested while he was driving the car he recently acquired and his arrest has come as a shock because of his religious nature.
The Ghanaian-born is believed to have been detained at the Douglasdale Police Station in Randburg where he faces charges of robbery.

The player reportedly brought a car through an agent, but the agent didn’t pay the instalments.

Morrison has struggled since joining Bucs at the start of the season from DRC club
Source: Ghanasoccer.com
 
Mtoa hoja umeitoa kama waandishi wa gazeti la TAZAMA,kisheria elewa kuwa upo innocent until proven quilty by court of law,sasa kama kesi hii au tuhuma hizi hazikuthibitishwa mahakamani na kuhukumia huyu jamaa ni innocent ,mtoa hoja acha kuwa na roho mbaya always FACTS zibakie hivyo,na kama alihukumiwa basi huyu jamaa ana criminal records against his name kwa hiyo asingeweza kupata usajili unless President wa nchi he pardon him.
 
Soma post no 13 nimeweka link ufuatilie mwenyewe utapata majibu. Kessi yake iliondolewa mahakamani baada ya maelewano ya kimjini mjini na mshitaki. Acheni kujadili hojja kishabiki tuijadili kwa mawanda mapana tatizo mmejaza toppe kwenye Vichwa vyenu nyie akili nenu zoote ameondoka nazo Mzeee Akilimali mweee
 
Back
Top Bottom