Kumbe Hatuchezi ni project ya CCM kuitumia Yanga kujaribu kupotezea moto wa majadiliano ya NO REFORMS NO ELECTION?
Kama ni hivyo viongozi wa Yanga wanataka huo ubunge kwa kupitia damu za wana yanga wanaotekwa na kuuwawa au ndugu zao.
Kila mwana Yanga mwenzangu nwenye akili timamu asikubali...
Press ya Yanga muda huu,
Pamoja na kuendelea kugomea mechi ya Derby ya Tar 15 June 2025, msemaji amesema hawatacheza mechi ya fainali iwapo hawatalipwa pesa za ushindi wa kombe la CRDB la msimu uliopita.
"Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu...
Ukiisikiliza hoja za yanga Kuna baadhi zina maslahi Kwa mpira wetu na zingine hazina maslahi kwa mpira bali zina maslahi Kwa timu yao, nafikiria kama kiongozi mkubwa wa serikali aliwaamuru walinzi wasiwafungulie geti Simba Sc siku moja kabla ya mechi ni dhahiri kuwa mpira wetu una uhusiano wa...
https://www.youtube.com/live/5nhKldXzqtQ?si=VuEACJPdOlKVtZpt
Kwenye kikao chetu tuliuliza pia kuhusu ripoti ya kilichotokea Machi 8, na CEO wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo akakiri kuwa ripoti wanayo na kuna kiongozi mkubwa wa Serikali alipiga simu kuzuia geti la uwanja lisifunguliwe, lakini...
Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi kuu nchini Tanzania Almas Kasongo amesema kuwa kikao cha leo kilikuwa ni kikao cha kupokea matakwa ya Yanga Sc ambao wamekuja na matakwa manne ikiwa ni kujiuzuru kwa Mwenyeketi wa bodi ya ligi, kujihuzuru kwa Afisa Mtendaji mkuu wa TPBL, Katibu mkuu wa TFF na...
Kwanza nawapongeza bodi ya ligi Kwa hatua ya kuwaita Yanga na kuwasikiliza rasimi.
Bodi ya ligi ndo ilifanya makosa na kukaa kwenye janjajanja ya Simba aliyetumia Karia kukimbia mechi
Kama TFF walisikiliza Simba na kuvunja mechi kijinga kwanini isiwasikilize Yanga wenye hoja zilizoshiba kuliko...
TAARIFA KWA UMΜΑ
JUNI 09, 2025
Uongozi wa Young Africans Sports Club, unapenda kuutarifu umma kuwa, tarehe 7 Juni, 2025 tulipokea barua kutoka Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwa ajili ya kuhudhuria kikao maalum cha kujadili masuala yahusuyo mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC, YANGA dhidi ya Simba...
HUYU BWANA ananshangza sanaa YAAN achrlewajo KULAMBA matapishi yake na BODI yake
Majuzi tu MGUTTO kauhojiwa vipi kuhusu derby kajibu Haina shida tushatoa ratiba na HATA hao WANASEMA hawachezi watachexa wanajua
Kumbe ndiyo maana Mchezaji wa mwisho kupokea Mshahara mdogo Simba SC Chasambi Ladack anapokea Shilingi Milioni 17 kwa Mwezi huku Wachezaji wengine wote wa Simba SC wanapokea Mishahara ya kati ya Shilingi Milioni 40 hadi Milioni 75 kwa Mwezi.
Kuna Timu (nimeisahau Jina) juzi juzi tu hapa...
Ukizingatia wenye mamlaka Wana assets zao , ukizingatia historia ya nchi ilivyo na inavyohusisha timu hizo mbili...
Na ukizingatia yoyote Yale
NI BORA IFUTWE TUUUU ILI KU BALANCE MZANI WA TIMU HIZI......LIGI IISHE TIMU MBILI ZINA PUNGUFU YA MECHI 1 WENGINGE 14 WAKO SAWA....
ASANTENI..
Iwapo yanga atapeleka timu uwanjani kucheza na simba yafuatayo yatatokea.
Yanga watacheza Kwa nguvu na pressure kubwa na rafu nyingi kupelekea kuadhibiwa Kwa kadi za njano nyingi. Kuna uwezekano simba wakafaidika na hizo rafu na hata haitakuwa ajabu simba wakipata penati zaidi ya Moja...
Baada ya kukwaa visiki Kila waendako TFF&BODI YA LIGI, CAS na HATIMAYE MAHAKAMA KUWAFURUSHA hapo Jana. Viongozi wa Yanga wamejiandaa na kubadili gia angani Huku wakitarajia muda wowote Ule kukutana na kubadili maamuzi ya kutokucheza derby tarehe 15 Juni.
Taarifa Toka chanzo cha kuaminika...
Nimeona Leo niseme ukweli kama Kuna maadui na hawasemwi katika taifa hili basi ni hawa watatu,Simba,yanga na wasanii( muziki na filamu).
Wamekua wakitumika kama silaha ya kuhamisha ajenda muhimu za kitaifa..na mbaya zaidi watanzania wengi wameingia kwenye mfumo.
Serikali inawatumia Hawa...
Yanga wameshasema hawachezi, wengine wanasema wanadanganya na wengine wanasema wako serious kwa sababu hadi leo hakuna tiketi zinazouzwa, wengine wanaona Yanga wameanza mazoezi mapema na hivyo wanashangaa Yanga aanze tizi mapema la kumkabili Prisons, tizi gani hilo?
Sasa ushauri wangu mechi ya...
Nazani Bodi ya ligi haitaweza kuipokonya Yanga points 15 na kuishusha daraja,na endapo ikitokea hivo Nchi nzima itakuwa kwenye fujo Barabara na Magari kuchomwa moto.
Vita ya Ushabiki ni vita Nyengine kwa Tanzania.
Kama nilivyo anza naomba niwajulishe ya kwamba katika siku mtakuja kujilaumu katika maisha yenu yote na kubaki hadithi ni siku ambayo mtashindwa kuchukua maamzi stahiki kwa klabu yoyote itakayoshindwa kuleta timu uwanjani siku ya tarehe 15-Juni-2025.
Endapo ikatokea klabu yoyote ikasema aileti...
Wapendwa SIJAWAHI kosea ndoto ZANGU
Usiku waleonnimeota BODI ya Ligi itajiuzulu siku si nyingi kuanzia sasaaa
Na taarifa za ndoto ZANGU zinasema
Itaundea BODI mpya
Na bAadae YANGA itatangaza kucheza derby
Tar 15 jun
Ft YANGA ATASHINDA na JUMLA ya magoli ft pande zotee n kuanzia 3+...
Wazee wa Yanga SC wameomba isitokee chombo cha Habari chochote kikatangaza ama kufanya promotion ya mchezo wa Juni 15 na kuitaja Yanga SC.
Wazee pia wamesema isitokee Kiongozi wao akapeleka kwani akipeleka timu uwanjani juni 15 ataondoka yeye milango ipo wazi.
"Tarehe 15 ndio itatoa taswira ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.